Search results

  1. D

    Matokeo ya UBAGUZI

    Mwalimu Nyerere alipata kusema nanukuu "dhambi ya ubaguzi itawatafuna, ukimbagua mtu wa kwenu kwa sababu ya ulevi tu, ulevi wa madaraka, ukasema sisi ni sisi na wao ni wao, sisi, na wao!!, hamtabaki salama, kwa sababu mtagundua kwamba hata sisi siyo wamoja" akaendelea kusema, "ukishaanza kubagua...
  2. D

    Wahifadhi wamwambia Majaliwa, hakuna kaburi la Faru John

    Kutokuzika hakuzuii DNA test isifanyike, masalia yake na kizazi chake kinaweza kutoa majibu, mimi nafikiri ifike wakati tuwe na weledi katika kila kazi tunazozifanya; ninaamini anachokifanya Waziri Mkuu ni sashihi kabisa na weledi wa hali ya juu kujiridhisha pasi na shaka kwa jambo hasa kubwa...
  3. D

    Rais Kikwete amteua Amos Makala na Rugimbana kuwa wakuu wa mikoa

    Wakuu wa Mikoa Leonidas Gamma na Stella Manyanya wameacha kazi kwakuwa wanagombea ubunge;;;;;;;!!!!! Magufuli anaendelea na kazi kwa kuwa hagombei urais:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:wala Mawaziri na Manaibu wao; hawagomei...
  4. D

    Sumaye: Nimenunua shamba kwa kiinua mgongo changu

    umewahi kuona wapi tenda ya kuuza au kununua shamba, umeona wapi ushindani wa kununua shamba!? duh!!! shamba linauzwa kwa tenda!
  5. D

    Ukuu wa Dhamira Juu ya Hisia (Supremacy of Conscience Over Passions) - In Honor of Dr. Slaa

    JE? Dr. SLAA KASEMA UKWELI? Ndugu zangu habarini za asubuhi, nimesukumwa sana kuandika jambo dogo sana baada ya kusikia maelezo ya Dr. Slaa jana alipotangaza kujiuzulu siasa. Nimemsikiliza kwa makini sana kuanzia alipoanza kueleza habari za kujitoa kwake CHADEMA na hadi kutoa mfano wa biashara...
  6. D

    Kiu ya Magufuli kwa Watanzania

    kweli eti,,,,.! wapumbavu sana! unajua hawatampa kura Magufuli! duh,,, watukanwe tu hadi watoe kuraaa,,,,,! wrong way......! kwa matusi hayo hata waerevu mtawapoteza!
  7. D

    Kiu ya Magufuli kwa Watanzania

    ni wapumbavu sana hadi kwenye box la kura tar. 25/10/.
  8. D

    Kiu ya Magufuli kwa Watanzania

    ajabu kabisa, waliyoko wizarani kwake kawashughulikia vipi na lini!? mbona kuna b. 520 zimelipwa wakandarasi hewa kwenye wizara yake, alichukua hatua gani!!!?
  9. D

    Kiu ya Magufuli kwa Watanzania

    Mmmh.... hoja zilipaswa kuwa, tumejenga barabara, tumepunguza umasikini, tumetengeneza ajira, tumejaza dawa mahosipitalini, tumekomesha rushwa na ufisadi, wanafunzi hawakai chini tena,,,,.....n.k. kinyume chake hoja zilikuwa, tutakomesha rushwa na ufisadi, tutatoa elimu bure hadi kidato cha nne...
  10. D

    Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Duh! inaonekana kabla ya RICHMOND nchi ilikuwa na umeme wa uhakika sana na maendeleo yalikuwa juu sana! sasa mbona RICHMOND ina wenyewe! tena ni ya juzi juzi kabisa! hiyo slogan itasaidia kweli!!? nina mashaka sana, nafikiri hiyo timu haitathubutu hata kulitaja jina RICHMOND sana sana wataishia...
  11. D

    Mungu anayehubiriwa na Kikwete na CCM ni yule wa EPA, ESCROW au Mwenyezi Mungu ?

    Mungu wetu tunayemwamini sisi ni mmoja asiyebadilika badilika kila mara kama yule mungu tuliyemzoea mwenye majina mengi tena hubadilika kwa wakati mara aliitwa Buzwagi, mara Meremeta, mara Kiwira, mara EPA mara ESCROW! na kadhalika Mungu wa Mbingu na nchi atupiganie!
  12. D

    Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Nimekitazama sana kikosi cha campaign ya kumnadi Dr. Magufuli nikaona kuwa nii dhahiri kikosi chenyewe hakijatulia. Kinataswira tofauti kidogo na watu wanavyoweza kufikiri. kwa tafsiri halisi ni mbinu ya kujaribu kuwashawishi wananchi wakusanyike kuwaona baadhi ya watu ambao CCM wanafikiri...
  13. D

    Lowassa kakata rufaa kwa watanzania

    Ni muda mrefu sana sijaandika wala kupost hoja zangu humu jamvini lakini leo naona haja ya kufanya hivyo Ni utaratibu wa kawaida kabisa kwa nchi zinazofuata utawala wa kisheria kutoa nafasi kwa wananchi wake kupata haki zao za msingi kama yanavyoelekeza matakwa ya kisheria. Kwenye swala la Mh...
  14. D

    Magufuli yupo Arusha kikazi

    nimetazama sana hiyo picha sijui imepigwa wapi hapa Arusha, itakuwa imported!
  15. D

    Magufuli yupo Arusha kikazi

    usipende kuamini kila kitu, mimi ninaishi Arusha jana Mgufuli alikuwa Arusha Hotel, hakuna hata inzi anayemfuata sana sana yuko na mlolongo wa magari ya umma tu na wapambe kibao wa serikalini wananchi wako busy na maisha yao ya kila siku!
  16. D

    Prof. Tibaijuka: Nijiuzulu kwa lipi?

    Ni jambo la kushangaza sana, tena la aibu kabisa, kwanza haiwezekani kupewa msaada wa aina hiyo, mtu akupe msaada wa b. 1.6 wewe kama waziri tena msaada mkubwa kiasi hicho kwenye taasisi yako binafsi wa nini? pesa zenye mgogogro namna hiyo inawezekanaje ukawa ni msaaada tu wa kawaida, pesa hizo...
  17. D

    Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

    Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa sana, ule ulikuwa mdahalo huru unao accommodate fikra na mitazamo tofauti. Haukupaswa kujikita kwenye upande au kundi fulani, tafsiri ninayoipata ni kwamba kuna kundi fulani tu ndio lilipaswa kuhudhuria na kujadili, sifikiri kama ni sawa kujikita katika...
  18. D

    Wanafunzi wachoma moto Shule ya Sekondari Njombe, Polisi yawaadhibu baadhi

    nafikiri ni bora kuliko kuwafukuza shule kabisa kwa sababu maisha yao yataharibika zaidi, nimeelewa pia kwamba wale wanaoshikiliwa na polisi huenda wakawa hard core ambao huenda wakafukuzwa shule kabisa
Back
Top Bottom