Search results

  1. Statesmann

    CV ya straika mpya matata sana wa Yanga SC

    kwani usajiri bado unaendelea?
  2. Statesmann

    Biden atashinda, Trump is done

    hahaa hadi kuna baadhi ya watangazaji kwenye media za bongo niliwahi kuzisikia wanasema hivyo hivyo 😅
  3. Statesmann

    Biden atashinda, Trump is done

    Hii electoral college Wabongo wengi huwa inatupiga chenga kuielewa
  4. Statesmann

    Biden atashinda, Trump is done

    Mimi naamini Trump anashinda japo sina sababu yoyote.
  5. Statesmann

    Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

    mbona mchoraji anamdhalilisha Lissu kamchora ana masikio makibwa n.a. mwili wa nyani ana maana gani?
  6. Statesmann

    Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

    Namkubali sana mnyampaa Lissu ila sikubaliani naye kutafuta cheap popularity sokoni kariakoo mara kupanda mwendo kasi huo ni upuuzi wanafanyaga CCM
  7. Statesmann

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    kwahyo Barca haijasajili beki ya kati? tumeridhika na babu pique na lenglet 🤔🤔
  8. Statesmann

    PANYA-Kutoka kuzoeleka kama mnyama mharibifu mpaka mnyama Maarufu

    mdau unasifia panya kabisa? kwa uharibifu anaoufanya panya shamban na ndani ya nyumba ingekuwa amri yangu ningewaangamiza panya wote ulimwenguni
  9. Statesmann

    Yanga Yafanya 'Maangamizi' Ya Kimbari,yamlamba KMKM 2-0.

    Utopolo wazee wa goli moja chali naona mlijibust na vumbi la kongo mkapiga viwili 😂😂
  10. Statesmann

    Jana nimeng'atwa na nyoka mguuni!

    Duh hatari sana amekupiga chenga mno ila ungetupia na kapicha
  11. Statesmann

    Bodi ya ligi mpaka leo hawajui kupanga ratiba

    kuna timu inaitwa sumbawanga
  12. Statesmann

    Nini maana ya vituo vya soka (Technical centers)?

    mbona vyote wanajenga karibu tanga na kigamboni? kwanini wasivitawanye kimoja wakajenga Mbeya au Mwanza au Arusha au hata Dodoma
  13. Statesmann

    Mbarali: Dogo aliyepanda juu ya mti ili kumuona Tundu Lissu apewa zawadi ya vifaa vya shule

    muda si mrefu itatangazwa wanafunzI wasiende kwenye kampeni
  14. Statesmann

    TFF mnawaogopa Yanga?

    Utopolo ni utopolo tu
  15. Statesmann

    Kwa hali hii ya ushindani admission ya 2020/2021 udaktari. Je, nimepoteza hela yangu?

    Hivi mkuu kwa St. Joseph n.a. imtu bado hawaruhusiwi kidahili? vip kuhusu vyuo vya nje mkuu kuna ambavyo unavifahamu mtu anaweza kwenda kusoma?
  16. Statesmann

    Nyimbo bora za story telling kutoka Bongo

    Nyimbo za zamani tamu sana, tulikuwa tunapewa story kweny wimbo ila siku hizi tunapewa matusi kweny wimbo
Back
Top Bottom