Search results

  1. K

    Muungano

    SIKUWEPO WAKATI MUUNGANO UNATOKEA.NIMEKUJA KUONA MATUKIO KWENYE PICHA TUU.KATIKA PICHA ZOOTE,PICHA MOJA YA TUKIO LA KUCHANGANYA MCHANGA NDIYO INAYONICHANGANYA. IWEJE TUKIO MUHIMU KAMA LILE ANAELIFANYA NI MTU MMOJA TUU(Mwl Nyerere)?MBONA KARUME HAONEKANI KUSHIRIKI? NAOMBENI UFAFANUZI KWA...
  2. K

    Swali.

    Ndugu zangu wa JF nisaidieni.MKE WA RAIS WA KIUME KWA KIINGEREZA HUITWA FIRST LADY.JE MUME WA RAIS WA KIKE KWA KIINGEREZA ANAITWAJE?
  3. K

    Tunaelekea wapi?

    Kwa ufuatiliaji wangu kwa kadri ya uwezo wangu,nimegundua maovu mengi yaliyobainishwa hasa hasa toka mfumo wa vyama vingi kuanza nchini mwetu.Najua kuna maovu mengi,ila kwa leo nayarejea machache yaliyojitokeza.KWANZA makosa ya kifisadi,rushwa na usainiswaji wa mikataba mibovu.PILI uuzwaji wa...
Back
Top Bottom