Search results

  1. K

    Mwanafunzi wa mwaka wa pili udsm,akutwa amejinyonga.

    Ni ujinga kujiondoa uhai. Angekuwa kule kwetu maiti inapigwa viboko kadhaa kabla ya kuzikwa ili liwe fundisho kwa wengine.
  2. K

    Mambo ya Diet hayo

    Mkuu huwezi kuchangia bila neno 'kugegeda'? Maana hadi kero kwenye comments zako. Hivi unajua madhara ya kurudia rudia maneno? Ni kwamba unabatizwa jina. Kuanzia sasa wewe ni Mr. Kugegeda.
  3. K

    Hivi kwanini sisi wanaume wafupi hatupendwi na wanawake?

    Kweli Mungu hakunyimi kila kitu. Kimo futi 4 dushelele inchi 6 duh!
  4. K

    Msiba mzito wamkumba mwenzetu: KOKUTONA apoteza mtoto wake!

    Pole mwenzetu ni mapenzi ya Mungu.
  5. K

    natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat!

    Taratibu mkuu! Kwa kosa gani ndo umuite malaya?
  6. K

    Sam Mahela wa ITV

    Aangalie na yeye yasije kumpata yaliyompata Jerry Muro maana ngoma ikizidi kusifiwa ujue inakaribia kupasuka.
  7. K

    Wanawake wote wananikataa!

    Je wewe una kasoro gani? Jaribu kuwa simple utawapata wengi. Mwanamke kiumbe wa ajabu, wengi hupenda kuambiwa maneno matamu kwa lugha laini.
  8. K

    Vodacom Mpesa ni matatizo matupu

    Kama wakala alikuwa hapokei simu wasingeweza kukurudishia hela japo kwa wakati huo kiasi kama hicho kinakuwa kimezuiliwa kwenye akaunti ya wakala. Kumbuka wapo pia wajanja wanaotoa hela kweli na kudai hawajatoa, je wakirudishiwa si wakala atakula hasara? Next time jaribu kuwa makini maana kuna...
  9. K

    Askari Auwawa na Majambazi Tazara

    Askari kauwawa kwa kupigwa kichwani na kitu chenye ncha kali. R.I.P askari.
  10. K

    Natafuta nyumba maeneo ya sinza, kijitonyama, kinondoni

    Kwa ufupi nenda maeneo husika na uonane na madalali utaweza kupata nyumba kwa urahisi. Angalizo kuwa makini na madalali maana wapo ambao siyo waaminifu.
  11. K

    Dereva daladala auwawa kwa kupigwa risasi Sinza Kumekucha

    Asante mkuu sikuweza kupiga picha.
  12. K

    Dereva daladala auwawa kwa kupigwa risasi Sinza Kumekucha

    Unajua hasira inaweza kukupelekea kufanya maamuzi yasiyo sahihi. Ukute ni gari la mkopo na mkopo wenyewe hujaumalizia au umehenya miaka zaidi ya kumi ukidunduliza visenti vyako halafu jamaa anakuburuza bila ya hata kusema samahani inauma niaje!
  13. K

    Dereva daladala auwawa kwa kupigwa risasi Sinza Kumekucha

    Yaani haijulikani hawa watu walikuwa na nia gani na dereva daladala. Too sad. Kama angekuwa mtu mkubwa hapo tungesema tusubiri ripoti ya tume maana kila jambo ni tume.
  14. K

    Dereva daladala auwawa kwa kupigwa risasi Sinza Kumekucha

    Huu ni unyama wa aina yake. Inasemekana hakuna abiria aliyepoteza maisha.
  15. K

    Dereva daladala auwawa kwa kupigwa risasi Sinza Kumekucha

    Nimepita hapo sasa hivi na kukuta umati mkubwa wa watu. Inasemekana watu wawili wasiojulikana wakiwa kwenye pikipiki walimfyatulia risasi dereva daladala kwa kutumia bastola na kutoweka. Dereva daladala alishindwa kulimudu gari na baadae gari kuangukia mtaroni na dereva kupoteza maisha. Polisi...
  16. K

    Naomba msaada nataka kuwa programer kwa kujisomea mwenyewe nifanyaje

    Mtoto akizaliwa hawezi akachukua chakula mwenyewe na kuweka mdomoni. Mlezi atamlisha chakula na baada ya muda mfupi mtoto ataweza kula mwenyewe. Unaweza ukasoma history, kiswahili au geography mwenyewe ukaelewa lakini siyo Programming.
  17. K

    Swali Gumu nililowahi kuulizwa na mwanangu

    Paka ni wengi mno hata zaidi ya ng'ombe sema wametapakaa kila sehemu tofauti na ng'ombe ambao wanatembea kimafungu.
  18. K

    Msaada bati za manglove valley

    Nimeambiwa eti huwa zinatoka kiwandani zikiwa plain ila kuna watu ndiyo huzibadilisha hivyo kuzifanya zisiweze kukamatana vizuri wakati wa kuezeka.
  19. K

    Msaada bati za manglove valley

    Ni bati nzuri kwa muonekano na ukiziangalia tokea mbali huwezi kuzitofautisha na vigae. Nimezipenda na ninataka kuzinunua kwa ajiri ya kuezekea nyumba yangu. Kuna rafiki yangu kaniambia siyo nzuri kwani huwa zinavuja hata upate fundi wa aina gani. Mwenye kuzifahamu vizuri naomba ushauri.
Back
Top Bottom