Search results

  1. h.imani

    Jamani naombeni mwenye labor laws PDF document.

    Jamani naombeni mwenye labor laws PDF document.
  2. h.imani

    Kususia uchaguzi.

    Kunamaana ipi kama unaingia kwenye uchaguzi mawakala hawashuhudii kinachojiri chumba cha kupiga kura..... Bora wapite bila kupingwa kuliko kupoteza fedha...
  3. h.imani

    Kususia uchaguzi.

    Naomba kufahamu, kususia uchaguzi kwa sababu maalumu ya absence of new constitution in order to have free and fair electro committee, je!! Utakuwa umekiuka sheria gani? Na impact yake ninini?
  4. h.imani

    Kozi yenye soko la ajira kwa kipindi hiki.

    "Management of social development." Hii ni coz kwaajiri ya project managers, Administration, Arbitration and Mediatorship, Community Development n.k kozi hii inatolewa chuo cha serikari cha Mwalimu Nyerere. Kinapokea masomo yeyote ila uwe na ufaulu wa kuanzia D4 nakuendelea.
  5. h.imani

    Kuachana na mke unaeishi nae.

    Ila, nashukuru kwa kunifahamisha. Sasa najua pa kuanzia.
  6. h.imani

    Kuachana na mke unaeishi nae.

    Ninawatoto pia kwa mwanamke mwingine ninaetaka kumuoa
  7. h.imani

    Kuachana na mke unaeishi nae.

    Tumewahi kuishi nae kwa miaka 4,
  8. h.imani

    Kuachana na mke unaeishi nae.

    Hivi... Kunautaratibu gani utumike kuachana na mke ninaeishi nae ikiwa hatujafunga ndoa huku tukiwa tayari tuna watoto wawili?
  9. h.imani

    ORDER YA MAHAKAMA

    Asante Sana mkuu
  10. h.imani

    ORDER YA MAHAKAMA

    OK, sawa. Kwa kingereza inaitwaje hiyo KUKAZIA HUMUMU
  11. h.imani

    ORDER YA MAHAKAMA

    Naomba kujua, Kama mahakama imetoa hukumu ya mdaiwa Wangu kulipa Deni analodaiwa na deadline ikapita hajaanza hata kulipa. Inabidi nichukue hatua gani za kisheria? Msaada wenu please.
  12. h.imani

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    http://www.tanzania.go.tz/result_csee_2016/CSEE_2016/index.htm
  13. h.imani

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    HII HAPA INAFUNGUKA..... http://www.tanzania.go.tz/result_csee_2016/CSEE_2016/index.htm
  14. h.imani

    Diploma ya WDMI na BaED ya DUCE, Ipi potential kwa kitaa?

    Watanzania tunajidanganya Sana. Duce kitu gani.........
  15. h.imani

    Huku SUA Tunaisoma namba, Majina ya mikopo hayatolewi

    Endeleeni kijinadi eti vyuo vya hadhi. MWALIMU NYERERE MEMORIAL tulishapata Na zimeisha kutumika. Tunasubiri zingine. Wewe Mwenye hadhi endelea Na uhadhi wako
  16. h.imani

    Wataalam wa Uchumi tuambieni: Hali hii ni Recession au Austerity?

    Hapa tumekwenda kwenye depression moja kwa moja. Na hatuelewi recovery tutakuwa lini.
  17. h.imani

    UDSM chuo baba

    Serikali ikihamia Dodoma, UDOM watakuwa baba.
  18. h.imani

    Wanafunzi chuo kikuu cha Dar, wagoma kusaini fedha ya kujikimu (Boom)

    YUKO KWAAJIRI YA MASKINI NA ALICHAGULIWA NA MASKINI NA ATAWATUMIKIA DAIMA. Asante Raisi mtukufu.
Back
Top Bottom