Search results

  1. M

    Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Naomba niangalizie Antimo Michael
  2. M

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    CHADEMA imechemka saaaaaaaaaaaaaaaanaaa...Watu walikuwa wakisema ni chama cha Kaskazini na Kidini.Lakini kwa hekima ya viongozi wakajitahidi kuweza sawa na kurekebisha fikra potofu za wananchi na hatimaye CDM ikawa sio ya kaskazini wala ya kidini...Sasa inaonekana kumbe walioona hilo toka awali...
  3. M

    Simba SC v Young Africans SC

    mlioko uwanjani mnaweza tuma picha tuone huku mkoani?
  4. M

    Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

    mi hata hapa nilipo mchana huu niko room kwangu nimejipumzisha uchi kabisaaaa....na relux!!!!!!..
  5. M

    Nahitaji gari

    Ninampango wa kuuza gari yangu aina ya toyota caldina-GT ya mwaka 1997,4WD,cc 2,000 mwezi wa 7 mwaka huu.Iko katika hali nzuri kabisa.full kiyoyozi.kama utakuwa bado hujapata hadi muda huo tuwasiliane.Lengo la kuuza ni kubadili aina ya gari.
  6. M

    Ubadhilifu wa Dr. Slaa siku moja kabla sijafukuzwa CHADEMA

    Mwampamba unatutia aibu vijana wenzako kwa kuwa na upeo finyu wa kufikiri.Kwa Dr. Si staff wa CDM?..We mwampamba umewahi kuwa staff wa taasisi yoyote ktk maisha yako????...Je hujui kuwa ukiwa staff wa taasisi yoyote unaruhusiwa kukopa toka katika taasisi hiyo????...watu tuna kopeshwa...
  7. M

    Simba FC vs Mtibwa sugar FC leo tar 24-02-2013,uwanja wa taifa!!!

    simba waachane na mechi zote mwaka huu waende wakatengeneze mambo ya club kwanza na wajipange upya ndipo warudi kwenye ligi.La sivyo watafungwa sana mwaka huu.
  8. M

    January Makamba 'amstaafisha' CEO wa TTCL na kuweka pembeni wengine

    my wife alipona na ndio maana alikuwa na nguvu za kupiga kungele.
  9. M

    Ajali ubungo terminal

    Ndugu yangu, watu tunatembelea magari ya 40m kwa mkopo.Na mkopo wenyewe hatukusema tunanunulia magari maana huenda benki wangesema lazima uwe na comprehesive.Bima 3rd party.Hapo utajua kwanini mtu hukata network ya kufikiri na hatimaye anajinyonga kwa kamba hadi kufa.
  10. M

    Ajali ubungo terminal

    Ingia hapa uone madhara ya ajali hiyo ya ubungo terminal, MICHUZI: ukuta waangukia magari na kuharibika vibaya ndani ya kituo cha Mabasi ya Ubungo Bus Terminal jijini dar leo.
  11. M

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    nimekuwa mshabiki kwa sehemu wa kusikiliza redio ya clouds FM asubuhi nikiwa kwenye foleni.Lakini leo nilijuta niliposikia maneno ya kejeli na dhihaka dhidi ya gazeti la Tanzania Daima lililoongea kuwa "hukumu ya Lema ni ya kihistoria".Hata kama asingeshinda mimi ningeona ni ya kihistoria kwa...
  12. M

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Clouds FM wameniboa sana leo asubuhi.Bahati yao kesho ni jumamosi na hawana kipindi chao cha power breakfast, yaani wasingeongea kabisa kuhusu kesi ya lema na kujifanya hawajui kinachoendelea.Nafikiri credibility yao itaanza kupotea kabisa.Aibu sana imuendee Grald Hando wa Clouds FM Power Breakfast.
  13. M

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Kurudi kwa Lema Bungeni, Bunge halitakuwa na ladha kabisa kwa wana CCM na hasa baba Pinda.
  14. M

    Mapokezi ya Lema ni kesho ndani ya jiji la Arusha kuanzia KIA

    Hengereni wapiga kura wa Arusha, hongera Lema.CCM inatakiwa wawalipe wana Arusha na Lema kwa damage ya kisaikolojia kwa muda wote kesi ikiwa inaendela.
  15. M

    Naomba ushauri wa kitaalamu.

    Asante kwa ushauri
  16. M

    CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

    Ndo penalt zinaanza!!!!!!!!!!
  17. M

    CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

    tetetetete...nimekupata mkuu
  18. M

    CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

    Hivi Tz na Ug wanaanza saa ngapi?
  19. M

    CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

    dak 102--2-2
Back
Top Bottom