Search results

  1. Ikaria

    Ahadi 10 za Rais Ruto kwenye sherehe za siku ya Jamhuri

    Huku taifa la Kenya likisherehekea miaka 59 ya uhuru, hotuba ya Rais mpya wa awamu ya tano Dkt. William Ruto ilikuwa ya muhimu sana na kati ya mambo mengi aliyoyasema ni ahadi 10 muhimu; lakini swali la msingi lililobakia kwenye vichwa vya raia wengi ni Je atatimiza ? Hizi hapa ahadi 10 za...
  2. Ikaria

    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Azimio

    Aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Uhuru Kenyatta anatarajiwa kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Muungano wa Azimio, aliobuni pamoja Mhe' Raila Odinga katika kampeni za Uchaguzi Mkuu uliopita. Hatua hii ina maana kuwa sasa Raila Odinga na mgombea mwenza Martha Karua ndio watakaondelea kuongoza Muungano...
  3. Ikaria

    Bruce Willis astaafu uigizaji

    Nyota wa filamu kutoka nchini Marekani Bruce Willis ameamua kuachana na uigizaji baada ya kubainika kuwa na ugonjwa wa aphasia. Aphasia ni hali inayozuia mtu kuzungumza na kuandika. Mara nyingi ugonjwa huu husababishwa na uharibifu wa upande wa kushoto wa Ubongo. Taarifa za kustaafu kwake...
  4. Ikaria

    Mitandao ya kijamii isikufanye uwachukie wanaohitaji upendo wako wa kweli

    Usipokuwa makini na mitandao ya kijamii, unaweza muonea wivu mtu unaepaswa kumuonea huruma.
  5. Ikaria

    Celine Dion atimiza miaka 54

    Nyota wa 'bluez' kutokea nchini Canada Celine Dion leo anasherehekea kutimiza umri wa miaka 54. Nyota huyo alitamba na wimbo wa "My Heart will still go on"
  6. Ikaria

    Mjue nyoka mwenye sumu kali Barani Afrika

    Kwani nyoka ana mifupa ?
  7. Ikaria

    Kenya 2022 Mtihani wa kuwapata wagombea-wenza sahihi wa kiti cha urais Kenya

    Mtihani mkubwa ulioko mbele ya Wagombea wa kiti cha Urais #Kenya (Odinga na Ruto) ni chaguo la Mgombea-mwenza. Chaguo lao wote wawili huenda likabadilisha mchakato mzima wa siasa na kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu Agosti 9. Ni suala la kusubiri tu.
  8. Ikaria

    Kiingereza ni lugha tu kama nyingine, siyo kipimo cha maarifa

    Nyota wa Bongo flavour Diamond Platnumz amepata taabu sana mitandaoni kwa siku kadhaa sasa kutokana na kiingereza chake kwenye filamu ya #YoungFamousAndAfrican. Mdau mmoja amesema kuwa wengi hapa Afrika hususan Afrika Mashariki bado fikra zetu zinatawaliwa na wakoloni. Kiingereza sio kipimo...
  9. Ikaria

    DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto

    Nimeiweka kwenye posti. Naomba urejelee uangalie. Shukran
  10. Ikaria

    DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto

    Ubalozi wa #Kenya nchini #DRC umelaani vikali 'kauli za dharau na kejeli' alizotoa Naibu Rais Williams Ruto kuhusu taifa la DRC. Baadhi ya raia wa DRC wameanza kususia bidhaa za Wakenya walioko jjjini Kinshasa. Naibu Rais William Ruto aliikejeli DRC kwa kusema taifa hilo ni maskini na halina...
  11. Ikaria

    Kenya 2022 Dkt. William Ruto: Sitaki miaka 10 ya Urais, nipeni mitano. Kazi yangu ikiwavutia niongezeni mitano tena

    Naibu wa Rais #Kenya Dr. William Ruto amezua hisia mseto miongoni mwa wananchi baada ya kusema hatamani kudumu kwenye urais kwa kipindi cha miaka 10. Hayo aliyasema wakati akinadi sera zake za 'Hustler Nation' yaani taifa la wapambanaji katika kaunti ya Nyeri. "Sina haja na miaka 10 ya urais...
  12. Ikaria

    Dkt. Joe Muriuki afariki dunia. Alikuwa Mkenya wa kwanza kujitangaza kuwa mwathirikia wa UKIMWI

    Joe Muriuki - Mkenya wa kwanza kutangaza kwamba ameathirika na virusi vya UKIMWI amefariki dunia. Dr Joe aliathirika miaka 34 iliyopita. ---- NAIROBI, Kenya, Feb 15 – Dr Joe Muriuki, the first Kenyan to go public about his HIV status after being positive for thirty-five years has died...
  13. Ikaria

    20 Wisdom Quotes You Should Know

    Chuki na kinyongo vina tabia ya kumtesa aliyenavyo kuliko anayeelekezewa.
  14. Ikaria

    Naomba tafsiri ya 'Open Day' kwa Kiswahili

    Naomba tafsiri ya 'Open Day' kwa Kiswahili.
  15. Ikaria

    Naomba tafsiri ya 'Social Enterprise' kwa Kiswahili

    Hamjambo? Naomba tafsiri ya 'Social Enterprise' kwa Kiswahili fasaha.
  16. Ikaria

    Tafakari ya mashabiki wa Manchester United

    Pogba kutaka kuondoka Manchester United sio tatizo. Ila tatizo ni kumtafuta mbadala wake. Kweli?
  17. Ikaria

    Ed Woodward amejiuzulu wadhifa wake kama Mwenyekiti wa Klabu ya Manchester United

    Ed Woodward amejiuzulu wadhifa wake kama Mwenyekiti wa Klabu ya Manchester United. Kujiuzulu kwake kunakuja baada ya wadau waandamizi wa klabu hiyo kuitikia wito kuwa klabu hiyo imewadharau mashabiki kwa kujiunga na Super League. Vyanzo vya habari Manchester vinaripoti kuwa Manchester United...
  18. Ikaria

    Ni ligi ya 'klabu bwenyenye' - elewa ni kwa nini uefa na fifa zinapinga super league

    Wadau mbalimbali wa mpira wa miguu barani Ulaya wanazidi kupinga kuanzishwa kwa Super League. FIFA na UEFA zimekosoa vilabu vyote 12 kwa kuweka maslahi ya pesa mbele kuliko mpira na heshima ya mashabiki.
  19. Ikaria

    Kampuni ya LG yasitisha uzalishaji wa simu janja

    Kampuni ya LG imetangaza kusitisha utengenezaji na biashara ya simu za mkononi kutokana na ushindani mkubwa sokoni sambamba na kushindwa kutengeneza faida. LG wamekuwa kwenye biashara ya uzalishaji wa simu za mkononi kwa takribani miaka 20.
Back
Top Bottom