Search results

  1. S

    Edward Lowassa aumbuka Arumeru Mashariki

    duuh!ama kweli yakikukufika huna pa kujificha.haya ngoja tusubiri tuone
  2. S

    Gazeti la mwanahalisi lilituhabarisha mwaka jana

    duuh! Police mmeyasikia na kuyasoma haya???jueni sasa hivi mambo si kama zamani ya usili usli,mmeletewa mezani kila kitu.tupeni matokeo ya haya kama mliyafanyia uchunguzi,mmwtupa wa maladhi ya DK MWAKYEMBE.sawa,sasa ni wakati wakutupatia na matokeo ya hayo mliyopewa long time with no any public...
  3. S

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    utazimika moto huu endapo tu madai yao yote yakitekelezwa
  4. S

    Mfanyakazi wa Bodi ya Mikopo akamatwa kwa kuingiza Majina hewa na kujipatia ulaji mil 91

    wapo wengi dizaini hizo,fuatilieni nataasisi zingine muone
  5. S

    Madaktari Waamua Kutangaza Mgomo Rasmi Kuanzia Kesho tarehe 24/01/2012

    mii nasema hivi,(waendelee hivyo hivyo kuikaba koo serikali)lazima serikali itakubali tuMADAKTARI OYEEEEEEE
  6. S

    Ninge mshauri hivi dr w.slaa alipokutana na rais kikwete

    1)Ange muuliza,mh Rais,una kili kwamba uchaguzi uliopita ulichakaluliwa na tume ya uchaguzi?na kama ulichakachuliwa mbona ina sadikika hata hao ulio wateuwa wana ma skendo kibao? 2}Je kwanini aliusaini muswada wa uandaaji katiba mpya?ili hali wadau wengi bado walikuwa na duku duku juu ya hili...
  7. S

    Baadhi ya Wazanzibari wapinga Tanzania kudai eneo zaidi la mpaka wa bahari kuu

    Mwenyezi MUNGU aliepushe hili zoezi lisiwepo
  8. S

    Kidonda kwenye Uume

    ana umri wa miaka mingapi? na je ametailiwa?nikipata majibu hayo naweza kushauri japo kidogo
  9. S

    msaada waku,eti aleji test ndio nini?

    nendamagomeni karibu na bp petro station kushoto kuna hosp inaitwa ekenywa ni ya dr ole wa muhimbili wana pima hapo
  10. S

    jipatie gari kwa bei poa

    mimi ni mmoja ambao naitaji gari.je unapatikana wapi mkuu?
  11. S

    Mdahalo Movenpick unataka kuhudhuria ?

    je mdahalo huo utaonyeshwa live kwenye luninga?ipi
  12. S

    J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

    hawataweza kumkamata kwani wamekwisha kujua ghalama yake ni kubwa sana
  13. S

    Picha: Kufuru ya Tundu Lisu jijini Mwanza Ijumaa iliyopita

    Nimekubali mkuu,tunaitaji wapambanaji kama hawo nasi tuwaunge mkono
Back
Top Bottom