Search results

  1. Sele Mkonje

    Je, naweza kutumia King'amuzi cha DSTV ya Afrika Kusini nchini Tanzania?

    Tatizo sitaki kumiss soapies za Mzansi. Halafu Natumia DSTV easy view ambayo nalipia R30 kwa mwezi yani kama TSHS 4000 hivi
  2. Sele Mkonje

    Je, naweza kutumia King'amuzi cha DSTV ya Afrika Kusini nchini Tanzania?

    Yani namaanisha naweza nikatoka na king'amuzi changu ninachotumia huku kikafanya kazi nikifika huko.? Kama wanavyofanya watanzania wanaotumia ving'amuzi vya Azam Tv nchini Afrika ya Kusini
  3. Sele Mkonje

    Je, naweza kutumia King'amuzi cha DSTV ya Afrika Kusini nchini Tanzania?

    Habari wakuu, Naomba tu kuuliza kama inawezekana nikatumia king'amuzi cha DSTV cha Afrika ya kusini nchini Tanzania. Nimeona nchi kama Zimbabwe na Malawi wanatumia sasa sijajua huko nyumbani iko vipi?
  4. Sele Mkonje

    Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

    Leo wakati nataka kuchek Quarantine ya Diamond nikajikuta nashuhudia maajabu na rekodi mpya ambayo Diamond Platnumz ameivunja. Tukio lake la kuweka rekodi hiyo limetokea dakika chache zilizopita. Diamond anafuatiwa na Millard ayo ambaye kwa sasa ana viewers M933 na huku King wa bongo Fuleva ana...
  5. Sele Mkonje

    Mtangazaji Maulid Kitenge ahamia WASAFI FM akitokea EFM

    Ila sijui kwanini mpaka leo wasafi fm hawapo online.? Kama wapo naomba link tafadhali
  6. Sele Mkonje

    Nini kitatokea endapo jua litazima/ litapotea?

    Jibu lake nakuletea soon baada ya uchambuzi na utafiti wa muda mrefu 🤓
  7. Sele Mkonje

    Serikali inajua kuwa ina raia Afrika Kusini?

    Sijui kama balozi wa Tanzania alihudhuria huu mkutano wa leo huko SA
  8. Sele Mkonje

    Msiba Wa Ruge Vs Kanumba

    Msiba wa majuto ndo ulikuwa mkubwa
  9. Sele Mkonje

    Zamaradi ataja ujio wa filamu yake aliyoiandaa kwa Milioni 200

    Nimeona trailer na alieharibu si mwingine ni mwanadada wema. Ameharibu sana yani bora hata asingekuwepo.
  10. Sele Mkonje

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    Nakumbuka wakati mzee anahamia Tabora mwaka 1999 Tv yetu ilikuwa inaonesha chenga tu hakukuwa na Itv kule sasa ikabidi tuwaulize wenyeji wa pale kuwa wanaangaliaga wapi Tausi? Kuna kijana mmoja akasema kesho twendeni niwapeleke,basi si akatupeleka Pale Game park kuangalia Tausi ndege na sio...
  11. Sele Mkonje

    Baada ya Alikiba kuwa mdhamini mkuu wa Kombe la Dunia, Waopambana kumshusha watafanikiwa kweli?!

    Mi nilikuwa nahisi labda hii Mo fire ni moja Kati ya Mo Orange na zinginezo za Mohamed enterprises
  12. Sele Mkonje

    Wakati Tanzania tunapeleka balozi Israel, South Afrika tuliowasaidia na ukandamizwaji wanamwondoa balozi wao

    Kumbuka kuwa hawa waisraeli walikuwa wanaunga mkono Serikali ya kibaguzi ya Afrika kusini enzi hizo SA ilivyokuwa imetengwa na Dunia
  13. Sele Mkonje

    Jinsi ya kuongeza followers instagram

    Daah ebwana si mchezo thread hii sijui nani kaizindua tena
  14. Sele Mkonje

    Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

    Me niliondoka Tz last month. Nilikuja likizo nikakaa miez 5. Kiukweli kama isingekuwa ile ticket ya return nahisi mpaka leo ningekuwa Tz natafuta nauli ya kuondokea. Jua linawaka mpaka mifukoni. Vyuma vimekaza jamani ila tusisahau kuwa ukiona Mambo yanazidi kuwa magumu basi ujue neema...
  15. Sele Mkonje

    Nimepata mshtuko mkubwa Ubungo Bus Terminal leo alfajiri!

    Msamvu ndo mpango mzima. Yani ile stand inavishinda hata baadhi ya Airports za Tanzania
Back
Top Bottom