Wadau nina simu aina ya itel ina android nataka kutumia intrrnet kupitia line ya tigo naomba mnisaidie kujaza maelezo yafuatayo: Name. APN. Proxy. Port. Username. Password. Server. Mmsc. MNC. Authentification type.APN type.APN protocal. Nitashukuru kwa msaada wenu
kama umeweza kuwa na dynamo nakushauri ujaribu umeme wa uupepo,siyo ule wa mnara mrefu utakugharimu ku erect mnara,nazungumzia ule wa kutumia pipa lililokatwa kwa urefu nakutegwa kuwa turbine ambayo ikipigwa na upepo inazungusha dynamo ambayo itafua umeme kwa ajili ya kuchaji betri . Ukiwa...
Naomba tutengeneze kitu hapa chenye kufanana na balance sheet,upande wa kushoto tujaze mambo mazuri aliyoweza kuyafanya na upande wa kulia tujaze mapungufu na madhaifu yake and then tuangalie upande upi nimzito zaidi na ndipo tupate conclusion.
Mkuu asante kwa elimu.naomba nikuulize swali lililo nje ya mada! Je nahitaji kuwa na pc yenye uwezo gani ili kufanya graphic designing kwa cs4 au cs5? natanguliza wingi wa asante hata kabla sijajibiwa.
Kwa hapa Tz barabara hatari zaidi ni ile itokayo chimala Mbeya kuelekea Matamba barabara hutoisahau lpo kwenye mlima mkali madereva waliowengi katika mji kama Dar hawawezi kupanda mlima huo,una kona 52,kona maarufu zaidi imepewa jina inaitwa Mwadangala Nikona ambayo ukiwa na roho nyepesi inabidi...
Moja ya consiquency za uchafuzi wa mazingira ni mchafuko wa ajili za baadhi ya binadamu waishio katika sayari ya dunia na ukitaka kuprove hilo nipale unaposhuhudia watu wakimtetea mtu kama Idi Amin.ushabiki mwingine haina hata kichwa.ni bora kama mtu haina cha kuchangia akae kimya!
Not true brother Christianity and rastafarian are two different things,there difference is that of diesel and milk,it is better to use other example not the one you have used.
kichwa cha habari kimesema utaje movie ambayo hutoisahau lakini wewe umeorodhesha movie kadhaa! .kwa upande wangu movie ambayo sitaisahau ni firstblood ya silyvester Stallone alitumia jina la Rambo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.