Search results

  1. Sele Mkonje

    Je, naweza kutumia King'amuzi cha DSTV ya Afrika Kusini nchini Tanzania?

    Habari wakuu, Naomba tu kuuliza kama inawezekana nikatumia king'amuzi cha DSTV cha Afrika ya kusini nchini Tanzania. Nimeona nchi kama Zimbabwe na Malawi wanatumia sasa sijajua huko nyumbani iko vipi?
  2. Sele Mkonje

    Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

    Leo wakati nataka kuchek Quarantine ya Diamond nikajikuta nashuhudia maajabu na rekodi mpya ambayo Diamond Platnumz ameivunja. Tukio lake la kuweka rekodi hiyo limetokea dakika chache zilizopita. Diamond anafuatiwa na Millard ayo ambaye kwa sasa ana viewers M933 na huku King wa bongo Fuleva ana...
  3. Sele Mkonje

    Nchi ambazo ni hatari kwa watu weusi kuishi/kutembelea

    11 MAREKANI →↓ Ubaguzi wa rangi unapungua marekani japo baadhi ya sehemu mtu mweusi haruhusiwi kabisa kukanyaga na akionekana inaweza ikamletea matatizo Hasa sehemu za Kusini 10 UK →↓ Uingereza ina idadi kubwa ya wahamiaji wa rangi mbali mbali. Mji kama London una mchanganyiko wa watu wa Rangi...
  4. Sele Mkonje

    Langa tutakukumbuka Daima

    Hii mistari imenifanya nimkumbuke sana Langa ...... ...... Sio swala la uoga,Kuogopa ukunguru Ila bora Kulogwa kuliko kukosa uhuru Wapi sheikh Mponda,wapi jenerali Komba? Sera Kali serikali cheza mbali na wajomba Kimbia,Mitihani imevuja nyie hamjasikia.? Yanini kusoma huku elimu inanunuliwa...
  5. Sele Mkonje

    Alikiba ameshinda Mtv Ema lakini hakustahili zaidi ya Wizkid!

    Niaje wadau. Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu Alikiba kupokonywa ushindi huko MTV EMA.Naomba hapa nitumie nafasi hii kufafanua kilichotokea ili kuweza kuondoa huu utata. Kwa mujibu wa Mtv Ema Alikiba ameshinda kwa kura nyingi sana alizopigiwa na mashabiki na wamemtangaza kuwa katika...
  6. Sele Mkonje

    Joh Makini kuanzisha Lebo kama ilivyo kwa WCB

    Rapa mkali kutoka Weusi Joh Makini amewachana wanaoanzisha label hapa nchini kuwa wengi wao hawajui vigezo vya kumiliki label na badala yake wanazitumia label kama kiki katika muziki wao. Maneno hayo ameyasema katika kipindi cha enewz. Binafsi naona kabisa Dongo hili limelengwa kwa Alikiba...
  7. Sele Mkonje

    Mount Kilimanjaro in Botswana

    Habari za Jioni wanajF, Muda sio mrefu nimweka series inaitwa "ZOO". Yani nilichokiona ilibidi nishangae . Series inaanza kwa kuandikwa BOTSWANA tena kwa maandishi ya herufi kubwa na baada ya dk kama tatu nne hivi inaonsha watalii wapo katika gari yenye plate number za botswana wakitembezwa...
  8. Sele Mkonje

    Napendwa sana na Madem/Wake za watu

    Habari za asubuhi ndugu zangu Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu ni kwamba nimekuwa nikipendwa sana na wake za watu. Sielewi suala hili niliite ni Tatizo au bahati ama Mkosi kwa maana wakati mwengine huwa naogopa hata kuwafahamu wake/madem wa washkaji zangu nikihofia wasije wakafall in...
  9. Sele Mkonje

    Kidonda Kwenye Ulimi

    Habari za jioni Naomba kwa anayefahamu aniambie ni dawa gani naweza kutumia ili niweze kupona kidonda kilichopo kwenye ulimi. Sio mara ya kwanza kunipata na huwa natumia maji ya chumvi kusukutua kisha kinapona ila baada ya miaka 2 au 3 kinarudi tena. Nisaidieni jamani mana hata chakula sioni...
  10. Sele Mkonje

    Meli za Korea Kaskazini zatumia bendera ya Tanzania

    copy and Paste: Almost 50 ships linked to North Korea have reflagged in Tanzania since March,according to NK News reports, which called the frenzied flagging “an unprecedented campaign”.Analysis by the website, using data from MarineTraffic.com, Equasis and Port State Control (PSC) inspection...
  11. Sele Mkonje

    AliKiba na Diamond Kuoneshana jeuri ya Pesa

    Mziki wa bongo fleva umepata umaarufu mkubwa sana Barani Afrika na Duniani kwa ujumla. Kitendo hiki cha mziki wetu kuvuka border kimesaidia sana kuongeza Ajira kwa vijana na kukuza vipato vya wasanii wetu. Miongoni mwa wasanii wanaofanya vizuri ni Alikiba na Diamond. Wasanii hawa wawili...
  12. Sele Mkonje

    Yupo wapi Eddy Sultan?

