Search results

  1. Breki ya Kenge

    Msaada kuhusu hivi vipimo

    Habari ndugu wote wa JF, Baada ya kujisikia mwili na viungo mbalimbali vikiuma sana, leo nimeenda kufanya vipimo mbalimbali kujua tatizo ni nini. Na haya ndio majibu ambayo nimetoka nayo maabara. Najua humu kuna ma Dr wabobezi kwenye nyanja hii ya afya, hivyo naomba mnijuze hivyo vipimo...
  2. Breki ya Kenge

    Msaada: Nimetokwa na vipele vinavyowasha

    Habari wanaJF, naomba msaada wenu wa mawazo nimetokewa na vipele mwilini ambavyo vinawasha sana. Vilipoanza kujitokeza nilijua ni fungus so nilitumia dawa ya kupaka ya fungus lakini bado viliendelea kujitokeza. Kwa sasa natumia sabuni ya dawa ya kuogea lakini bado hakuna nafuu. Nimeattach na...
Back
Top Bottom