Search results

  1. Amafita

    Msosi wa lugha huu hapa, najua wengi mlikuwa na njaa sana

    Asalam Alaykum (Amani iwe nanyi) Yafuatayo ni baadhi ya maneno ya Kiswahili ambayo huwa hayatumiki sana na kupelekea kutokujulikana na watu wengi katika jamii zetu hivyo kupunguza kama sio kuua matumizi ya maneno hayo. Swahili - English Kimemeshi - Charger Kitenzambali - Remote Karakara -...
  2. Amafita

    Najua huenda ikawa ndio mara yako ya kwanza kujua/kusikia neno hili

    Kwema wana JamiiForums?!!! Nadhani karibia kila mmoja atakayesoma uzi huu tangu umezaliwa umekuta watu wakitumia neno CHIPS na umekuwa ukilitumia kwa kipindi chote cha maisha yako. Labda kama ulikuwa hufahamu basi tambua kuwa neno mbadala la Kiswahili ni VIBANZI. Hivyo basi kuanzia leo ukienda...
  3. Amafita

    Nina uhahika 98% hawajui hili

    Habari wa JamiiForum. Najua imezoeleka katika jamii zetu kwa rika zote (watoto, vijana, wazazi na hata wazee) aidha wasomi au wasio wasomi kutumia neno Nimekumiss pale unapomaanisha kumkumbuka mtu hasa uwepo wake. Hata hivyo neno mbadala la kiswahili ni Kupeza hivyo basi unaweza ukwamwambia...
Back
Top Bottom