Search results

  1. K

    Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

    Kwa haya yanayoendelea ya kunyanyasana na watu kutumia mabavu unadhani Mungu ataibariki TZ? THUBUTUU! Kila kukicha na laana tu. Tuombe atakase uovu kwanza
  2. K

    Mahakama yatoa amri ya kuzuia mgomo wa madaktari hapo kesho!

    Hahahahaha! MAHAKAMA! MAHAKAMA! MAHAKAMA! KWANI MAHAKAMA NI NGENI? HAMNA JIPYA HAPO! We jiulize, Ule mgomo phase II si ulizuiliwa na mahakama pia?! Nini kiliendelea baada ya madaktari kula msimamo na kuendelea kugoma? Si ilifyata! Chezea madaktari eeh! Mtasoma plate number tu, haooo...
  3. K

    Madaktari na Ikulu

    Nahisi we jamaa ni mgonjwa kabisa na ninadhani ulizaliwa na Mtindio wa ubongo (Cerebral Palsy. Hivi sijui ueleweshwe vipi ili uelewe kwamba hapa hakuna cha kutishwa wala kuufyata, kilichofanyika ni busara tu madaktari kurudi kazini huku majadiliano yakiendelea. Na hii ni kutokana na rais...
  4. K

    Mgomo wa madaktari, natamani LOWASA wakati huu angekuwa Rais au Waziri Mkuu

    Hapa tu ndo mnaniboaga mkianza kampeni zenu za kuwapigia debe wanasiasa. Bila shaka umepewa ka-mkate kufanya hiyo kazi. Haya bhana endeleeni kumsafisha tunasubiri kuona
  5. K

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    Kwa kuongezea tu, Dodoma kikao kimeshakwisha na mgomo umeshaanza. Kesho ni vikao vingine vinaendelea
  6. K

    Madaktari kanda ya ziwa wafanya mkutano leo ...madai yao yakipuuzwa kugoma

    Wewe nadhani huna sifa ya kuwa mtz na huna machungu na nchi yako. Hivi kwanza unajua tunafanya kazi ktk mazingira gani mpaka utoe ushuz* wako huo? Tutagoma na tutaendelea kugoma kama tunafanya kazi kwenye mazingira hatari ya kupata Hepatitis na HIV kama ya tz, wakuu wa nchi hawaoni haya na wala...
  7. K

    Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika Uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

    Miaka 50 ya uhuru kwenye taifa lililojaa umaskini, ufisadi, uchu wa wa madaraka, na ubabe katika uongozi. Sioni hata tunachosherehekea na kutumia gharama kubwa na jasho la wananchi maskini ni kitu gani hasa ukizingatia; 1.Hatuna madawa na vifaa mahospitalini 2. Ni madaktari wangapi mwaka huu...
  8. K

    Zitto athibitisha CHADEMA kupoteza Igunga

    Just be careful guys! Kuna account feki siku hizi, are u sure ni Zito Kabwe kweli aliyepost hivyo!? Sidhani! Hapo kuna mchezo unachezwa.
Back
Top Bottom