Search results

  1. bobby_Barbosa_9

    Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

    Unafikiri USA ni Tz sio? Au unahisi ni morogoro pale
  2. bobby_Barbosa_9

    Rubik cube

    Kwenye maduka yanayo uza vitabu na vifaa vya elimu. bei hutofautiana ila vingi vya tz bei ni 3000-5000/=
  3. bobby_Barbosa_9

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Ahsante kwa hii copy, ngoja nianze kusoma
  4. bobby_Barbosa_9

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sasa ukipigwa game zote hizo mpaka uje kukutana na liver si utakuwa una point za kushuka daraja
  5. bobby_Barbosa_9

    Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

    Sasa aliekuambia Mimi nashabikia Russia ni nani.. mi nimefurahia hii taarifa mzee[emoji16]
  6. bobby_Barbosa_9

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Warusi wa buza hamuamini, tuliwaambia lakini. Bado Putin mwenyewe
  7. bobby_Barbosa_9

    Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

    Watu hamuamini, kwamba mnahisi ye ni immortal au? Poleni warusi wa buza[emoji23]
  8. bobby_Barbosa_9

    Evelyn!!! Siku saba ngumu zaidi nilizowahi kuzipitia maishani

    You know nothing, ukihisi wazuri hawana watu wanao walilia basi we bado mtoto Sana kwenye hivi vitu. Na ukifikiri wanaume wenye hela kwenye mapenzi hawateteleki ama kuumizwa basi napo hujui chochote.
  9. bobby_Barbosa_9

    Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Hivi unajua unachoongea[emoji23]? Jamaa Wana vitu ni hatari just fatilia kwenye huo msafara wao. Wana hadi air defense
  10. bobby_Barbosa_9

    Vuguvugu la mapinduzi lanukia Urusi. Wagner group yafarakana na vikosi vya serikali. Askari watanda miji yote mikubwa. Putin kuongea muda mfupi

    Ila sijui huwa mnafikiria kwa kutumia Nini[emoji3], mbinu ndege za kivita zinadunguliwa kila muda?
  11. bobby_Barbosa_9

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Tuliwaambia toka mwanzo hii Vita itakuwa mbaya kwa Russia mwenyewe kwa namna yoyote Ile mkabisha na kutuita mashoga! Kiko wapi na hapo bado, western sio watu wazuri na next time tofautisheni mahaba na ukweli.
  12. bobby_Barbosa_9

    Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Kuna mwanajeshi wa Wagner kajaribu kumuua prigo Ila wamemuwahi na wamemuua. It's getting hot, tuliwaambia lkn warusi wa tz [emoji3]
  13. bobby_Barbosa_9

    Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

    Uchumi ndio hasara kubwa, Russia uchumi wake hauwezi kuwa sawa Vita vikiisha. Nchi yenyewe uchumi wake ni budget ya USA kwenye jeshi pekee kwa miaka mitatu[emoji16] Nyongeza, Ukraine hana Cha kupoteza plus toka lini Russia akashindana na Ukraine.. Russia anataka kushindana na USA kitu ambacho...
  14. bobby_Barbosa_9

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    "Era come to an end", manina[emoji23]
  15. bobby_Barbosa_9

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kaonekana tandale[emoji23]
Back
Top Bottom