Search results

  1. Jollie

    Utunzaji wa nywele za asili

    Jinsi ya kuandaa * Chukua kitunguu kimoja au viwili kutegemea na ukubwa wa kitunguu, kimenye * Kata kitunguu au vitunguu vipande vidogo vidogo ili iwe rahisi kusaga au kutwanga * Visage au vitwange mpaka vilainike kabisa ili uweze kutoa maji kwa urahisi na uvichuje bila kuongeza maji. Jinsi...
  2. Jollie

    Maeneo ambayo huamsha isia kwenye mwili wa mwanaume

    kwa hakika wanaume nao huwa na maeneo ya kuwasisimua na kuwapandisha kasi zaidi,kama zifuatazo 1. MASIKIO hii ni seheme ambayo hubeba hisia nyingi sana za mwanadamu; hapa mwanamke unatakiwa ufanye kama kukunong'oneza kimahaba kisha utumie ulimi wako kukugusa masikio ndani,nje na kwa nyuma pia...
  3. Jollie

    Rais wa bunge la Ufaransa kuchunguzwa kuhusu ubadhirifu

    Rais wa bunge la Ufaransa Richard Ferrand ameazimia kubakia kwenye nafasi yake baada ya majaji wanaohusika na uchunguzi kumuweka mshirika huyo wa karibu wa rais Emmanuel Macron chini ya uchunguzi rasmi katika sakata la ubadhirifu wa fedha. Hayo yameelezwa na ofisi ya rais huyo wa bunge. Majaji...
  4. Jollie

    Mwanafunzi ajiua baada ya mwalimu kumkejeli kwa kupatwa hedhi akiwa darasani

    Jeshi la Polisi nchini Kenya linaendesha uchunguzi juu ya tukio lililopelekea mwanafunzi wa umri wa miaka 14 kujiua saa kadhaa baada ya nguo zake kuloa damu ya hedhi alipokuwa shule, Ijumaa Septemba 6, 2019. Mama wa Jackline Chepngeno, Beatrice Chepkurui Koech amesema kuwa mtoto wake...
  5. Jollie

    Shinyanga: Mwalimu mbaroni kwa kumkata mpenzi wake kwa panga wakiwa njiani kuelekea ukweni

    Mwalimu Joseph Msafiri anayefundisha Shule ya Msingi Namagubu Ukerewe, anashikiliwa na Polisi Mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kumkata mapanga na kumsababishia maumivu makali Mpenzi wake Neema Kabulu(19), wakiwa wamelala Gesti ili kesho yake Mwanamke akatambulishwe ukweni Shinyanga. Kamanda wa...
  6. Jollie

    Mbeya: Watuhumiwa 10 wafikishwa Mahakamani. Watano washtakiwa kwa Uhujumu Uchumi

    Watuhumiwa 10 wanaodaiwa kuwa ni Wafanyabiashara wa Madini wamefikishwa Mahakamani kwa Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Mbeya. Watano kati yao wamesomewa mashtaka ya uhujumu uchumi ikiwemo utoroshaji wa madini, watano wamewekwa chini ya uangalizi wa Mahakama kwa Mwaka mmoja.
  7. Jollie

    Mufindi: Mwandishi wa habari Sebastian Emmanuel Atilio, afikishwa mahakamani, anyimwa dhamana...

    Mwandishi wa habari wa kujitegemea ndugu. Sebastian Emmanuel Atilio ameshikiliwa na Polisi Wilayani Mufindi mkoani Iringa kwa siku tatu kwa tuhuma za kuchapisha taarifa za kinachoitwa mgogoro wa ardhi kati ya kijiji cha Ifupila na kampuni ya Unilever inayolima zao la chai Wilayani humo...
  8. Jollie

    Rais Magufuli ataka Rais Museveni kuwa mkali kwa watendaji wake

    Rais wa Tanzania, John Magufuli amemtaka Rais wa Yoweri Museven wa Uganda kuwa mkali kwa watendaji wake ambao wanakwamisha kuanza kwa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini humo mpaka Tanga, Tanzania. Magufuli ametoa mfano wakati alipoingia madarakani Novemba 5, 2015...
  9. Jollie

    Maurice: Jogoo mwenye kelele nyingi ashinda kesi dhidi ya majirani zake

    Mahakama ya Ufaransa imetoa hukumu ikumuunga mkono mmiliki wa jogoo mmoja baada ya kelele za alfajiri za kuku huyo kuwakera majirani zake. Maurice kutoka kisiwa cha Oleron katika pwani ya Atlantic alituhumiwa kwa kuwakera wanandoa waliostaafu wanaomiliki nyumba ya likizo katika eneo hilo...
  10. Jollie

    Mambo machache ambayo mwanaume anatakiwa kufanya kwa mpenzi wake

    [emoji255]Tenga muda wa kustarehe pamoja Ili kudumisha mahusiano na mwanamke lazima kuwepo na mda wa kuwa pamoja na kufanya mambo yenu mnayoyataka kwa kuridhika bila kupungukiwa na muda. Kwa mfano ni muhimu kupumzika mapema kitandani ili kuhakikisha mnakuwa na wasaa wa kutosha wa kufanya...
  11. Jollie

    JamiiForums yapata tuzo ya Uhamasishaji wa Uhuru wa Maoni/Taarifa nchini kutoka UTPC

    Siku zote utapata kile unachostahili kulingana na mambo unayoyatenda. Hakika hili Jambo ni Jema na JF mmestahili kupokea hio tuzo,Hamjawahi kuacha haki ipotee You deserve the best
  12. Jollie

    Umeshawahi kujiuliza ni aina gani ya marafiki ulionao ?

    Pole sana na hongera kwa kumjua rafiki wako wa kweri
  13. Jollie

    Umeshawahi kujiuliza ni aina gani ya marafiki ulionao ?

    [emoji23][emoji23][emoji23]That is good
  14. Jollie

    Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane, nifanyeje?

    Kuwa makini na maisha yako Kwanza ndoa hupangwa kwa muda mrefu hadi kuja kufungwa ndani ya wiki akaoa hapo tayari alikua na mahusiano mengine Kingine unaweza ukawa ulitumika kama daraja la kumvusha huyo mwanaume kuingia kwenye ndoa(hakuwa na malengo na wewe) Kingine ulianza mahusiano ukiwa...
  15. Jollie

    Umeshawahi kujiuliza ni aina gani ya marafiki ulionao ?

    Katika maisha utakutana na marafiki wengi, wapo marafiki watakao kusaidia katika kupiga hatua kutoka hali duni kufikia maendeleo pia wapo watakao kurudisha hatua moja nyuma yaani kutoka maendeleo kwenda hali duni. Rafiki mwenye kukusaidia kupiga hatua kwenda mbele ni yule ambaye kwanza...
Back
Top Bottom