Search results

  1. N

    Chaguzi zenye mashaka.

    Kila ninapotizama chaguzi zinazofanyika hasa katika nchi za kiafrika,nahisi kupoteza maana ya demokrasia. Kama hii ndiyo tafsiri yake basi kama kuna kitu cha kuogopa kukisogelea ni hiyo demokrasia inayoleta maana ya ubadhilifu wa haki za msingi za wananchi.
Back
Top Bottom