Search results

  1. Superleta

    TANZIA Nimempoteza baba yangu mzazi

    Asanteni sana wakuu
  2. Superleta

    TANZIA Nimempoteza baba yangu mzazi

    Nimempoteza baba yangu mzazi Sijui hata nisemeje Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22] Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  3. Superleta

    Ramadhan Special Thread

    Nina maswali kuhusu muda wa kula daku.......Kwa ratiba ya sasa jua kuchomoza ni saa 11:19 asubuhi.....Jee mwisho wa kula daku inapaswa kuwa saa ngapi??
  4. Superleta

    Kulikoni JHPIEGO Dar es Salaam

    Mishahara yao jee
  5. Superleta

    Orodha ya NGO's zenye mishahara minono hapa nchini

    Wakuu ni NGO's zipi hapa nchini zinaongoza kwa kulipa mishahara minono zaidi,marupurupu na posho kubwa zaidi kwa Tanzania?
  6. Superleta

    Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    NAFASI YA KAZI KWA WALIOSOMEA UALIMU MWENYE CERTIFICATE AU DIPLOMA YA UALIMU Wanahtajika waalim wa shule watatu wawe wamesomea fani ya elimu ya Diploma au certificate kituo cha kazi kitakua ni Mbeya Wanahitajika wanawake watatu....Ualimu wa shule za chekechea Pia uwe unaweza kuongea kingereza...
  7. Superleta

    Natafuta kazi ya kufundisha (ualimu)

    NAFASI YA KAZI KWA WALIOSOMEA UALIMU MWENYE CERTIFICATE AU DIPLOMA YA UALIMU Wanahtajika waalim wa shule watatu wawe wamesomea fani ya elimu ya Diploma au certificate kituo cha kazi kitakua ni Mbeya Wanahitajika wanawake watatu....Ualimu wa shule za chekechea Pia uwe unaweza kuongea kingereza...
  8. Superleta

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status:INTERNSHIP/JOB SEEKER Profession :COMMUNITY DEVELOPMENT Education : barchelor degree in community development Experience : fresh graduate Location: dsm Gender : male
  9. Superleta

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    GUYS MWENYE CERTIFICATE AU DIPLOMA YA KOZI YOYOTE ANAHITAJIKA ANAHITAJIKA MWALIMU WA SHULE *KIGEZO KIKUBWA NI UWE NA DIPLOMA AU CERTIFICATE YOYOTE ILE NA UWE UNAWEZA KUONGEA KINGEREZA KWA UFASAHA ZAIDI....HAIJALISHI UMESOMA COURSE GANI ILA UWE UPO VIZURI KWENYE KUONGEA KINGEREZA KINGEREZA...
  10. Superleta

    Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    Mkuu procurement wamekua wengi sana sikuhizi
Back
Top Bottom