Search results

  1. WA-UKENYENGE

    Naitazama Hoteli ya Kiromo View Resort kwa Uchungu

    Kuna cha chini chini kuwa ilikuwa na inamilikuwa na Mzee Kabila wakati ule anafanya harakati za kuchukua nchi pale DRC. Hivyo baada ya mzee kukata moto nadhani ndo ikawa mwisho wake.
  2. WA-UKENYENGE

    Mstaafu Jakaya Kikwete anakerwa na nini?

    Natamani mzee JK 2025 aingie ulingoni hata kwa kubadili katiba...
  3. WA-UKENYENGE

    Simulizi ya kutisha zaidi kuwahi kutokea ulimwenguni

    Atakuwa kafuatwa na hao watu waliokufa...End of the story
  4. WA-UKENYENGE

    Ninatafuta shule nzuri ya msingi (English Medium)

    Mpeleke Meso Day Care...Iko mkabara na Hospitali ya Sinza
  5. WA-UKENYENGE

    Ushauri: Mpenzi wangu ataniua!

    Ashukuru umemsaidia kweli hapa. Sijui kapotelea wapi. Come back dude and get this for you!!
  6. WA-UKENYENGE

    TTCL ina deni la bilioni 403 ilhali mtaji bilioni 243

    Mkuu nawewe unaamini hiyo report ya PAC?
  7. WA-UKENYENGE

    Hatimaye Dstv washusha vifurushi sasa ni Tsh 9,000 DSTV Poa

    Atakuwa kafukuzwa na Talliban...wazee wa kazi!!
  8. WA-UKENYENGE

    Mwananchi: Hamza alikuwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza milioni 400

    Majibu mepesi kwenye maswali magumu!!
  9. WA-UKENYENGE

    TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Apumzike kwa amani, Warumi. You will be missed Mkuu.
  10. WA-UKENYENGE

    Naachana na harakati za kisiasa Tanzania, hazina faida yoyote

    Mkuu kuna jambo haliko sawa...kwamba unasema umeamua kuachana na siasa za Tanzania ili usubiri wengine waamue nini utalipa katika kila muamala? nini utalipa utakapoingiza bidhaa kutoka nchi? Umechagua watu waamue kwa niaba yako ili juu ya maisha yako ya baadae wakati bado unaweza kufanya kitu...
  11. WA-UKENYENGE

    Maajabu Dar City Centre

    Enjoy reading your article!!!! You could write a very nice book/guideline book about the city of Dar es salaam. Congole Mkuu.
  12. WA-UKENYENGE

    TANZIA Mzee Chrisant Majiyatanga Mzindakaya Afariki dunia

    Pumzika kwa amani Mhe. Dkt. Mzindakaya
  13. WA-UKENYENGE

    Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) mnatia shaka kwenye hili, zile tafiti bora kabisa zimeenda wapi?

    Interesting...nadhani siyo UD pekee bali jamii kama jamii kuna sehemu dishi liliyumbishwa na sasa ndiyo matokeo yanaanza kuonekana wakati tukihitaji majawabu ya matatizo sugu bila kukumbuka tulikoyumbishwa dishi.
  14. WA-UKENYENGE

    Baada ya Chato sasa ni zamu ya Zenji Kula

    Huu ni Muungano wa nchi mbili ambazo ziko sawa kihadhi kama nchi....kwahiyo Watanganyika naomba tutulie dawa ituingie sawasawa.
  15. WA-UKENYENGE

    Mchanganuo wa biashara ya kuingiza faida ya 150,000/= kwa siku/ 4,400,000 kwa mwezi

    Mkuu ukifanya calculations kama hizo bila kuweka risks na mitigation approach zake bado hujafika kwenye uhalisia. Lazima uweke hizo factors. Lakini pia, kwenye maeneo yenye mzunguko mkubwa wa pesa bei ya fremu ziko juu. Baadhi ya risks kwa uchache ni kama ifuatavyo: 1. Uaminifu mdogo kwa wafanya...
Back
Top Bottom