Search results

  1. M

    Muhimbili Interview

    Je Muhimbili wametoa matokeo ya interview ya mwezi uliopita kwa nafasi za ugavi na uhasibu?
  2. M

    Kuitwa kwenye usaili Muhimbili

    Hata dogo wangu naona katumiwa itakuwa ni kweli!
  3. M

    Kuitwa kwenye usaili Muhimbili

    Ndugu zangu kuna mdogo wangu aliomba nafasi ya kazi ya uhasibu chuo kikuu cha muhimbili,je kuna mtu ameshaitwa kwenye usaili? kwani ni miezi imepita sasa.
  4. M

    'List of references' ndio nini? tujuzane.

    Nashukuru ila hata mimi nilimshauri akasome kwenye mtandao lakini hakutaka."No research no right to speak"
  5. M

    'List of references' ndio nini? tujuzane.

    Nashukuru kwa mawazo yako na ninaamini na wengine wataelewa.
  6. M

    'List of references' ndio nini? tujuzane.

    Tunaomba mawazo yako
  7. M

    'List of references' ndio nini? tujuzane.

    kwa hiyo kama hivyo visima ulichimba mwanza na mwajiri yuko dar,ataenda huko apate uhakika wa visima ulivyochimba?nafikiri huo muda haupo na kama hatapata uhakika kwa haraka ataona anapoteza muda wake hivyo atakuacha na kumchukua mwangine na utakosa hiyo tender.>narudia tena ,kuandika kazi au...
  8. M

    'List of references' ndio nini? tujuzane.

    vilevile si lazima uandikiwe referees kwani mwajiri anaweza akasema references,ni kitu kile kile,ni lugha tu ndugu yangu.
  9. M

    'List of references' ndio nini? tujuzane.

    Nakushauri uende kwenye internet ufungue "list of references "maana yake ni nini,haina maana kubishana kwa jambo dogo kama hili.Ninauhakika na ninachosema.Ukishaenda kuangalia utakubaliana na mimi.
  10. M

    'List of references' ndio nini? tujuzane.

    Ok,but any literate person can list, the question is where such information can be verified to enable those who will enterview you to conclude if is true or not!
  11. M

    'List of references' ndio nini? tujuzane.

    kwa msaada zaidi ni mafera wako kuanzia watatu na kuendelea pamoja na details zao na uwe unafanya nao kazi sasa au ulikwishwa kufanya nao kazi na hii inategemeana na urefu wa cv yako.
  12. M

    Covering Letter

    Hiyo ni format ya cover letter kwa kazi yoyote unayoapply sidhani kama kuna mtu anayeandika tofauti.Kuonyesha wewe unafit kwa hiyo kazi inamaana uonyeshe strength zako wazijue na hizo ndizo zitakutofautisha na wengine na strength zenyewe ni kwa kazi uliyoomba.Nakuomba uzingatie niliyokueleza...
  13. M

    Covering Letter

    ni barua ya kawaida ila utaonyesha strength ulizonazo tofauti na vyeti ili wakuconside katika hiyo post.Mojawapo ni experience,accomplishments na uwezo wa kutumia accounting packages katika kazi za uhasibu.
  14. M

    Natafuta kazi ya assistant library

    Ok,elezea vizuri,cheti kwa upande wa library au fani ipi?jaribu kuwa wazi
  15. M

    Natafuta kazi ya assistant library

    umesom elimu gani?
  16. M

    Aptitude test ya NSSF kesho (31/12/2011) yavuja na kusambaa mitaani:

    acheni uongo na msiharibu sifa za watu na taasisi,mbon kuna ndugu yangu amefanya hajakuta swali hata moja mliloweka huku?m mnatafuta pepa za interview ndo maana mnapewa feki na kupoteza muda wenu bure badala ya kusoma.
  17. M

    Aptitude test ya NSSF kesho (31/12/2011) yavuja na kusambaa mitaani:

    wewe kwa nini hujapata kama imesambaa?
  18. M

    Usahili tra

    we kama ulifanya interview j3 nenda kaangalie jina lako msimbazi center usichelewe,oral inaanza kesho kwa post za tax officers.
  19. M

    Usahili tra

    waliofanya jana jumatatu majibu yametoka na yamebandikwa leo usiku msimbazi centre.Second interview from friday.
Back
Top Bottom