Kila tarehe ya 12 August ni siku ya vijana kimataifa. Kuna mambo mengi ambayo vijana kama nguvu ya taifa na mabadiliko hupitia.
1. Ukosefu wa ajira. Je ni nini kifanyike kuwakwamua vijana kwenye janga hili? Jambo la kusema vijana wajiajiri je ni kweli kuna mazingira wezeshi ya vijana kujiajiri...
EDWIN MTEI alizaliwa jumanne 12.7.1932 siku hiyo mama yake Akiwa mjamzito akiambatana na jirani yake waliamka asubuhi Sana na kwenda kwenye shamba la mahindi na maharage lililokua km 8 kutoka Marangu.
Asubuhi hiyo Bi. Anginaeli alijifungua Mtoto EDWIN huku Mama huyo akirejea nyumbani kibabe...
Homa ya ini ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya Virusi ambavyo vikishaingia mwilini hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi Sugu! Virusi hivyo kitaalamu vinaitwa Hepatitis B Virus (HBV)
Virusi hivyo husambazwa kwa njia ya damu au majimaji mengine ya mwilini mfano Mate, au jasho! Watu...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kamati aliyounda kuchunguza ajali ya lori la mafuta iliyotokea Agosti 10, mwaka huu mkoani Morogoro, imekamilisha majukumu yake.
Akizungumza wakati akitoa hoja ya kuahirisha bunge, bungeni jijini Dodoma leo Ijumaa Septemba 13, amesema baada ya tukio hilo la...
Viongozi 10 wa kiafrika wanatarajiwa kuhudhuria shughuli ya maziko ya Rais wa kwanza Zimbabwe Robert Mugabe. Hayo yameelezwa na msemaji mkuu wa Serikali na Mwili wa marehemu ulirudishwa Zimbabwe Jumatano ukitokea Singapore alikofariki akiwa na umri wa miaka 95.
Miongoni mwa viongozi wa Afrika...
Baraza la Madiwani la halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga limewafukuza kazi watumishi 46 waliojipatia kazi kwa njia ya udanganyifu kwa kughushi vyeti vya taaluma na kuisababishia serikali hasara.
Uamuzi huo umetolewa jana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Msalala, Mibako Mabubu kwenye kikao...
Dkt Faustine ametoa wiki 2 kwa Msajili wa Baraza la Madaktari la Tanganyika na Baraza la Wauguzi Tanzania kuchunguza suala la mtoto wa miaka mitano kukatwa kiganja cha mkono kilichoharibika baada ya kuchomwa sindano kupitia mshipa
Amesema watu wamekuwa wakitibiwa kienyeji katika vituo vya...
Haji Ali Haji mwenye umri wa miaka 55 Mkaazi wa Jambiani Mfumbwi amefariki dunia baada ya kuzama bahari wakati akiwa katika shughuli zake za uvuvi.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja Suleiman Hassan Suleiman amesema tukio hilo limetokea majira ya saa...
Jamuhuri imewafikisha mahakamani askari polisi watano na mwanajeshi mmoja wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka matatu, likiwamo la wizi wa mafuta ya ndege yenye thamani zaidi ya Sh milioni nne na kutakatisha fedha hizo.
Washtakiwa walifikishwa jana Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Mkulima na mkazi wa Kijiji cha Gallu wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, Masatu Kezirahabi (94), amekufa kwa kujinyonga kwa kutumia mtandio siku sita tangu sehemu ya shamba lake itwaliwe na serikali ya kijiji.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro amesema mwili wa mkulima huyo ulikutwa...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi amewataka wananchi hususani mkoani Kagera, kuendelea kuchukua tahadhari ya kuokota vitu vinavyong’ara au vyuma wasije wakaokota mabomu.
Dk. Mwinyi amesema hayo akijibu swali la Mbunge wa Nungwi, Yussuf Haji Khamis, bungeni jijini...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Dk Charles Msonde
Dar es Salaam. Wanafunzi 947,221 wa darasa la saba kutoka shule 17,051 za Tanzania bara, wanatarajia kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kesho Jumatano na keshokutwa...
Umepewa au umejipatia mwenyewe kamera yako (mpya) hongera!. Ukiwa na kamera yenye uwezo (mega pixels) mkubwa na ukiwa unapenda piga picha hapo kuna maisha flani hivi unayaishi na kupata uzoefu flani wa kuitwa mpiga picha (photographer).
Lakini kabla hujatoka na kuenda kuanza kupiga picha hizo...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli moja limeridhia kubadilishwa kwa sehemu ya pori la akiba la Selous kuwa hifadhi ya taifa ya Nyerere, eneo ambalo linaukubwa wa kilomita za mraba 30,893.
Pori la akiba la selous lilianzishwa kwa tangazo lilianzishwa kwa tangazo la serikali namba...
Polisi Mkoa wa Mara wanamshikilia Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Bwai A, Wilaya ya Musoma Lazaro Mmanga, kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 14 wakati akijiandaa kufanya mtihani wa Taifa.
Kamanda wa Polisi Mkoa Juma Ndaki amesema Mwalimu huyo...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mara nchini Tanzania inamshikilia Katibu wa Msikiti wa Rahman uliopo Nyakato manispaa ya Musoma mkoani humo kwa tuhuma za kujifanya kamanda wa Takukuru mkoa wa Mara.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Septemba 6, 2019 Mkuu...
Wabunge wa Uingereza wamepiga kura 328 dhidi ya 301, kuunga mkono juhudi za kuzuia mpango wa taifa hilo kujiondoa kutoka Umoja wa Ulaya bila ya makubaliano.
Hatua hiyo sasa inapisha njia kwa wabunge kupitisha sheria baadae siku ya Jumatano, ambayo itamshinikiza Waziri mkuu Boris Johnson kuuomba...
Mara baada ya uzinduzi rasmi wa mradi wa uzalishaji umeme Katika eneo la hifadhi ya Selous, Mpango wa Mazingira wa Umoja wa Mataifa umeidhinisha ukisema haina hatari kwa mazingira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.