Search results

  1. Delacruzito

    PS4 Game Lock

    Wakuu habari, Eid Mubarak. Nina tatizo kwenye PS4 yangu ni Version 10.01 siyo ya kuchip. Nilienda kununua account ya game nikaweka games nikawa nacheza. Bad news ni kwamba Game ya FIFA23 haichezi imeweka Lock icon, na kwa maelezo nayoyaona ni kwamba nime play game kwenye account ya owner. So...
  2. Delacruzito

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Kuna shabiki amepata Heart Attack hivyo zinafanyika jitihada za kumfanyia Blood Transfusion, Wachezaji wameambiwa watoke uwanjani game imekua pause kwa muda ila taarifa haijatolewa ya game kuwa suspended.
  3. Delacruzito

    Ushauri: Nahitaji dawa ya kuondoa upara (uwalaza)

    Hapana kama uko na wazo lililo bora unaweza nishirikisha pia.
  4. Delacruzito

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Mimi nafkiri Tough Opponent ambae tunae ni The Bavarians pekee hao wengine uhakika upo.
  5. Delacruzito

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Yani saivi ni Press, Finya, Kung'uta. Taratibu tutaelewana tu nawataka those haters tuje tukutane nao huku wakiendelea kukariri " Barca without Messi" halafu niwaoneshe pressing inavyofanywa, Alifanyiwa Pressing Man City japo ilikua Charity game lakini Pep alikuna kipara pale kati. Na hapo hiyo...
  6. Delacruzito

    Natafuta sana hiki Kitabu (Begwani The Beggar)

    Habari za muda. Wakuu naombeni msaada kwa yoyote mwenye PDF ya kitabu cha hiki cha (THE MINISTER'S DAUGHTER AND BEGWANI THE BEGGAR) kwa maana nimekitafuta sana bila mafanikio. Naimani ujio wangu humu nitakipata. Ahsante[emoji1488]
  7. Delacruzito

    The Minister's Daughter and Begwani The Beggar

    Habari za muda. Wakuu naombeni msaada kwa yoyote mwenye PDF ya kitabu cha hiki cha (THE MINISTER'S DAUGHTER AND BEGWANI THE BEGGAR) kwa maana nimekitafuta sana bila mafanikio. Naimani ujio wangu humu nitakipata. Ahsante[emoji1488]
  8. Delacruzito

    Ushauri: Nahitaji dawa ya kuondoa upara (uwalaza)

    Sawa mkuu And inawezekana Depression inachangia pia maana
  9. Delacruzito

    Ushauri: Nahitaji dawa ya kuondoa upara (uwalaza)

    Habari zenu wana JF Poleni sana na Swaumu naimani tunaendelea na Mfungo Mtukufu wa Ramadhani Ndugu zangu nina miaka 25 Mzee wangu ana Uwaraza kwa Mbele hapa ule wanauita Upara wa Pesa. Sasa naona kama nimerithi kwake na maana nywele zangu za hapa Mbele zinakatika zinakua fupi kuliko nyingine...
  10. Delacruzito

    Hii ni App gani ya iphone?

    Hii Tidal unaweza ukadownload pia ama? Na kama una import from sehemu nyingine una import from wapi? Je unaweza import from another app au from Files pekee??
  11. Delacruzito

    Hii ni App gani ya iphone?

    Pia unaweza uka download?
  12. Delacruzito

    Hii ni App gani ya iphone?

    Eti wadau naombeni hii ni App gani ya music naona ni ya iphone?
  13. Delacruzito

    Naombeni ushauri wenu katika hili suala jamani nisije kuingia kichwa kichwa

    Hapana yeye yupo Mbeya Bro ila hilo ndo jina lake pia
  14. Delacruzito

    Naombeni ushauri wenu katika hili suala jamani nisije kuingia kichwa kichwa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro jitahidi umalize bhana ushauri wako ni muhimu sana kwangu[emoji1488][emoji1488]
  15. Delacruzito

    Naombeni ushauri wenu katika hili suala jamani nisije kuingia kichwa kichwa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebhana eeeh! Bro we mchawi nini?? Au unamfahamu??
  16. Delacruzito

    Naombeni ushauri wenu katika hili suala jamani nisije kuingia kichwa kichwa

    Brother bhana eti "Maana ndio michezo yako"[emoji16][emoji16][emoji16] Poa kaka me nimekuelewa vere were kiukweli deep down i'm desparated to marry her, and she is the kind of a Woman that i wished to get married with, So hili nitalifanya kwa Moyo mmoja, Much respect kwa ushauri wako Bro[emoji1488]
Back
Top Bottom