Search results

  1. Kikusya

    Simu ya tachi ni ushamba

    Nimeona niliweke hili ili kuwaweka huru wengi wetu, ambao tunakimbilia kununua simu za bei ghali halafu mwisho wa siku unaweka bando la mia tano (500) kwa mwezi. Hizo hela za simu afadhari ungeweka bili ya maziwa ya ng'ombe kwa Massawe kuhimarisha afya ya mwili na akili. Tusipende kuiga ili...
  2. Kikusya

    Madaraka kwa wananchi

    Hili ni wazo jipya la kuishauri serikali, kwa sababu hii nchi ni kubwa, kuwe na dawati la kero mtandaoni kwa kila wilaya. Hii itasaidia viongozi wa juu kuona live kupitia mtandao kero za wananchi mojamoja bila kupitia kwa wakurugenzi au kwa viongozi wa wilaya. Hii ni dawati huru la wananchi...
  3. Kikusya

    TUTUMIE KISWAHILI KWENYE MABANGO YETU.

    Utakuta mtu biashara ya gesti wanaolala ni waswahili, lakini bango huko nje limeandikwa " Peice guest house" hakimanisha peace. Wengine utakuta JB HAIR SALOON badala ya salon. Wengine utakuta wameandika HALF LONDON LOGDE badala ya Lodge. Hivi ukitumia kiswahili wateja utakosa??? Ni lini...
  4. Kikusya

    Naomba kujua bei ya vitu hivi kwa Bagamoyo

    Wanakijiji
  5. Kikusya

    Nini kifanyike ili reli ya Kaskazini isife kama ilivyokufa mwanzo?

    Mimi sijui kwa nini ile reli yetu ya kaskazini ilikufa na tufanyeje ili hii iliyofufuliwa isife kamwe? Tumejifunza mengi sana kwa hayati John Magufuli, na Mungu amuweke mahala pema peponi. Mimi nahamini kila binadamu ataenda peponi na hilo ndiyo kusudio la Muumba wetu. Je kuna nini cha...
  6. Kikusya

    Nawatakia sikukuu njema wana JamiiForums

    Heri ya Chrismas na mwaka mpya wapendwa wote na Watanzania kwa ujumla. Tumuombe Mungu wetu atujalie upendo na amani katika kipindi hiki cha sikukuu. Ujumbe: Chombo cha moto na pombe ni mauti. Tuepuke ulevi kama utaendesha vyombo hivi. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kikusya

    WHEN AN ELEPHANT CRIES

    Nimenunua kitabu hiki bei nzuri sana. Ni kitabu cha mtandaoni kwa ku-download kipo Amazon, ni hadithi ya kweli kwa huyu mganda. Bei haizidi elfu saba 7000 za Tanzania. Kwa wale tusiopenda hadithi ndefu sana kwenye vitabu, hiki kizuri sana. Tatizo lugha ni kizungu, lakini kinaeleweka. Ahsante.
  8. Kikusya

    Kazi ya Udereva.

    Wanajamvi, mimi natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa au madogo si za abiria. Nina leseni ya magari magari ya mizigo lakini toka nimalize chuo cha udereva huu kazi bado sijapata.[emoji18] [emoji18] nina umri wa miaka 37. Sinywi kelevi wala sivuti sigara au mengine. Ahsanteni
  9. Kikusya

    Siasa chafu ndiyo chazo cha umaskini Afrika

    watu wanasema "siasa mchezo mchafu", ni kweli kabisa. Yaliyotokea Kenya ni kuonyesha kukua kwa demokrasia nchini huo na ni mfano wa kuigwa baran Afrika. Pamoja na kwamba Kenya imeonyesha njia kwa nchi nyingine, lakini bado tunajiuliza kwa nini uchaguzi urudie ? kwa nini wasifanye kuhesabu kura...
  10. Kikusya

    Naomba jibu toka TTCL au wahusika wa mawasiliano.

    Kila mtu anajua umuhimu wa mawasiliano popote pale ulipo kuwasiliana na jamaa au ndugu kwa kikazi pia. Swala langu ni kwa nini iwe rahisi kupiga simu Kenya kutoka Uk kuliko Tanzania? Utakuta bei ya kupiga kenya ni 6.6p/m wakati huo huo Tanzania ni 21.9p/m unashika Kichwa na kuwaza kuna...
  11. Kikusya

    Albino ni changamoto kwa serikali

    Ningeomba sana serikali yetu iwakumbuke Alibino kwa kuwapa mafuta na miwani ya kuzuia makali ya mionzi ya jua bure au kuondoa kodi zake zote ili wenzetu wapate unafuu wa mafuta haya. Nasema hivi kwa sababu hili ni tatizo la taifa na siyo mtu mmoja mmoja uwezo na nia ya kuwasaidia kama taifa ipo...
  12. Kikusya

    Je waafrika tulistahili utumwa?

    Kitu gani tufanye kikubwa na chenye akili ili tuonekane na sisi ni binadamu wenye vipaji vikubwa na hatukustahili kuuzwa kama mbuzi enzi za utumwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Kikusya

    Maduka ya Mlimani City na tabia ya kulazimisha wateja kuacha mizigo kaunta

    Ni mambo ya kusikitisha sana na inafedhehesha wateja haswa wenye vibegi na mifuko kuwaomba wakabidhi kaunta kabla ya kuingia kwenye maduka yao haswa makubwa. Yaani mteja ni mwizi badala ya mfalme?Kwanini ukabidhi vitu vyako kutoka maduka mengine au mali zako kaunta? Biashara mnayofanya...
  14. Kikusya

    Demokrasia ya kweli ni ngumu sana kuifuata haswa kwa nchi zetu za kiafrika

    Obama hakupenda sana Trump kuingia Ikulu lakini basi Demokrasia ndiyo imeamua.Siyo lahisi kuimiliki demokrasia ya kweli. Uzuri wa demokrasia ya kweli ukifanikiwa kuimiliki hudumu milele. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Kikusya

    Dini zote: Hiki ni kipindi kizuri cha maombi kwa nchi yetu Tanzania

    Kama wewe ni muislam, mkristo, mpagani au huna dini. Ni kipindi kizuri sana cha kuiombea nchi yetu kwa imani yako. Ili utukufu na amani ya Tanzania iendelee kudumu milele na Mungu awe kiongozi wetu siku zote. AMEN Sent from my HUAWEI M2-A01W using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom