Search results

  1. K

    Heslb ipo kwa ajili ya wanafunzi au kwa ajili ya baadhi ya wanafunzi?

    HESLB hawatabilik unaweza ukaomba na mwakan wasikupe! Sa sijui kama nitasoma...
  2. K

    Heslb ipo kwa ajili ya wanafunzi au kwa ajili ya baadhi ya wanafunzi?

    Tupeane pole! Hata nil apply kwenye first round na mkopo niliomba. Mi nashindwa kuelewa kuwa walio taalifiwa ni new applicants au na sisi? We uko chuo gan? Mi nko SAUT TABORA. Ingewezekana kuhama nchi mi ningehamia rwanda.
  3. K

    Kukosa mkopo, kutengwa na marafiki!

    Guys are so insane when comes to money possession. Mi nsha usoma mchezo na nimeamin kwa kuona kusikia.
  4. K

    HESLB wanatupa hiyo mikopo lini????

    Utapata tu, kama we allocated. Lakn m2 ka mi ndo nisau kabisa maana bod inamalizia matanga ya mikopo yetu!
  5. K

    Kukosa mkopo, kutengwa na marafiki!

    Ukosefu wa mkopo tayar umesha determine who is real friend, and who is not! Mi nimeshaona! Ama kwel pata pesa tujue tabia yako! Yaan jamaa walokuwa wakaribu hata ukimpigia hapokei anahib utamwomba! Na yule unaemwomba atakuambia cna helaaa.... Ok poa, acha nile msoto, urafk baadae!
  6. K

    Bodi ya mikopo wana lao jambo

    Wauaji wakubwa! Wamenibania mkopo, wakat kaul mbiu ni 'mkoto kwa wahitaji." mi naona kawambwa kaz imemshinda ni bora apelekwe utamadun. Na kaul zake za ajabu et kusoma univ ni jukumu la mzaz na si selikari" mbona wao wamesoma bure! C ndo wametuwekea masharti!
  7. K

    Tujadili kuhusu HESLB

    HESLB nahic hawajal maisha ya wanafunz! Mi wameninyima mkopo ' wakat vigezo vyote ninavyo! Kisa nimechaguliwa second selection! Wakat mkopo niliomba mapema tu! Cjui wanafil nitaish vip chuon? Vyuo vyenyewe husajiliw mpak nusu ada itoke! Huna uhakika wa pesa, hapo kuna kusoma kweli? Tangu mwanzo...
  8. K

    Kumbe St. Augustine University of Tanzania (SAUT) ni moto wa kuotea mbali

    SAUT tuko juu! Achana na kasumba ya kizaman et UDSM na UDOM ndo kila kitu, kuna watu wengi tu na wamefanikiwa hapohapo saut!
  9. K

    Bodi ya mikopo kuwatolea nje watoto wa wakulima hawa kwa upupu huu?

    Mi ni m1 kati ya waathilika wa ukosefu mikopo vyuo vikuu! Wanatuhimiza tusome had chuo kikuu alaf ndo wanatubwaga! Tatizo lina anzia juu, yaan rais na selikal yake. Wamehalibu kabisa feature yangu.
Back
Top Bottom