Search results

  1. M

    Bamutu ya Kongo nyakati zimebadilika

    Unaijua Rhumba wewe. Kuna nyimbo kuzielewa hadi uwe na hadhi na aina fulani ya maisha. Wewe ni Mtoto wa 2000 hujui usemalo, sio kila wimbo unakata viuno. Kamsikilize Fayya Tess au Nzelle ya Madilu kisha uandike upya
  2. M

    Miaka mitatu ya Hayati Magufuli, anaishi kwenye mawazo na fikra za watanzania

    Mkuu huyo achana naye, Uzuri ni kwamba Akifika Kimara akakuta ule Mkeka wa Njia 6 lazima aseme Magu ni Kiboko. Hata Umeme anaotumia sasa ni maamuzi Magumu ya Magu kule Bwawa la Nyerere. Akienda Mjini lazima apite pale Kijazi, akitaka kwenda Coco lazima apite Tanzanite Bridge aseme Magu ni...
  3. M

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Mtaanza kujadili stori za Rd SIDIEFU miezi 6 msijue Sukari imepanda, Msijue thaman ya Shilingi imeshuka, Tume Huru bado
  4. M

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Wabongo kwa kupenda kukosoa hatujambo. Mzee wetu japo katupa mawili matatu kama namna ya kutufariji tayari ishakuwa nongwa! Acheni unafiki na ujuaji basi, mnafanya Viongozi wanakosa UHURU wa kutueleza mambo yenye msisimko kwa Viherehere vyenu.
  5. M

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    1. Dikembe Mutombo. 2. Chibe Chibe Chibindu 3. Marale Hamsini 4. Quresh Ufunguo 5. Butelezi
  6. M

    Matumizi yako kwa siku ni shingapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

    Hongera sana Bw Mdogo. Hapo Kigoma kwa Mtaji wako wa 1.5M waweza anza na Biashara ndogo. 1. Nunua Freezer, Baiskeli na Dell la barafu. Agiza kijana toka Kibondo. Funga barafu za Vikaratasi kijana anasambaza mmashuleni nk. Ukiweza vijana wawe zaidi ya mmoja. 2. Tafuta Vijana uzza mayai ya...
  7. M

    CCM Mkoa wa Rukwa mmeshindwa kutetea Wananchi wenu subirini hasira zào Oktoba 2024/25

    Eti wewe naye ni Mwandishi wa Habari, umejaa mihemko na Hasira huna hata hoja. Kwa hisia zako unapaswa uwe fundi baiskeli tuu. Wenye akili zako Walipinga Iringa, wakapinga Mbezi nk nk leo kadri Muda unavyoenda mnaopinga kuweka Stendi nje ya Mji mnaonekana watu msio na Exposure na wenye akili...
  8. M

    Mashabiki wa Mamelod Sundows tujuane

    Kweli, Maana hakuna Shabiki wa Simba anayeshabikia Wageni. Hao hao Watopolo ndio akili zao kwahiyo waendelee tu.
  9. M

    Simba Tunaanza kujadili saa ngapi Magoli ya Yanga dhidi ya IHEFU?

    Una mental case Mkuu, endapo unashindwa kucontrol Eggo na Emotional yako totaly wewe sio binadamu kamili. Ulichojibu tayari kinatafsiri wewe ni mtu wa ina gani? Na unapaswa kujibiwa na Mtu wa karba ipi na hapo ndipo ule usemi wa Lucy Ema na Manara Jr unajidhihirisha.
  10. M

    Simba Tunaanza kujadili saa ngapi Magoli ya Yanga dhidi ya IHEFU?

    Ule ni Mpiraa au FUTUHIII? mechi imekosa msisimko, soon Ligi itakosa Mvuto tunarudi kuleeeeeee! anyway wenye akili ni wawili tu huwezi kuelewa madhara ya kinachofanyika.
  11. M

    Revenge: Yanga yamsajili Mudathir Yahya

    Mudathir au Majini mliyofungia
  12. M

    Natafuta sehemu ya kujitolea. Nimehitimu Bachelor of Science in Forestry mwaka 2022

    Mkuu Hapo Dodoma Ofisi nyingi zinaanza sasa, Familia mpya zinachipukia. Tafuta eneo fungua kijiwe cha Miti, agiza ile Miche ya Kisasa ya SUA uza, Uza Maua, Uza Nyasi, Tengeneza Kampuni yako tafuta tenda ndogo maofisini kutengeneza Bustani na kupanda miti. Anyway nawaza njia nilizopita enzi hizo...
  13. M

    Nini kifanyike mgogoro wa Bajaj na daladala?

    Kuruhusu Bajaj katikati ya Jiji/Majiji ni ishara ya Ujinga na Umaskini. Mji umejaaaa bajaj mbovu zinasababisha foleni, hazifuati sheria za usalama barabarani ni vurugu tuu. Fukuza mjini hizo dude
  14. M

    Ndugu zangu upande wa baba wanainua vita kali juu yangu

    Kwa Familia za Kiafrika ukiona hivyo tambua wewe Una nyota, Kata mnyororo wa Umaskini, Jiimarishe Kiroho, usikate tamaa pambana hapo hapo zidi kuwekeza. Epuka kuwajibu hao ndugu kaaa kimia kama huskii kama huoni. Pi uwe mwangalifu pindi unapokutana nao na ukiweza weka kauzibe ka kuwakarbia...
  15. M

    Baraka Mpenja acha kuwaongopea watanzania...!! Tunakujua vizuri achana na dhambi hiyo mapema...!!

    Mpenja kwa akili kubwa aliyonayo lazima awe shabiki wa Simba tu, kule wenye akili ni JK na Baba Manara sa Mpenja ataanzaje kuwa Mtopolo kwa Mfano
  16. M

    Simba has 5 foreign good players. That I think, they are very good

    You are good at observing talent Mkuu. Keep it up, ukipenda anza kuvumbua vippaji na kusimama kama wakala. Una jicho la mpira
  17. M

    Msaada: Gari ndogo Imejam tyre za nyuma

    Yaweza kuwa Bearings zimechoka.
  18. M

    Goli lile pale Tanga angefungwa Manula mitandaoni pangechafuka

    Ayoub hapokei bahasha zenu, tulieni dawa iingie, hata akifungwa poa tu
Back
Top Bottom