Search results

  1. B

    Mkeka unakuja wa kuwaondoa Mawaziri nonsense kwenye Serikali ya Samia

    Kuna mtoto wa aliyewahi kuwa kigogo wa nchi anatafutiwa uwaziri kwa njia yoyote kwa ku sacrifice mawaziri wengine
  2. B

    Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

    Burundi Jana mvua imenyesha tena na radi kibao
  3. B

    Kuna dalili za kuchelewesha mradi wa Bwawa la Nyerere ili tununue Umeme kwa watu binafsi na Kurudi kwenye Bomba la Gesi

    Kuna mwekezaji mmoja kutoka katika moja ya nchi gulf katika mazungumzo yetu nakumbaka aliniabia katka miradi yote ambayo Mhe. Magufuli aliyoanzisha, mradi wa umeme wa Mwalimu Nyerere ni mradi mkubwa na wenye manufaa kwa taifa kama utakamilika.
  4. B

    Kama bado kuna mtu mwenye mashaka na Rais Samia, hotuba aliyoitoa leo ndio jibu lake

    Kwenda nje na msululu wa watu siyo solution ya kutafuta wawekezaji waje kuwekeza nchini mwako kwanini asitumie balozi zetu zilizoko huko ulaya na marekani kutafuta hao wawekezaji ? Tuna mifano ya nchi ambazo zimepiga hatua kubwa kwa kuwa na foreign investments nyingi kutoka ulaya na marekani...
  5. B

    Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi

    Nini impact ya kuipaisha Tanzania kimataifa has changed your hardship of your life[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. B

    #COVID19 Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kuna nchi moja kutoka gulf states imechanja almost raia wake wote laikini maabukizi na vifo ndo yanazidi kutapakaa na kila siku wana strengthens mashariti na ku lock down nchi yao. Vaccine siyo solutions at all.
  7. B

    Mishahara kuchelewa, kipimo kingine cha uwezo wa Rais Samia

    Mark my word....Soon mishahara yenu itaanza kulipwa tarehe 2 of the next month [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. B

    Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

    Lazima akosolewe kwenye mazuri tutampongeza na kwenye mabaya atasemwa ndo maana hata JPM alikosolewa we have to be fair maana JPM alipokuwa anokoselewa wengi humu Jf walikuwa wanashangilia....honeymoon is about to be over
  9. B

    #COVID19 Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya Covid-19

    Kuna nchi fulani Middle East % kubwa ya raia wake wamechanja tena wamemaliza 2 dosages lakini cha kushangaza watu wanakufa above 50 everyday na maambukizi yanaongezeka kila siku though walifuata ushauri wote wa nchi za mangharibi
  10. B

    Rais Samia Suluhu aidhinisha pesa kila jimbo ujenzi wa barabara za TARURA

    Km1 ya barabara ya lami cost yake ni 1b sasa hiyo 500m hatajenga hata 1KM ya barabara
  11. B

    Kwa sasa Ufipa na Msoga damu damu na hii ndio siasa!

    Hakuna mtu atakae ishi milele hapa duniani including you
Back
Top Bottom