Habarini wanajukwaa. Sasa hivi wimbo wa Taifa unakaribia kubadilika na kuwa baa la njaa. Wengi wetu wanachukulia kisiasa zaidi na wengine kinadharia zaidi. Tunaposema kuna njaa lazima tuangalie visababishi ambavyo mara nyingi huwa ni ukame, mafuriko au ugonjwa wa mazao n. k
Sasa kiuhalisia...
Kuanzia mwananchi hadi viongozi watanzania wanataka mabadiliko ya kimaendeleo. Lakini kuna vya kufikiria zaidi . Hivi katika Baraka la mkuu kuna wachumi wangapi? Kama kweli mkuu anataka kuleta mabadiliko ya kiuchumi alitakiwa kuwa na wachumi hasa na si wa bora mkono uende kinywani. Ni...
Ikiwa ni takribani miezi 5 tangu bunge la bajeti kuisha, wizara zote ziliwasilisha bajeti zao na kisha kupitishwa aidha kwa mbwembwe au kwa kufanyiwa marekebisho kadhaa.
Hivi wanajamvi katika bajeti ya wizara zote je ni bajeti gani iliyokuvutia na je ni kwa kiwango gani kimetekelezwa hadi muda...
Je, kuna mwananchi anayeweza kusimama kidete kama haya maneno yanavyojieleza hapa?
Ajulikane kwa msimamo wake mkali dhidi ya ufisadi alipokuwa anahudumu kama mlinzi wa maslahi ya umma.
Kumchunguza rais, kuwachunguza wakuu wa polisi, maafisa wakuu serikalini na hata wanasiasa wa upinzani...
Za asubuhi nyote.
Naombeni msaada kidogo wa kupatiwa maeneo ambayo kuna wakulima wengi wenye kulima mazao ya biashara. Na wakulima wenyewe wanauza kwa vikundi au wanauzia makampuni moja kwa moja. Mazao yenyewe yawe tofauti na pamba na korosho ambayo yanaukiritimba zaidi na siasa ndani yake...
Baada ya uchaguzi mwaka jana. Upinzani umeongeza idadi ya wabunge maeneo mbalimbali. Je kuongezeka huko kuna mabadiliko yoyote ya kimaendeleo waliyoyaleta katika maeneo yao? Toa mfano wa mabadiliko hayo
Kutokana na hili tangazo ni wazi kuwa hali za watanzania hususani wenye magari binafsi wanaotegemea utalii kuwa magumu. Haiingii akilini mtu amepata tenda ya ghafla umwambie aende kutafuta kibali dar. Nini kinachotafutwa hapa zaidi? Kama ni kodi inalipwa na mmliki wa gari husika. Hapa naona...
Karibia kila siku kuna wahitaji wa mahusiano ambao wanatoa yao ya moyoni. Kwa ukaribu uhitaji wao huwa unafanana kati ya wanaume na wanawake. Je! Wahitaji wanachukua muda wa kuwafuata pm ambao tayari wameshatoa taarifa zao kwenye jukwaa au ni kujionyesha kuwa na wao wametangaza?
Pili mods...
kuanzia mkuu ameapishwa rasmi tumeona mabadiliko sehemu mbalimbali. Si ajabu ndani ya wiki au mwezi kusikia taasisi fulani amebadilishwa kiongozi au amewekwa mwingine. Nini kinachotafutwa zaidi katika pangua pangua hiyo? Wengine watasema ni ufanisi. Je! Katika kutafuta huo ufanisi kipi...
Sasa hivi ni muda muafaka wa kuweka sheria na mipango endelevu katika maendeleo na usalama wa nchi yetu. Karibia kambi zote za jeshi ziko karibu na makazi ya wananchi, kuanzia mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, shinyanga, morogoro.
Nadhani wizara ya ulinzi ingeweka utaratibu wa...
za jumapili nyote. naomba msaada kwa mwenye kujua namna ya kutatua changamoto hii.
nimeinstall bluestack na baada ya hapo nikainstall application tofauti na mojawapo ni tubemate. sasa nimedownload movies ila hazionekani kwenye hard disc. na haikubali kucheza kwenye program za pc isipokuwa...
za mida waungwana. samahani hivi nini lengo la kuwashwa muziki/ luninga ndani ya mabasi au bar/ hotel/ grocery? vitu hivyo vinawashwa kwa ajili ya wahudumu au wateja. mara nyingi utakuta wahudumu wanasikiliza au kuangalia kile wanachokitaka sasa hapo nabaki njia panda wamejiwekea wenyewe au...
Za mida wadau na wapenda amani katika Tanzania wote.
Kwa muda wa wiki mbili za kuelekea mwisho wa mwezi huu wa nane kuna matamko mengi yanatolewa aidha na viongozi wa serikali au vyama vya kisiasa ambapo kila mmoja anamtuhumu mwenzake kwa kwenda kinyume na katiba au na mtirirko wa uongozi...
kwema waungana. naombeni msaada. ninatumia simu aina ya htc one mini sasa mda huu nikiiwasha inaishia kudisplay neno la htc na kujizima. nimejaribu kurecover na kufanya hard reset lakini kabla ya kubonyeza button ya volume simu inakuwa imeshajizima. je shida inaweza kuwa nini?
Kwa msemo huu "wataisoma namba" naona wafanyakazi wengi wakiomba kustaafu kabla ya muda wao kufika. Kwa kasi ambayo serikali inaenda nayo no dhahiri kwamba viongozi wengi watakubwa na mkono wa sheria kutokana na utendaji mbovu uliokithiri katika utendaji wao.
Viongozi mnaoongoza mashirika yetu...
Za asubuhi waungwana.
Amani iwe nasi.
Sasa no takribani zaidi ya siku 20 tangu rais mpya kikatiba kushika hatamu.
Tumeshuhudia mambo mbalimbali yakitukia na habari nyingi na nzito za kushangaza umma juu ya uozo uliokuwepo.
Pamoja na hayo yote tumeshuhudia serikali ikitoa maagizo kwa...
Tanzanians 'robbed' of correct result
Abdallah Safari - vice president of Chadema, one of the party's in Tanzania's opposition coalition - has rejected the results of the presidential poll which showed John Magufuli from the ruling CCM party as the winner.
He told the BBC that the tallying...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.