Search results

  1. EddoLexus

    Utajisikiaje pale ambapo unajiita strong woman or man halafu kiuhalisia sio

    sidhani kama kunaambae anaingia kwenye biashara kwa lengo la kuuza vitenge 10.. bu nlisema siku 10
  2. EddoLexus

    Utajisikiaje pale ambapo unajiita strong woman or man halafu kiuhalisia sio

    Dada umenielewa vizurisana nilichomaanisha,,, nikutoe hofu usiwe mnyonge kuwa tu na dhamira ya kweli kwenye malengo yako. hakuna aliyezaliwa kashika hela,tulikuja watupu, endelea kujiita Rebecca huku ukibeba dhamira ya kuwa Rebecca kama ulivosema kina Rebecca ni watu gani
  3. EddoLexus

    Utajisikiaje pale ambapo unajiita strong woman or man halafu kiuhalisia sio

    Noo its fine if you are really motivated with such encouraging a.k.a but tunasemea ile ya kujiita tu bila kuonyesha dhamira ya kile unachojiita,, sijui kama nimeeleweka
  4. EddoLexus

    Utajisikiaje pale ambapo unajiita strong woman or man halafu kiuhalisia sio

    When you control your thoughts, you control your mind. When you control your mind you control your life ,,,, diffrerence ya matokeo ya watu wawili kwenye hii sentence itakuwa katika dhamira ya kweli na efforts on the process
  5. EddoLexus

    Utajisikiaje pale ambapo unajiita strong woman or man halafu kiuhalisia sio

    Kama halina maana yoyoe akilini mwako halina tatizo,,, tatizo ni kama unajiita au unaitwa boss halafu unatamani kuwa boss kweli lakini hufanyi jitihada zozote za kuwa boss hapo utakuwa umejipa cheo kikubwa kuliko uhalisia
  6. EddoLexus

    Utajisikiaje pale ambapo unajiita strong woman or man halafu kiuhalisia sio

    Mwenyewe naipenda hiyo eddolexus lakini siitilii maanani kwasabu haipo kibiashara,,, maana yangu ilikuwa kwa mfano unajiita Don lakini kichwani kwako umeliweka kinamna ya kutafuta hela halafu nguvu unayotumia kutafuta hiyo hela hadi hilo jina la Don liwe kweli haionekani,, sijui kama nimeeleweka
  7. EddoLexus

    Utajisikiaje pale ambapo unajiita strong woman or man halafu kiuhalisia sio

    Nimekuelewa sio jina langu lakini halina maana yoyote na najua halina matokeo yoyote kwenye mambo yangu binafsi wala kwenye jamii so sitegemei chochote
  8. EddoLexus

    Utajisikiaje pale ambapo unajiita strong woman or man halafu kiuhalisia sio

    sawa kabisa branding but wth some efforts,,
  9. EddoLexus

    Utajisikiaje pale ambapo unajiita strong woman or man halafu kiuhalisia sio

    Ndio ni za kijinga kwasababu hazina faida kwako wala kwa customers wako wala kwa chochote in future. Utasikia mtu anajiita super woman, sijui strong boy, mwingine sijui mwanamke jasiri mara mwingine anajiita mwanaume jasiri,mpambanaji sijui na mengine mengiii mno ya kujisifia,,, mi nakwambia...
  10. EddoLexus

    Ukifanya kienyeji, utakuwa wa kienyeji

    Na kama hatutachukua hatua mapema,tunakoelekea wasomi africa watakuwa ni watu wenye maisha duni sanaaa,,, tunaishi ki madaftari sana ila nguvu ya uthubutu hatuna wengi wetu
  11. EddoLexus

    Ukifanya kienyeji, utakuwa wa kienyeji

    Dunia ya leo inataka watu wanaoweza kuishi ndani yake, nikimaanisha kama wewe ni mjasiriamali na unataka kufanikiwa katika shughulizako za kijasiriamali lazima uichunguze dunia ya leo inataka ufanye nini kuhakikisha unafanikiwa katika shughuli zako. Usipowekeza ufahamu wako katika mahitaji ya...
  12. EddoLexus

    Sikuamini nilivyofika Njombe, kumbe Tanzania hii kuna sehemu kama hizi?

    Vijana wengi tunajiingiza kwenye mambo ambayo sio ndoto zetu nido maana tunashindwa kuona fursa zilizopo.Utakuta mtu hana hata mpango wa kuwa balozi wa mtaa lakini politics yuko vizuri kuliko hata mambo yatakayo mpeleka anakotaka Dunia inavitu vingi mno vya kufatilia but you have to chose what...
  13. EddoLexus

    Nianze na kuku wa aina gani kwa mtaji wa Tshs 400000

    Kwa kukazia tu hapo ni kweli kabisa kuku wa kienyeji kama hutakuwa makini kwenye vifaranga utaishia kuwaona kuku wakubwa tu, handling ya vifaranga 50 is not a joke kama hujaweka sawa mazingira
Back
Top Bottom