Search results

  1. D

    Afanye kazi ipi huyu?

    Huyo wa Political Science & Public Administration anaweza kuomba hata Udiwani kama kwingineko pamejaa. Mwenye Political Science na Philosophy kwa Tanzania hao wana nafasi ndogo sana ya ajira maana Philosophy inaua zaidi!! Labda ikiwezekana namshauri afungue plant ya habari na kuchapisha...
  2. D

    Sitta awasha moto mpya DOWANS

    Wadau, wakati mwingine mtu anaweza kujidai mkali na mwenye hasira ya wazi lakini kumbe ni funika macho tu. Wa watu wa Ta-best (Tabora) nawaminia kwa unafiki na ubunifu wa maneno ya kupotezea potezea!! Hizo ni kauli za kupumbazisha tu.
  3. D

    Msaada mwenye information na contact za makampuni Rwanda na Southern Sudan

    Mkweli pole na karibu katika uwanja wa mapambano. Wiki kadhaa zilizopita niliona tangazo la kazi za Fani yako kwenye ubalozi wa USA Rwanda. So kama vipi chonga na information officer wa US Embassy pale Msasani huenda ukajikwamua na hiyo nia yako!! Nawasilisha, Dolby.
  4. D

    Matokeo bado hayajatangazwa, Igunga!

    Inamaana kuanika matokeo ni mpaka wapewe peremende? Kama mambo hayajawanogea, basi wasilazimishe! Wawaachie wavaa magwanda....
Back
Top Bottom