Search results

  1. Elius W Ndabila

    CHADEMA kushirikiana na Wanajeshi kufanya usafi Januari 24, 2024

    kabisa maana siasa zimewashinda. Makonda mmoja ni zaidi ya CDM wote
  2. Elius W Ndabila

    Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

    Ameshindwa aliyewatoa rokapu? Ameshindwa aliyewafungulia mikutano ya siasa mkakosa hoja? AMESHINDWA AMBAYE NCHI NZIMA MIRADI INAENDELEA? Ameshindwa ambaye amewapa kibali cha kuandamana mpaka mkichoka? Tukutane 2025 tutajua nani ameshindwa.
  3. Elius W Ndabila

    Kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika vibaya, watu wa Dar es salaam kususia maandamo, hakutakuwa na nyomi

    Mama amebana kila kitu, wameishiwa hoja za kisiasa. Wanatafuta mlango wa kutokea.
  4. Elius W Ndabila

    Waziri Mkuu amekemea Songwe, lakini ni aina tatu za watu zinatuponza

    Na Elius Ndabila 0768239284 Habari wanajamii forumu. Ni muda sijaandika hapa Zaidi ya kusoma. Nilikuwa msomaji kidogo , kwa hiyo mkiona kuna makosa kwenye andiko basi mjue ni uzee. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Majaliwa amehitimisha ziara yake ya kikazi jana Mkoani Songwe...
  5. Elius W Ndabila

    Kazi nzuri za Rais Samia zituachie Katiba Mpya

    KAZI NZURI YA RAIS DKT SAMIA INAHITAJI KATIBA MPYA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala wa Katiba mpya ambao umekuwa ukiibuka na kufifia. Mjadala umekuwa unaibuka na kufifia kwa kuwa una sura mbili. Sura ya kwanza wanahitaji katiba mpya na sura ya pili hawahitaji katiba mpya...
  6. Elius W Ndabila

    Sio CCM, Sio Rais Samia wala TANESCO wanaleta mvua, Umeme wetu ni Hydroelectric power tuvumilie inyeshe

    Ikinyesha utaambiwa tope zimejaa, labda kwa kuwa Maharage na jamaa WAMETOKA. Hawa wanataka kujaribu upepo mzuri wa Mama kuwa the best President ever lead
  7. Elius W Ndabila

    Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

    Sasa umeamua kutupa kazi wakati wewe ndiye ulitakiwa kutuletea majibu? Aliyekupa hizi Tetesi naye kaambiwa au anajua?
  8. Elius W Ndabila

    Waziri Mkuu, Majaliwa amuwakilisha Rais Samia kumjulia hali Lowassa

    Got well soon baba Yetu Edward Ngoyayi Lowassa. Bado kama Taifa tunakuhitaji mno. Mungu awatumie madakitari hao kukurudisha katka hali yako ya kawaida
  9. Elius W Ndabila

    Aibu: UWT mbeya, jengeni jumuiya yenye nguvu sio machawa wa Mbunge

    Umekosa Kazi kipindi hiki Cha likizo umeamua kuja na kihoja hiki? Kwanza kabla sijakutwisha majibu why umeogopa kutumia account yako ya kipindi kile? Hahahaha..... nyie ma abroad mna shida sana. _Hakuna kipindi ambacho UWT Mbeya wanafuraha kama kipindi hiki. Wanafuraha Kwa kuwa viongozi wao...
  10. Elius W Ndabila

    Yoweri Museveni anajaribu kujipindua?

    Huu ni uhuni! Ninachokiona hapa ni Mhe Yoweri Museven kutumia mbinu zingine za kimedani kujaribu "KUJIPINDUA" ili aweke mtu sahihi wa kumrithi. Mwisho wa hii movie ninadhani atakakuja kusema amepinduliwa na Mtoto wake atashika state. Let's go!
  11. Elius W Ndabila

    Tunayaishi maono ya hayati Mwalimu Nyerere?

