Search results

  1. Kulindwa Author

    Papa FRANCIS: Israel ni ya Wakristo, Wayahudi, na Waislamu

    Hujamwelewa papa. Au tuweke hivi - Tanzania ni nchi ya wakristo, waislam, na wa imani zingine,; ni nchi ya waafrika, wazungu, waarabu, wahindi nk
  2. Kulindwa Author

    Kwanini waislam wanaisapoti Palestine na wakristo Israel

    Wakristo wanafuata ukweli halisi, waislam wanatii tamko kwamba wayahudi ni adui wao
  3. Kulindwa Author

    Je wajua kuwa Wayahudi wenye kumuamini Kristo hawaruhusiwi kuwa raia wa Israel?

    Israel ni nchi kama ulivyo Tanzania, Saudia Arabia, USA nk ndani yake wapo wakristo na wasiokuwa, wapo waarabu na wasiokuwa, wapo waafrika na wasiokuwa
  4. Kulindwa Author

    Je wajua kuwa Wayahudi wenye kumuamini Kristo hawaruhusiwi kuwa raia wa Israel?

    Taifa la israel lilikuwepo zaidi ya miaka 6000 iliyopita, kiongozi wa kwanza akiwa ni nabii Mussa, hicho ni kipindi cha miaka zaidi ya 3430 kabla ya kuzaliwa mhasisi wa uislam yaani Muhammad au kabla ya kuanzishwa kwa uislam miaka yapata 3290. Quran inakiri kuwepo kwa mfalme Suleiman aliyekuwa...
  5. Kulindwa Author

    LIGI YA ISRAEL HAINA X MASS

    Israel wanatambua moses ni kiongozi wao wa kwanza na mkombozi dhidi ya uovu wa Mwarabu sliyewafanya watumwa, Jesus na manabii wengine ni sehemu kutoka wao, hivyo wana haki kujiweka kando na injili.
  6. Kulindwa Author

    Tuweke kumbukumbu sawa, Bethlehem alikozaliwa Yesu sio Israel, ni Palestine

    Ismail ni Mtoto wa nje, hawezi kuwa wapekee; Mtoto wa pekee ni isaka maana ndiye Mtoto wa kwanza wa Ibrahim kwa maana ya Watoto halali. Kwanini ismail na mamaye walifukuzwa kwa amri ya mama isaka? Kwanini Ismael hakutafutiwa mke na baba yake kutoka kwa nnduguze kama ilivyotendeka kwa isaka...
  7. Kulindwa Author

    Je, unajua hata Ariel Sharon, kiongozi wa Israel, aliwahi itwa "bulldozer" na "lion of the God" kutokana na matendo yake?

    Hakushindwa, bali alichakaza eneo kote hadi ikawa kimyaaa. Israel ingeshindwa, isbullah wasingekuwa huko ukimbizini hadi sasa
  8. Kulindwa Author

    Kwanini Papa, Anglican na Lutheran duniani wanampinga Trump kuutambua Jerusalem kama mji Wa Israel?

    Hawapingi Jerusalem kuwa makao makuu ya Israel, ila wanaona bado ni mapema sana kwakuwa suala hilo wanaamini ni la kubadilika kwanza pamoja na mambo mengine
  9. Kulindwa Author

    President Trump Cuts Funding To U.N. After Israel Vote

    Unaujua uchumi wa geita iliyoundwa kutoka maeneo ya mwanza na kagera? Kama mwanza ni ya Pili kiuchumi, unadhani geita Itakuwa anga zipi baada ya kumeguka kutoka mwanza kwa sana? Msiwe mnajiropokea tu
  10. Kulindwa Author

    Syria watungua ndege ya Israel

    Wateule hawashindwi kitu
  11. Kulindwa Author

    Hivi unamshushaje Diamond?! Au Mnamaanisha Wasanii Wapya wa WCB?!

    Diamond anapoteza fans? Mbona mnachekesha, mwenzenu anafungua mlango wa soko la amerika na ulaya huku nyinyi mnajitekenya!
  12. Kulindwa Author

    Hivi unamshushaje Diamond?! Au Mnamaanisha Wasanii Wapya wa WCB?!

    Diamond is above the talk, unstoppable!
  13. Kulindwa Author

    So sad nimekuta mke wangu akigegedwa na house boy kwenye sofa nilizonunua mwenyewe

    Usijali, haijang'olewa. Bado ni mali yako, kwani wewe huli kiwizi
  14. Kulindwa Author

    Mkuu wa Mkoa hana mamlaka ya kusimamisha shughuli za kimahakama (Mabaraza ya Kata)

    Usiweke mawazo yako kuwa sheria husika, soma mamlaka na mipaka ya mkuu wa mkoa ndio utajua ametoa wapi mamlaka ya kuvunja mabaraza hayo kwa nsfasi kubwa yalikuwa yanakandamiza wanyonge (mimi udhahidi ninao) Zingatia sababu za kusimamisha maana uozo umeonekana wazi dhidi yao, asingechukua hatua...
  15. Kulindwa Author

    Mkuu wa Mkoa hana mamlaka ya kusimamisha shughuli za kimahakama (Mabaraza ya Kata)

    Atoe cheti ampatie nani na kwa mamlaka IPI?
Back
Top Bottom