Search results

  1. Comi

    Siasa iwekwe pembeni katika maisha ya wananchi

    Habarini wanajukwaa. Sasa hivi wimbo wa Taifa unakaribia kubadilika na kuwa baa la njaa. Wengi wetu wanachukulia kisiasa zaidi na wengine kinadharia zaidi. Tunaposema kuna njaa lazima tuangalie visababishi ambavyo mara nyingi huwa ni ukame, mafuriko au ugonjwa wa mazao n. k Sasa kiuhalisia...
  2. Comi

    Handbrake

    Sidhani kama mfumo wako wa gari uko salama. Pamoja na baadhi ya wachangiaji kukupa moyo ila kuihalisia hand brake ikiwa sawa gari haliwezi kutembea kwa umbali mrefu. Ingekuwa ni hivyo pasingekuwa na umuhimu wake. Chukulia gari linamzigo na ni kwenye mlima halafu ukasimama kwa kupitia hand...
  3. Comi

    Tairi Imara kuliko Zote!

    Zipo madukani. Shida iliyopo hata baadhi ya wauzaji hawajui matumizi ya matairi.wengine wanaagiza Na kutumia matairi ya mazingira ya baridi wakati yuko dar
  4. Comi

    Rav 4 old model:Msaada tutani

    Pole sana. Kwa haraka Anglia diff mounting inaweza kuwa imekatika Raba zake.hata we we mwenyewe unaweza kuangalia kwa kimwambia MTU awe anaweka gia Na wewe uiangalie
  5. Comi

    Manchester city yasherekea ushirikiano wakimataifa na tecno mobile

    Wewe wasema tecno hapana wakati nchi yetu hakuna kitu hata kimoja cha kielectronic kinachouzwa nje
  6. Comi

    Natafuta Gari used, nina milioni 4

    Ongea na mods wampe onyo maana kwa hali hiyo ni kuwatapeli watu
  7. Comi

    Othman Masoud Aliekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar aula kimataifa

    Chama chetu hakitaki mtu aje na misimamo yake. Tunataka afate matakwa yetu hata kama ni ya kuwakomboa wananchi.
  8. Comi

    CV ya Freeman Mbowe hii hapa

    Nini lengo lako hasa? Je elimu yake inasaidia nini katika maisha ya leo?
  9. Comi

    Dr. Kafumu: Tuliahidi kumpa Dangote ardhi, gesi, makaa ya mawe, limestone kwa bei nafuu

    Hivi nani aliyeingia nao mkataba? Hao unaowatetea hawakujua hayo mambo? Nani asiyejua ulaji uliokuwa unapatikana ndani ya chama? Ccm wenyewe ndiyo wakwanza kuliga dili. Mda huu hatuongelei porojo. Jibu hoja za kafumu na dangote kinadharia na siyo kimaneno. Dangote hana miaka miwili kuanzia...
  10. Comi

    Naomba mwenye Series ya 24 season 9 na kuendelea anisaidie

    Halafu wewe umefanana na jamaly
  11. Comi

    Natafuta Gari used, nina milioni 4

    Anatania huyo. Hata kama gear box mbovu si hiyo bei
  12. Comi

    Rais apingwa tena: Msajili wa HAZINA asema si kosa shirika kufungua fixed account

    Kuna waziri alikurupuka na kusema wanamshauri mkulu na anaekeleza ushauri
  13. Comi

    Upi Mtandao Wako Wa Kwanza Wa Kijamii Kujiunga/Kuutumia?

    Umenikumbusha mbali. Hivi bado ipo?
  14. Comi

    DC Polepole 'alikoroga' soko la ndizi Mabibo,mgomo wanukia

    Huyo huyo na yeye leo hii ni dc
  15. Comi

    Nimewakomesha wezi wangu; Nimefunga ile biashara

    Wakati mda huo umeshaumia pamoja na jamii ilikuwa inakupa moyo kuwa utashinda
  16. Comi

    Nimewakomesha wezi wangu; Nimefunga ile biashara

    Hahaaaaa umempeleka kule kule. Ila hongera kwa semi zako kaka
  17. Comi

    Tabia ya kuegemea magari ya watu

    Kukwangua hiyo ni habari nyingine ila kuegemea haina shida
Back
Top Bottom