Search results

  1. Anita Baby

    Mwenza wa Maisha

    Tupo tumejaa tele
  2. Anita Baby

    Mama yangu huyu naona anavuka mipaka, dizaini anataka kujimilikisha nyumba niliomwambia akae for free

    kwa type ya huyo mama ulitakiwa umlipie Kodi sehemu nyingine na sio kukaa free kwako. KuombA radhi kwake haipingiki lakini utakua umekaribisha Mambo Fulani ndio mwanzo was kukupelekesha Kila kitu ufanye Kama anavyotaka yeye. Uamuz wwt utakaofanya cheza na akili yake
  3. Anita Baby

    Tukumbushane zile "SCHOOL MOTTOS"

    Primary, elimu ni taa O.level, soma uelimike Advance, elimu juhudi na kazi Chuo, acquire knowledge serve with compassion.
  4. Anita Baby

    Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

    Km mnataka vipara si mkaoe hao vipara loh!
  5. Anita Baby

    Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

    Hapa ndo nnaposhindwa kuwaelewa kumnyanyasa Mke ndo kuwa na power?
  6. Anita Baby

    Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

    Mi nilishafunga ukurasa wa kukaa na ndugu wa mume mana Nilikua namuuguza ma mkwe hayo majanga yake ni shiidah na alikua hataki kwenda kwa mwingine hata wakimchukua Siku mbili nyingi anarudi. Unapelekeshwa km kitu gani sijui. Namuombea maisha marefu aje some watoto wake pia wakipelekeshwa akili...
  7. Anita Baby

    Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

    Kwa comment za wababa humu ndani mnatuoa kutufuga utumwa sio mnatuo tuwe wake zenu loh.
  8. Anita Baby

    Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

    Sio wote dia, Nina aunt Yangu nyumbani kwake SAA kumi na mbili wote muwe mmeshaingia si wa kike wala wa kiume. Na kwa mzee kwangu watoto wa kike tu ndo alikua ana angalia umeaga? Umeenda wapi na umetumia muda gani kurudi? LA sivyo muda wote uwe home ila wa kiume full kujiachia.
  9. Anita Baby

    Msaada: Mwanaume ninayeishi naye haoneshi kunipenda na hataki tuachane

    Ngumu kumeza japo hata mtoto huna ukipata wa kwanza tu ndoa chali. Wanawake ukiona mwanaume hana tabia unazozitaka kimbia kama mshale. U can't change a man. Sasa ukisubiri eti akupe ruhusa yeye kua sawa tuachane ndo usepe pole. Mwanaume unamfumania na bado kukupa talaka huwa hawataki. Anahama...
  10. Anita Baby

    Naomba ushauri kuhusu mzee wangu

    Aliwajali mwanzo ila stress zimemfanya hivyo sioni kosa LA baba akovzaidi mpeni muda
  11. Anita Baby

    Ushauri: Nimefall kwa house boy wangu

    Fanya vile moto unapenda for your own risk hata wao wanawatafuna sana ma house girl
  12. Anita Baby

    Wanawake....let's be kind to men!!

    Thanks lizbert but never ever judge by listening the one side. Mwanaume anampenda mmewe that is true but ni nini chanzo cha mwanamke kua hivyo? Alimuoa akiwa hivyo hivyo? Amedate Naye akiwa hivyo hivyo? Kitu ambacho hakiibgii akilini. Ninachojua tu kuna some point mwanamke ukimkosea kila Siku...
  13. Anita Baby

    Rafiki tuliyependana kama ndugu, leo tunakuwa maadui

    Watu was namna hii wanakuaga wakorofi sana usishangae akakugeuzia kesi na hata akiona huku jf atakua wa kwanza kusema ananitangaza. ila Eliza we ni fala mama wa mafala wote hata km unampenda an mumeo mfungulie bihashara yake zuzu wewe.
  14. Anita Baby

    Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

    Afu kesho kutwa anaenda kuweka foleni kwa pasta aombewe spate mume
  15. Anita Baby

    Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

    Mapenzi km mduara vile we unahonga mwenxio anahonga nae pia anahonga oooops. Vuta subira si kila mwanamke yupo hivyo utampata mtakaeshibana.
  16. Anita Baby

    Ushauri wa haraka wakuu, nina mke wa mtu ndani

    Mtoe kwa ngivu na vitu vyake afu sepa kalale hotelini na hapo uhame nataka sana LA sivyo utajuta
  17. Anita Baby

    Baba wa mchumba wangu alimuua baba yangu

    Hata bible inasema adui wa baba yako ni adui yako. Ukikaidi usilaumu kwa yajayo.
Back
Top Bottom