Mi ni kijana rijali,natafuta msichana ili tukielewana awe mke wangu wa ndoa, awe mkristo,mzuri,co wa kichina, muelewa na mvumilivu katika maisha! Ni haya tu wanajamii, atakayependezwa naomba ani PM, ucku mwema!
Gari ni asset kama asset zingine,nikipigika nauza napata changu, kuaribika hata nyumba inaweza kusombwa na mafuriko then ukaumia,jua jinsi ya kutumia gari ili maisha yaendelee! Narrow minded!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.