Search results

  1. Superleta

    TANZIA Nimempoteza baba yangu mzazi

    Nimempoteza baba yangu mzazi Sijui hata nisemeje Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22] Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  2. Superleta

    Orodha ya NGO's zenye mishahara minono hapa nchini

    Wakuu ni NGO's zipi hapa nchini zinaongoza kwa kulipa mishahara minono zaidi,marupurupu na posho kubwa zaidi kwa Tanzania?
  3. Superleta

    Kupuuzwa kwa fani ya maendeleo ya jamii kwenye ajira zifuatazo litizamwe vizuri

    Mtu aliyesoma Community development hizi course zote kazisoma ndani yake Community development ndo inameza masomo yote yanayohusu social issues na development issues kama ifuatavyo. -Social welfare -Social work -Sociology -psychology -Guidance and counseling -Economics -Development studies...
  4. Superleta

    Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    Naombeni mnisaidie nipate kazi ndugu zangu labda humu jukwaani nitapata msaada Nimehitimu mwaka 2022 Degree ya maendeleo ya jamii Nina diploma pia ya maendeleo ya jamii. Nina certificate pia ya maendeleo ya jamii Nimehangaika sana suala la kazi hadi nimejikatia tamaa nimekua ni mtu wa...
  5. Superleta

    Hongereni wenye kazi nzuri na msiokua na maisha ya shida

    Hongereni wenye kazi nzuri na msiokua na maisha ya shida Kuna watu mna bahati sana mmezaliwa mnakuta wazazi wenu wapo vizuri kiuchumi mnakuzwa maisha mazuri kila kitu home kipo yaani ni mboga saba Shule mmesoma nzuri na za maana, hamna kitu mlikosa maishani, hamzijuwi shida tokea mzaliwe...
  6. Superleta

    Nina cheti, Diploma na Degree ya maendeleo ya Jamii na sina kazi nipo tu mtaani

    Maisha haya daaaah nina certificate ya Maendeleo ya Jamii, nina Diploma ya Maendeleo ya Jamii, na nina Degree ya Maendeleo ya Jamii na nipo mtaani tu sina kazi najipambania tu na vijimishemishe sikai nyumban najitegemea ila masimango nayoyapata kwenye simu na ndugu yananiuma sana. Naonekana...
  7. Superleta

    Msaada: Kujaza kwenye TAESA kwenye ku-submit cv pananisumbua

    Mliowahi kujaza system ya taesa mnisaidie mimi nimejaza zile Required information zote na vyeti kila kitu na profile nimeweka kila kitu. Kipengele ni kwenye submit CV hapabonyezeki yaani inakua tu hivi najiuliza nimekosea nini mbona kila kitu nimejaza sahihi? Wakuu nakosea nini? Hii...
  8. Superleta

    Kwa Dar ni hospital gani kubwa ya serikali wana gharama nafuu za matibabu?

    Ni hospital gani ya serikali ambayo ni wana gharama nafuu za matibabu? Ninahitaji kufanyiwa vipimo nina maumivu ya kiuno sana na mguu mmoja wa kushoto Niliwahi kwenda Amana mwanzoni wana gharama kubwa balaa niliondoka pale nishamaliza kama laki hivi
  9. Superleta

    Leo hadi nimeenda kusali kanisani na uislam wangu shikamoo TEC!!

    TEC nawapa kongole leo na uislamu wangu nilienda kwenye parokia ya karibu tu na mimi nisikilize waraka wa maaskofu kuhusu huu mkataba wa DP world ilikua ni leo jumapili Nilikua sifahamu kama leo huku Iringa huu waraka ungesomwa rakini wameusoma vizuli sana mimi sio mtu wa dini sana na huwa...
  10. Superleta

    Mwendokasi utapita Buguruni? Naona kuna upanuzi wa barabara

    Ndugu zangu kuna mradi gani buguruni? Naona kuna upanuzi wa barabara
  11. Superleta

    Nimeshangaa kumbe kuna shule za wahindi tupu hapa nchini?

