Search results

  1. A3M

    Hii ni kwa Wanaohusika na taaluma ya Ujenzi wa Nyumba

    Asante kwa ushauri mkuu
  2. A3M

    Hii ni kwa Wanaohusika na taaluma ya Ujenzi wa Nyumba

    Asante mkuu kwa ushauri
  3. A3M

    Hii ni kwa Wanaohusika na taaluma ya Ujenzi wa Nyumba

    Siku 40 unamalizaje ujenzi
  4. A3M

    Hii ni kwa Wanaohusika na taaluma ya Ujenzi wa Nyumba

    Sijaelewa unafanya nalo kazi vipi?
  5. A3M

    Hii ni kwa Wanaohusika na taaluma ya Ujenzi wa Nyumba

    Habari Wana JF. Ni matumaini yangu mko poa na mnaendelea vizuri na Shughuli za Ujenzi wa Taifa. Wakuu Mimi naishi nje ya nchi na sitarajii kurudi kwa miaka hii mitano inayokuja lakini nahitaji kujenga Nyumba ambapo kiwanja kipo tayari nilishanunua ila tatizo sina mtu wa kunisimamia. Hivyo...
  6. A3M

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Na mimi nataka likes Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A3M

    Naombeni ushauri niende kubaki Marekani au nirudi nyumbani

    Mkuu wewe ni mmoja kati ya watu wenye Uelewa wa hali ya juu mno Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A3M

    Je hawa ni wakweli au wanataka kuibia watu?

    Nashukuru sana mkuu kwa kunipa mwanga.Mungu akubariki sana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A3M

    Je hawa ni wakweli au wanataka kuibia watu?

    Wanauza nyumba mbalimbali Daresalaam na ni nzuri sana zenye kuonekana zinathamani kubwa kwa milioni 35-80 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A3M

    Je hawa ni wakweli au wanataka kuibia watu?

    Habari wadau Great thinkers wa humu JF Natamani mko poa na ambae hayuko vizuri Mungu atamsaidia atamrudisha katika hali yake ya kawaida. Wadau nimekuwa nikifuatilia sana baadhi ya Madalali wanaojitangaza katika Social networks hasa Instagram na Facebook ambao wananadisha nyumba zinazouzwa Kama...
  11. A3M

    Kwa hili la Segerea, CHADEMA ikiri imekosea

    Tanzania kuna sheria mjomba?Nchi gani hiyo inayoendeshwa bila ya matakwa ya wananchi kama tuna viongozi wa kweli wangetupatia Katiba mpya na tume huru ila wanatumia Dola kujinufaisha wenyewe na kujilimbikizia Mali bila kujali wananchi wanavyopata tabu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A3M

    Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

    Big up sana haya mambo yana watu wake Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A3M

    Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

    Samahani sina uwezo huo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A3M

    Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

    Zitaje Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom