Search results

  1. C

    Hivi ile tume iliyoundwa kuchunguza kisa cha moto wa soko la kariakoo ilifikia wapi?

    Siyo mara ya kwanza kuundwa tume ya uchunguzi kufuatia majanga yanayotokea, mbaya sasa hakuna majibu yanayotolewa kama matokeo ya uchunguzi wao. Ni kwamba hatupaswi kujua? Zinaundwa za nini, kujua nini na zinafanya kazi kweli? hatuoni kujifunza kutokana na makosa hivyo inatia wasiwasi juu ya...
  2. C

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    ...Tekinolojia na Mungu
  3. C

    Ndege ivutwe na wananchi utegemee watu kupona?

    Kuburuza watu kwenye matope wanaweza, si ndo wanalipwa kwa hayo...
  4. C

    Chadema: Kama Taifa hatuna uwezo wa kukabiliana na majanga

    JAMAA ACHA AJILIPE TU NA HILO PUA, KUVUTA LILE DEGE NA KAMBA SIYO KAZI NDOGO NYIEE
  5. C

    Ndege ivutwe na wananchi utegemee watu kupona?

    Na wana mikogo hao kwenye maonyesho ya 'state' utadhani tumepata mno...
  6. C

    Chadema: Kama Taifa hatuna uwezo wa kukabiliana na majanga

    Wavuvi haramu leo wamefanya uokozi wa ndege, na taifa limenyamaza tu...
  7. C

    Ndege ivutwe na wananchi utegemee watu kupona?

    Kwa taarifa zilizoonekana wazi, wananchi ndio walikuwa mstari wa mbele kwenye uokoaji wa ndege pale Bukoba hasa kwenye hatua za mwanzo za uokoaji hawa ni watu wa kupongezwa sana. Mara kadhaa kumekuwa na majaribio ya kujiandaa na dharura viwanja vya ndege natumaini mengi wanajifunza, matukio...
  8. C

    Michezo inaendeleza biashara ya watu na utumwa mambo leo

    Michezo inaendeleza Biashara ya watu Kwenye michezo sahivi ni pesa kwanza, maana yake biashara, watu wanauzwa na kununuliwa kama bidhaa mithili ya ilivyokuwa kwenye zama za utumwa miaka ile. Timu zinakaa mezani kupitia viongozi wao na kujadili bei ya wachezaji kisha kulipana pesa. Hii ni...
  9. C

    Na nyie mnaamini wazazi ni chanzo kikuu cha panya road?

    Ni moja ya sababu lakini sababu kubwa ya kuwepo kwa panya road ni hali ngumu ya maisha, mfumuko wa bei, kukosa ajira na kunyimwa mazingira ya kujiajiri hasa 'umachinga'. Wanaokamatwa sasa hivi siyo watoto ni vijana wakubwa na wengine ni wababa kabisa, bado tu kuna sababu ya kuwatupia lawama...
  10. C

    SoC02 Wazee walizeekaje bila kukunua magari? Kwanini tuwaachie viti kwenye daladala ili sisi tusimame?

    Creative Monster Baraza la wazee liliwahi kuomba vijana wawe na heshima kwa wazee hususani kwenye daladala pale wazee wanapokosa viti basi vijana wasimame kuwapisha wazee wakae. Ni kweli na ni swala zuri sana na la kuenzi. Septemba mosi ndani ya daladala iliyokuwa ikitokea Mbagala kuelekea...
Back
Top Bottom