Search results

  1. R

    Ajira za walimu

    Kiujumla inaonekana una wivu wa ajira kwa sababu ukupata kusomea ualimu ambao kimsingi ajira yake siyo ya kutembea na bahasha za kaki kama unazotembea nazo muda huu, so kuwa mtu ambaye ana fikra chanya na sio hasi. Nafahamu unajua kwamba kuna huaba wa walimu nchi na hawa walimu waliohitimu wana...
  2. R

    Natafuta mpenzi (binti)

    sasa mwenyewe hutoi sifa zako, kumbuka wako mabinti wanatafutra nafasi kama hizo lakini hawazipati my friend, express your self!!!!!!!!!!!!!!! u gona win the match.
  3. R

    Tujikumbushe NYAKATO SEC.Bukoba

    Kweli mimi naikumbuka sana Nyakato kipindi hicho naingia form one mwaka 2002 system hiyo ya viongozi kuwachapa wanafunzi wenzao ilikuwa ni kugusa sababu nia na madhumuni ilikuwa hasa hasa kuwaogopesha wasichana wapate njia rahisi ya kuwapata. Bila ya kusahau cicrambling ya nyuka hata muda...
Back
Top Bottom