    Baada ya simulizi ya jana juu kifo Cha Mwalimu Nyerere tarehe 14/10/1999, simulizi iliyopambwa na ulikuwa wapi tarehe hiyo! Niliahidi kuendelea na Uchambuzi wa MAONO ya Mwalimu Kwa Taifa hili. Jambo kubwa na la msingi sana HAYATI Julius Kambarage Nyerere ndiye kiongozi wa mstari wa mbele katika...
  12. Elius W Ndabila

    Rais samia anaonyesha utawala bora kwa vitendo

    RAIS SAMIA ANAONYESHA UTAWALA BORA KWA VITENDO. Na Elius Ndabila 0768239284 Moderator ninakumbuka kuna mtu hapa jamii forum aliwahi kuuliza, nani anajua anakotupeleka Rais Samia? Ninaomba mtag andiko hili kwa kuwa Rais Samia anatupeleka sehemu yenye mwanga mkubwa wa Umoja wa Kitaifa. Rais...
  13. Elius W Ndabila

    Shaka apiga kombora ofisi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa

    SHAKA H SHAKA, KATIBU KATIBU WA ITIKADI AMEZUNGUMZA HOJA NZURI SANA. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo nikiwa nimekaa mahali ninapumzika lilinijia wazo moja. Wazo langu lilifanana Kwa kiasi na wazo la Shaka, lakini Mimi nilienda Mbali zaidi. Nilijiuliza hivi, kazi ya Viongozi wa CCM ngazi za...
  14. Elius W Ndabila

    UVCCM tupo upande gani wa mjadala wa gharama za maisha?

    UVCCM KWENYE VITA YA MAFUTA TUPO UPANDE GANI? Na Elius Ndabila 0768239284 Mjadala mkubwa kwa Taifa letu ambao unashika kasi kila kuitwapo leo ni kupanda Kwa gharama ya maisha kuliko sababishwa na ongezeko la mafuta mara dufu. Mjadala huu umepamba moto Kwa miezi miwili na ushea sasa. Lakini...
  15. Elius W Ndabila

    Hatuwezi kutumia stoku ya nchi kupunguza bei ya mafuta?

    SERIKALI HAINA UWEZO WA KUPUNGUZA HIZI BEI ZA MAFUTA? Na Elius Ndabila 0768239284 Nimesoma bei mpya ambazo zinaongeza maumivu mara dufu kwa mtu wa chini. Nimesema zinaongeza maumivu kwa mwananchi wa Chini kwa kuwa natambua wengine wanaotumia sawa sawa kodi za wavuja jasho maumivu hayawafikii...
  16. Elius W Ndabila

    Sheria zetu bado zina walakini mwingi

    Mijadala mingi muda hautoshi. Nimeona nishiriki kidogo mjadala wa aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Ndg Makonda. Nimeona watu wengi wanajaribu kulijadili jambo hili kwa upambe na tofauti zao za huko nyuma. Wanaoweza kushangilia hili la Makonda ni wale tu ambao wanategemea kuishi leo...
  17. Elius W Ndabila

    Serikali itolee ufafanuzi Mwanajeshi wetu wa JWTZ aliyeuawa huko vitani UKRAINE

    Kama ndege inaonekana imeungua, mbona hizo beji hazina dalili kuwa zilishika moto? Proganda hizo
  18. Elius W Ndabila

    Mawaziri msaidieni Rais, ndiyo maana amewaamini

    ELIMU ITOLEWE ZAIDI JUU YA MFUMKO WA BEI NA KATIZO LA UMEME. Na Elius Ndabila 0768239284 Kesho macho na masikio yatakuwa Dodoma kwenye mkutano wa CCM. Kabla ya mkutano huu mkubwa ninaomba nitoe changamoto kwa Wizara ya Nishati, Kilimo na Biashara. Kumekuwa na katizo la umeme. Waziri...
  19. Elius W Ndabila

    Mambo 10 kuelekea mwaka 1 wa kumkumbuka ya Hayati Magufuli

    Mambo 10 kuelekea mwaka mmoja bila jpm/ bulldozer. JASIRI Hayati Magufuli alikuwa ni kiongozi jasiri ambaye aliamini kwenye kuamua hata kama mawazo yake hayaungwi mkono na walio wengi. Ujasiri wake ndio ulisaidia kutekeleza miradi Mingi na mikubwa ambayo haikuwahi kufikiriwa kuwa ingetekelezwa...
Back
Top Bottom