Search results

  1. King Octavian

    JE MUDA NI NINI?

    Ni swali ambalo ukiulizwa unaweza kuliona kama jibu lake ni jepesi sana hasa kwa sababu ni jambo ambalo umezoea kulisikia au wengine wanadai wamezoea kuliona, La! Hasha, hili si swali rahisi kujibika, muda ni jambo ambalo linaeleweka vizuri vichwani na kwenye fikra za watu wengi kimazoea tu hasa...
  2. King Octavian

    Mambo 8 ya kushangaza yanayofanywa na mwili wako kukulinda pasipo wewe kujua

    Mwili wa binadamu unafanya mambo mengi ya kibaiolojia ambayo mara nyingi ni vigumu kuyaelewa. Mwili una mifumo mbalimbali ya ulinzi ambayo inatulinda na hatari zinazoweza kutudhuru. Mifumo hiyo inatulinda masaa 24 ya siku, Siku zote 7 za wiki, katika mambo yote yanayoweza kuhatarisha maisha...
  3. King Octavian

    Wewe ni nani? Swali gumu sana

    Wewe ni nani? Ni swali ambalo ukiulizwa unaweza kuliona rahisi sana na kulijibu haraka haraka kwa kutoa jibu linalotaja jina lako. Mimi ni James, ama nimi ni Janeth. Lakini ni ukweli ulio wazi kua wewe si jina lako. Wewe ni zaidi ya jina lako. Ama unaweza kujibu kwa kutaja kazi yako, wewe ni...
  4. King Octavian

    Yesu Kristo aliuawa kwa sababu za kisiasa zaidi kuliko za kidini

    Si lengo wala dhamira yangu kupinga wala kupindisha Imani ya mtu yeyote, bali ni wajibu wangu kama binadamu mwenye akili na upeo wa kudadisi, kuchanganua na kuyaelewa mambo mbalimbali katika namna tofauti tofauti. Biblia ni kitabu kama vilivyo vitabu vingine vyenye maarifa, tamaduni na...
  5. King Octavian

    Domestic violence

    Kriii !! Kriii !! Kriii !! Ni mlio wa simu ulionishtua kutoka usingizini usiku wa manane wa saa saba, nikiwa na mawenge ya usingizi, niliichukua simu yangu kwa taabu iliyokua pembeni ya mto wa kuegemeza kichwa changu. Nilikitazama kioo cha simu na kupokea, Halloow!! Upande wa pili wa mtu...
  6. King Octavian

    Les Mangelepa tujikumbushe kuhusu Band hii machachari!!

    Wadau wa music asili wa kiafrika na wale wakubwa sana kwangu wa miaki kadhaa nyuma, naomba minisimulie historia ya hii band hasa nyimbo zao maarufu, ilikuwaje kipindi hicho, nyimbo gani walifanya hawa jamaa zikawika sana, je wamewahi kuja Tanzania ilikua mwaka gani na mapokezi yao yalikuwaje? Na...
  7. King Octavian

    Hili neno la kingreza "SHE" silipendiii !!

    Wadau ngoja niseme tu ukweli leo, hili neno la hii lugha ya kingereza "she" mi huwa najisikia vibaya sana nikilitumia au likitumiwa kum-refer MAMA yangu mzazi kwenye sentensi au mazungumzo sijui kwa sababu gani, yaan huwa naona matumizi yake( kwa mtazamo wangu) kama hayaendani na HADHI ya mama...
  8. King Octavian

    Kijana amuua baba yake mzazi kisa ng'ombe

    Hili tukio limetokea huko mkoani Rukwa, manispaa ya Sumbawanga, stori inaanza hivi. Inadaiwa kuwa kijana huyo ambae ni kitinda mimba katika familia ya marehemu, mzee aliyefahamika kama Mzee Kifwema, kijana huyo inasemekana alikuwa ana mgogoro na baba yake huyo akidai kugawiwa mali ambao ni...
  9. King Octavian

    Uonezi katika Hoja ya Mh. Mkosamali leo Bungeni

    Jamani hivi huyu spika wa Bunge kwa sababu gani anatufanyanya watu hatuna masikio? Labda niulize sheria ipi inaulinda huu utaratibu wa kupiga kura kwa sauti bungeni? Ni wazi kabisa leo wabunge waliosema ndiyoooooo kuunga hoja ya mkosamali wameshinda kwa maana ya kuwa sauti zao zineonekana...
  10. King Octavian

    Msaada: Kurudisha files kwenye Memory card na system nzima ya Android Phone.