    Habari za Ijumaa nduguz Kuna huyu jamaa alikuwa anatangaza Kipindi cha watoto wetu cha ITV miaka hiyo ya 90's hadi 2000's. Kuna kipindi tulimuona kwenye magazeti akiwa kavalia nguo za kirubani bt bado alikuwa mdogo sana. sasa sijui kwa sasahivi yupo wapi.? Tuliokuwa watoto enzi zile tulikuwa...
  13. Sele Mkonje

    Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

    Mambo vipi wanajamii. Kwa wale vijana wenzangu tuliozaliwa enzi za Nyerere na mwinyi kuna matangazo haya utakuwa unayakumbuka. Tangazo la kwanza ni lile linaloanza hivii "Tueleze siri ya Mafanikio yako", kisha yule mrembo anajibu "Sio siri ni Levora" nakumbuka kipindi kile watu walisema kuwa...
  14. Sele Mkonje

    Wasanii wetu wamejisahau katika hili

    Habari zenu Brothers and sisters in Humanity. Hakuna asiefahamu tukio lililotekea hivi majuzi huko Bukoba,watu mbali mbali wamejitokeza kutoa michango yao kuwasaidia wahanga wa Tetemeko. Cha ajabu ni kwamba mpaka sasa hakuna msanii wala wasanii waliojitokeza kutoa mchango wa hali na mali kwa...
  15. Sele Mkonje

    Napenda kuwa Mchambuzi wa masuala ya kisiasa

    Habari Zenu wakuu, Kuna kipindi nilikuwa sipendi kabisa habari za siasa but kutokana na maisha yanavyozidi kwenda nimekuwa nikivutiwa sana na Siasa. Nimekuwa mfuatiliaji sana wa mambo mbali mbali za kisiasa Tanzania na Nje ya Tanzania. Napenda kuona jinsi wachambuzi wanavyodadavua mada mbali...
  16. Sele Mkonje

    Inashauriwa kutokula chakula kizito mida ya usiku

    Tuko kwenye dunia ambayo kila kukicha kuna tafiti mpya au tunakumbushwa yale ambayo tunatakiwa kuyazingatia kila siku kwenye maisha. Na ninafahamu watanzania wengi huchelewa kufika nyumbani na hata kula chakula cha jioni. Kwenye mida ya saa mbili usiku hivi ndio utatukuta chakula kipo mezani...
  17. Sele Mkonje

    Diamond Muwekee Ulinzi (BODYGUARDS) Tiffah

    Habari zenu wanajamii..! Bila ya kupoteza muda hakuna asiyemfahamu Latifa Naseeb Abdul a.k.a Princess tiffah. Ila kwa faida ya wote ni kwamba tiffah ni mtoto wa star namba moja barani Afrika katika sekta ya Muziki. Kutokana na umaarufu wa baba yake ambaye ana mashabiki lukuki na maadui lukuki...
  18. Sele Mkonje

    Fahamu hili kuhusu Afrika ya Kusini

    Ni jumatatu tulivu sana na natumaini nyote ni wazima wa Afya. Afrika ya kusini ni moja ya nchi chache barani Afrika ambayo imepiga hatua kubwa sana kiuchumi. Uchuni wake unaendelea kukua kiasi kwamba kuna baadhi ya nchi huko Ulaya hazifikii kabisa uchumi wa "Sauzi". Nchi hii inatengeneza Magari...
  19. Sele Mkonje

    Polisi Iweke wazi picha za majambazi wanaokamatwa

    Habari za Jumapili ndugu zangu. Tumekuwa tukishuhudia katika vyombo vya habari vya kimataifa pale linapotokea tukio la kigaidi ama uhalifu ya aina yoyote ile basi wale wanaohusika picha zao huwekwa hadharani ili watu wawatambue. Hii husaidia sana Kurahisisha Kazi ya polisi kuwakamata. Picha...
  20. Sele Mkonje

    Idris Sultan Yamemfika Hapaa

    Msanii wa kuchekesha Idris Sultan amejitoa Rasmi katika mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya kinachosemekana kuwa ni maji kumfika shingoni. Watu wa karibu wa Idris wanasema kuwa Mchekeshaji huyo maarufu Tz amekerwa na tabia ya mashabiki wake kumuita Shemeji wakati yeye Kula hali. Mmmmmh...
Back
Top Bottom