    Kuna mambo yananishangaza ni mara kadhaa maeneo ya Kariakoo, Posta, Upanga hadi Mnazi mmoja nakutana na school bus za shule ambazo ni za wahindi watupu Hii imekaaje shule kuwa ni za watu wa race aina moja tu? Imenishangaza sana
  12. Superleta

    Naombeni ushauri: Rafiki yangu amehamia kwangu na mabegi

    Ndugu zangu naombeni mnishauri katika hili, nimemaliza chuo bado issue ya ajira nimepanga kachumba kamoja ndo najitafuta hapa kimaisha nabangaiza bangaiza. Nina rafiki yangu tokea chuoni huko wote tunaishi humuhumu Dar sasa alinambia atakuja maeneo ninayoishi. Huwa anakuja mara kwa mara...
  13. Superleta

    Nina maumivu ya mguu wa kushoto na nashindwa kuinama

    Nina wiki ya 4 sasa nasumbuliwa na maumivu ya mguu wa kushoto kuanzia kiunoni chini ya goti la kushoto mguuni panakua panakufa ganzi kabisa Ninashindwa kuinama kabisa mfano kuokota kitu chini au kuinama nifunge kamba za viatu nashindwa Nilienda hospital nikaishiwa kupewa pain killer tu hapa...
  14. Superleta

    Kuna mtu ashawahi kupata kazi kwenye NGO's bila kuweka na uzoefu?

    Nilikua napitia mashirika mengi wanatangaza kazi mbalimbali kipengele kikubwa wanataka mtu mwenye uzoefu tena unakuta ni miaka 5 hadi 7 Sasa ndugu zangu humu kuna mtu amewahi kuomba kazi hizi za NGO's na akapata akiwa from fresh student yaani kamaliza chuo na hana uzoefu wowote? Nauliza maana...
  15. Superleta

    Mtu aliyesoma Community development anaweza kuwa afisa TAKUKURU?

    Hivi mtu aliyesoma Community development yaani maendeleo ya jamii anaweza kuwa afisa TAKUKURU? Naomba kujuzwa
  16. Superleta

    Msaada: Natafuta Mtu anayefanya kazi Utumishi na Ajira

    Humu kuna mtu anafanya kazi utumishi na ajira? Au anayemfahamu mtu anayefanya kazi utumishi na ajira? Jamani kuna mtu anaweza kunipa msaada wa afisa utumishi yoyote wa Dodoma? Nimechoka nimepiga simu zao tokea asubuhi hazipokelewi. Nyingine napiga hazipatikani, nimeenda ofisi yao ya pale...
  17. Superleta

    Niwasiliane vipi na utumishi? Nimeonewa kwenye swala la ajira

    Nimekosa nafasi ya usaili nikiambiwa sikuhakiki vyeti kwa mwanasheria ilihali nilifanya hivyo na vyote kwenye mfumo vimehakikiwa MIMI NIMEKOSA KUITWA USAILI HIZI AJIRA 800 ZA MAENDELEO YA JAMII ETI WANANAMBIA VYETI HAVIKUHAKIKIWA NA KUPIGWA MUHURI MWANASHERIA AU MAHAKAMANI CHA AJABU VYOTE VYOTE...
  18. Superleta

    Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

    Kuna siku nilileta thread humu kuomba ni namna gani naweza kupata msaada wa rufaa yangu ya bodi ikapita na mimi nikaongezewa chochote kitu maana to be honestly napata mkopo kidogo sana napata asilimia 40 tu na hapo ada ilobaki najilipia mwenyewe,kodi, kila kitu ni mimi tu . Kiukweli Jf ina watu...
  19. Superleta

    Nisaidieni nimekuta huu ujumbe kwenye account yangu ya bodi ya mikopo

    Nimekuta huu ujumbe sijui unamaanisha nini "Due to unusual level of activity, responses are delayed, You are in service queue number . Customer with service number 69936 Is currently being attended. Please continue to wait!!"
  20. Superleta

    Jamani Rufaa za bodi ya mikopo zilishatoka?

    Naombeni mnijuze kama Rufaa za heslb zilishatoka au lah
Back
Top Bottom