Search results

  1. John Gregory

    Naanza kuelewa kwanini Mch. Eliona Kimaro alifungiwa kutoa huduma

    Hakuna hilo jambo ndani ya Kanisa katoliki
  2. John Gregory

    Naanza kuelewa kwanini Mch. Eliona Kimaro alifungiwa kutoa huduma

    Hakuna padre wala pope aliyewahi kuruhusu ushoga! Usilazimishe kuchafua kanisa!
  3. John Gregory

    Anahitajika Afisa Masoko

    Upuuzi mtupu! Target my ass!
  4. John Gregory

    Naanza kuelewa kwanini Mch. Eliona Kimaro alifungiwa kutoa huduma

    Huwezi kuta Padri wa aina hii. Kweli elimu muhimu.
  5. John Gregory

    Utata gharama za utengenezwaji uwanja mpya wa mpira Arusha

    Miundombinu haijengwi kwa kuangalia miaka 10,20 ijayo! Miundombinu inapaawa kujengwa kwa kuangalia miaka 100, 200 ijayo! Alafu kwa mashabiki wa mpira mnatuonea kwa kujenga pitch mbali na mashabiki kwa hizo olympic stadium, Kwanini msijenge football stadium?
  6. John Gregory

    Utata gharama za utengenezwaji uwanja mpya wa mpira Arusha

    Swala si gharama pekee, awala ni kwanini watu 30,000?? Hawaangalii future? Alafu hizi olympic stadium za nini? Tunataka football stadium
  7. John Gregory

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Yaani wameona kumuacha Percy Tau na Modeste kwa timu kama hii ni matumizi mabaya ya wachezaji wao 🤣🙌🙌
  8. John Gregory

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Hizi dharau za Ahly hizi 🤣🤣🙌
  9. John Gregory

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Ahly wanacheza kwa dharaaaaaaaau 🤣🤣🙌
  10. John Gregory

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Hapo alitakiwa ateme mate chini kwanza alafu afute jasho na Tshirt kabla ya kupiga foul kama mwamba wa ouagadougou😀😂
Back
Top Bottom