    Wadau habari ya mchana, nimeconnect simu yangu kwenye Pc yenye virus kilichotokea nilipoichoa imefuta files zote na application zote hazifanyi kazi, na kwenye memory kuna data muhimu sana nitafanyeje kuzirudisha? Pia kuna baadhi ya data nilizi HIDE kwa password kwenye application moja ibaitwa...
  11. King Octavian

    Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

    Wadau na wapenzi wa movie tuambiane na kusimuliana Movie tulizoziona, zitakazotoka miaka husika hapo juu. Mimi naanza 1. 3 Days to kill(2014) hii movie usiache kuiona ni kali balaa 2. 47 Ronin (2014) Hii nayo ni balaa sana ni ya historia ya ushujaa wa ma samurai wa kijapani ila ni collabo ya...
  12. King Octavian

    Picha: Familia ya Mwl.Nyerere, Sema neno lolote kuihusu hii picha

    Sema lolote kuhusu familia hii.
  13. King Octavian

    TBC kwa nini mnapiga mziki tu usiku!

    Jamani mimi hili jambo linanikera sana kwa hii televisheni yetu ya Taifa kwa upande wa vipindi vyake kuanzia saa5 usiku. yaan wanapiga tu music, hivi kweli televisheni ya taifa inayoendeshwa kwa kodi za wananchi wanashindwa kuwa creative kutafuta vipindi vikarushwa muda huo, basi waweke hata...
  14. King Octavian

    Kuna wakati Fulani ninewahi kuitwa Mswahili.

    Jamani mswahili ni mtu gani? maana kuna kipindi fulani girlfriend wangu amewahi kuniambia mimi ni mswahili na nina mambo ya kiswahili, kiukweli sikuelewa maana yake na sikuwahi muuliza alimaanisha nini, eti mswahili ni mtu gani?
  15. King Octavian

    The Dilema on 223 Nigerian Girls Abduction.

    1. Where are the parents of these missing girls, we want to see them? (Wole Soyinka) 2. Why has the government not published pictures of these girls? (Wole Soyinka) 3. You need a lot of vehicles to transport 230 girls, (Godswill Akpabio) 4. How where they transported? If the girls were made...
  16. King Octavian

    Mwafrika ni Nani? "Who is an African?"

    "Amani iwe pamoja nanyi" ndugu zangu woote na wanaJf wenzangu, ni matumaini yangu kuwa kila mmoja wetu yupo katika shughuli zake ama za kujenga nchi au familia yake, hope na wengine wapo katika shughuli maalumu za kubomoa nchi (just kidding). Leo nimependa nililete hili jambo kwenu, jambo...
  17. King Octavian

    Napenda kuchukua nafasi hii v/s Napenda kutumia nafasi hii

    Wakuu na wataalam wa lugha yetu ipi ni kauli sahihi inyapaswa kutumiwa kati ya hizo mbili, mara nyingi nimewasikia viongozi akiwemo waziri wetu mkuu wakipenda sana kuitumia kauli moja kati ya hizo" waziri mkuu yeye husema NAPENDA KUCHUKUA NAFASI, Spika wa Bunge la JMT, nae pia hupenda kusema "...
  18. King Octavian

    Kifurushi Cha Mwezi Mzima cha Internet Vodacom

    Wakuu mambo vipi! Naomba kuuliza kwa waliowahi kutumia au wanaotumia hivi vifurushi vya internet vya voda, wanidaidie kwa hili hiki kifurushi cha internet cha mwezi cha kudownload bila kikomo(unlimited download) wanachokiuza shillingi 40,000/= je, speed yake ya kudownload nayo ina pungua kasi...
  19. King Octavian

    "Let Them eat Cake" Marie Antoinette

    Wana Jf na wana jukwaa kwa ujumla, katika pitapita zangu za makala za historia ya watu na mambo mbalimbali yaliyopata kutokea duniani, nilikutana na sentensi hiyo ambayo imehusishwa na tabaka tawala na tabaka tawaliwa, sijaielewa context ya ndani na habari hiyo hasa ipo vipi mpaka huyu malkia...
Back
Top Bottom