Search results

  1. Jstar1

    Kwa mlo huu niko sawa?

    Wakuu katika hali yangu ya maisha, nina takriban miezi kadhaa huwa nakula mara 2 kwa siku, yaani chakula cha mchana nakula saa nne mfano (samaki na chapati 3, na juice) halafu nakuja kula jioni saa 12 au usiku muda usiozidi saa 4). Kwa kufanya hivyo, toka mwaka 2019 nimekuwa na kilo 69, muda...
  2. Jstar1

    Hii ni kawaida au nina tatizo kiafya? Napenda sana kufanya mapenzi

    Mbaya zaidi nikienda kwa mpenzi wangu yeye anadai amechoka... ila nikumuona mwili unasisimka yaani ata usingizi nakosa mda wote mzee anakaa amesimama, nkisahau kidogo analala nkistuka anasimama... Nikisema nimkwepe mpenzi wangu ananuna hapendi, na nispomuona sku moja, nikimuona basi ndo naanza...
  3. Jstar1

    Hii ni kawaida au nina tatizo kiafya? Napenda sana kufanya mapenzi

    Mbaya zaidi ata dada poa nanunua na haiwezu kupita sku 3 sjasex nna zaidi ya miaka minne nafanya ivo
  4. Jstar1

    Hii ni kawaida au nina tatizo kiafya? Napenda sana kufanya mapenzi

    Majukumu ninayo nafanya kazi narudi kwangu saa 12 jion
  5. Jstar1

    Anataka nimpe ujauzito japo bado sijamuoa yupo kwao

    Kuna dada mmoja anasoma chuo, ni mpenzi wangu japo anajua nina mapenzi, kabila lake ni mmakonde, mweupe na ni islamic.. Shida ni kua ana hamu ya mtoto na anakaa kwao na mama yake, anataka nimzalishe mimi ambae ni mkristu yeye kasema atabadili dini, anatamani tu azae na mtu wa kuzaa nae ni...
  6. Jstar1

    Hii ni kawaida au nina tatizo kiafya? Napenda sana kufanya mapenzi

    Wakuu naombeni msaada wenu, ni kijana ambae nimo bellow 27..., nmekua na wasichana tofauti kwenye mahusiano, ukiachana na hilo nina mmoja ambae niko nae very close. Shida ni kua nmefanya nae mapenzi wiki mbili mfululizo kila siku na mara ya mwisho ni jana alkua amegoma baada ya kumbembeleza...
  7. Jstar1

    Kwa GPA ya 4.7 Naweza kupata MD MUHAS au Chuo chochote cha hadhi ya udaktari

    aisee wewe msomi gani, inawezekana hujui fata ulichokuwa unakisomea, Ushauri nenda pale MUHAS kaulize qualification
  8. Jstar1

    Nina miaka 30 sina mtoto

    miaka 30 bila ramani wala mtoto, kataeni ila umri umeenda
  9. Jstar1

    Nina miaka 30 sina mtoto

    aisee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]hali si shwari
  10. Jstar1

    Nina miaka 30 sina mtoto

    naumia sana sijui nmekosea wapi mimi miaka 30 sina ramani
  11. Jstar1

    Nina miaka 30 sina mtoto

    dah[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
  12. Jstar1

    Nina miaka 30 sina mtoto

    Miaka inazidi kuyoyoma, nmetimiza miaka 30 mwaka huu, sina mtoto hata wa kusingiziwa... Wakati nazidi kukazana kutafuta tonge mdomoni ila pia nmepoteza muda mwingi na sasa sina mtoto, sina hata mwanamke wa kuzaa nae. Kiasi kwamba hata nikipata mtoto tiyari nmechelewa, ukipata mtoto above 26...
  13. Jstar1

    Wakuu naombeni ushauri

    Kama kawaida binadamu hatuchoki kutafuta, ila baada ya kuwaza walau angalau niweze kupata kipato cha elfu 15 kwa siku namaanisha 450K kwa mwezi nkaamua niingie kwenye ufugaji wa kuku... Natamani nifuge kuku wa mayai nichanganye na kuku wa kawaida, nina wasu wasi na eneo maana ni 42m*42M kwa...
  14. Jstar1

    Nimerudiana na Mpenzi wangu wa zamani

    Nmerudiana na x wangu aliekua na umbo namba 8 ili nipashe kiporo, cha ajabu analazimisha niachane na msichana nilie nae ambae ninae huu ni kama mwezi wa 5 na huyu c wangu nilikaa nae kama miaka miwili. Yeye ana mtu ila yuko tiyari kumuacha, nimemwambia ntamwambia msichana nilie nae kua...
  15. Jstar1

    Nyiye malecture badilikeni, mnakuwa na vipindi asubuhi halafu mnasema mna emergency mnavisogeza mpaka jioni

    Nyie malecture badilikeni, mnakua na vipindi asbui alafu mnasema mna emergency mnavisogeza mpaka jion... Hamjui mnafundisha watu wazima, wanashindwa kututimizia mahitaji yetu kwa sababu ya kuwatoa vyuoni usku... mpenzi wangu leo siku ya tatu nakula kalenda hasa hasa malecture wa NIT, na...
  16. Jstar1

    Amekubali nizae na Msichana mwingine wakati namsubiri yeye amalize masomo

    Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna binti mmoja kwa Kisambaa, natamani japo anizalie katoto, mimi ni kijana sijaoa ila nina mpango wa kuoa apo mbeleni... Lengo langu ni kumuoa huyu binti alieko chuo mwaka wa 2, ila sasa nataka azae kwanza, yeye yuko tiyari kwa masharti mawili, la kwanza...
  17. Jstar1

    Huu umasikini si mzuri

    Nmelala nadaiwa songesha, uku nina pisi moja kali na ndo naitegemea na inanitegemea. Nashtuka zangu usingizini baada ya jana kurudi home saa 7 nikiwa kwa wana tunakula machingwa usku wa manane. Ghafla inaingia text inaniomba buku jero huku nadaiwa songesha, mwili umesisimka na sina ata mia...
Back
Top Bottom