Search results

  1. Dr Orb

    Muongozo wa software developer anaeanza part-3 (WEB BASED APPLICATION)

    Hata hivyo huu sio Uzi wa kila mtu mkuu ni kwa wenye uhitaji.
  2. Dr Orb

    Muongozo wa software developer anaeanza part-3 (WEB BASED APPLICATION)

    Thanks mkuu. N vyema kama utaongeza chochote
  3. Dr Orb

    Muongozo wa software developer anaeanza part-3 (WEB BASED APPLICATION)

    Asante mkuu. Ni vyema pia ukaongeza chochote kama utapendezwa
  4. Dr Orb

    Muongozo wa software developer anaeanza part-3 (WEB BASED APPLICATION)

    Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2 Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications. Kama tulivyoainisha hapo awali hizi ni program zinazotumia internet katika kufanikisha jambo lililokusudiwa mfano Kupatana...
  5. Dr Orb

    Muongozo wa software developers anaeanza part-2

    Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-1 Baada ya kujifunza ujuzi wa jumla wa kompyuta na uko confortable juu ya kifaa chako ulichochagua kukifanyia kazi, tuchape mwendo. Jambo la pili la kujiuliza ni kwamba unataka...
  6. Dr Orb

    Muongozo wa software developers anaeanza part-1

    Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza Software development ni idara pana sana na ni ngumu mno. ugumu huwa mkubwa zaidi kwa wale ambao wataamua kutumia mfumo wa Learning kuliko studying. Kama moja ya wahanga wa...
  7. Dr Orb

    Studying au Learning? Ipi uichague katika Software Development?

    Unawaza kuwekeza katika ujuzi wa kutengeneza program za simu, kompyuta au internet? Kama una mawazo hayo lakini una wasiwasi hilo ni pepo Fanya kulishinda .....hahahahaha...kidding guys! Lakini kama ni kweli basi una mawazo sahihi sana kwa kuwa ulimwengu wa Leo na kesho utategemea sana...
  8. Dr Orb

    Ni Technoprenuer? Mpango mzima uko hapa "IoT"!

    Mambo vp wanajamvi, je unatamani kuwekeza katika tekinolojia lakini bado unasuasua, au ww ni Technopreneur na unahitaji kuongeza faida? Hata mpango uko hivi, kuna tekinolojia hii inayotrend kwa kasi ya ajabu "IoT" yaan internet of thing. Kama umewahi sikia hii kitu au unaijua basi komaa...
  9. Dr Orb

    Je, wewe ni Mkristo au Muislamu? je, kalenda unayoitumia unaijua?

    Waafrika tulikuwa na mifumo na miongozo ming ya maisha ambayo yalijitosheleza, kwa upande wa kalenda tulitumia mfumo ujulikanao kama ZODIAC system. Huu ulikuwa ni mfumo wa kwanza wa mwanadamu kutambua nyakati lakin pia kutambua mamb mengine mengi ya kimaisha.
  10. Dr Orb

    Je, wewe ni Mkristo au Muislamu? je, kalenda unayoitumia unaijua?

    Historia kuu inayozingatiwa kuhusu hesabu za miaka ni ile yenye mlengwa wa kidini. ambapo historia hiyo inasema miaka 2019 ilianzia mwaka 1 ambapo Yesu kristo alipozaliwa kwa mujibu wa Dionysius Exiguu. Hesabu hii haikuwa na uhakika na ilikuwa kimakadirio tu ya bwana Dionyius. Sababu kuu ya...
  11. Dr Orb

    Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

    Jaman tuwakumbushe jamaa zetu, ndugu zetu na marafiki wanaokwenda vyuoni mambo haya... 1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi...Anaweza somea Ualimu akawa mhudumu wa Bar au boda boda 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.wapo watu wenye elimu...
Back
Top Bottom