Search results

  1. K

    JK anamuenzi vipi Mwalimu?

    jamani,anamuenzi kwa kupiga picha na wasanii wanaotamba duniani kama 50Cent na wengineo kila mara atokapo nchini kuelekea Marekani
  2. K

    Kwanini rais wetu hatembelewi?

    SIONE,acha ushabiki wa kijinga.Ina mana dafu likiwa ndani ya fungu la nazi nalo tuliite nazi?Kuwa mkuu wa nchi isiwe sababu ya kutokuanikwa mapungufu yake.
  3. K

    Muungano

    Sasa ndugu yangu Zamboni,Mbona hiyo TITLE ya kitabu yanstaajabisha??Kwa hiyo uhuru kaheri,halikadhalika ukoloni kwaheri.Kwa hiyo karibu nini au UFISADI?
  4. K

    Muungano

    Sijakusoma vema Ghibuu
  5. K

    Muungano

    Katika kusoma kwangu,nilichofundishwa kwa ushahidi ni kutumia picha ninayoimaanisha.Si kana kwamba nachukia Muungano kama unavyodhani.
  6. K

    Muungano

    Naomba unikumbushe thread hiyo title yake iliandikwaje ili niitafute ndugu.
  7. K

    Muungano

    Taso nashukuru kwa kuliona hilo maana kusema ukweli hata ile hati ya muungano haijulikani ilipo.Ndio maana nakubaliana na MtamaMchungu kuufananisha muungano wa siku ile sawa na ndoa ya mkeka.
  8. K

    Muungano

    Hata hiyo hati ya muungano haijulikani ilipowekwa,ambayo inatuonyesha masharti n
  9. K

    Muungano

    Katika Muungano wowote,kila upande huleta mwakilishi japo walau mmoja kujumuika katika tukio maalum kama hili.Sasa kwetu Tanzania tukio hili lilikuwa hiyari au lazima?
  10. K

    Muungano

    SIKUWEPO WAKATI MUUNGANO UNATOKEA.NIMEKUJA KUONA MATUKIO KWENYE PICHA TUU.KATIKA PICHA ZOOTE,PICHA MOJA YA TUKIO LA KUCHANGANYA MCHANGA NDIYO INAYONICHANGANYA. IWEJE TUKIO MUHIMU KAMA LILE ANAELIFANYA NI MTU MMOJA TUU(Mwl Nyerere)?MBONA KARUME HAONEKANI KUSHIRIKI? NAOMBENI UFAFANUZI KWA...
  11. K

    Bw. vijisenti kuachia ngazi wiki ijayo?

    Acha uongo wewe.Kama huna habari ya maana kaa kimya.
  12. K

    Ushindi wa CCM Igunga hauwezi kushangiliwa na mwana-CCM yeyote makini

    Ushindi ni ushindi tuu hata kama ni wa matuta.Waloshinda wameshinda,na waloshindwa wameshindwa.Yalobaki,tugange yajayo.
  13. K

    Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

    Bado yupo ndugu na anapiga kazi kama kawa.Tupunguze gharama.Kama madaktari wetu bingwa wameshindwa,basi tuangalie upande wa pili.
  14. K

    Asanteni wanaigunga kwa kutuletea ulaji Pugu

    JASLAWS umeongea la maana katika hili.Kwani ni wabunge wengi tuu wa chama tawala na wa upinzani ambao makazi yao ya kudumu ni tofauti na ambapo majimbo yao wanayoyawakilisha.
  15. K

    Swali.

    Ndugu zangu wa JF nisaidieni.MKE WA RAIS WA KIUME KWA KIINGEREZA HUITWA FIRST LADY.JE MUME WA RAIS WA KIKE KWA KIINGEREZA ANAITWAJE?
  16. K

    Ungepewa nafasi leo kumshauri Jakaya Kikwete ungemwambia nini....?

    wewe kweli magamba pure.Yani nchi yenye kilakitu lakini bado yawa ombaomba! Ndo mana mmekwishazoea kuhongwa t-shirt,vitambaa,mashati,khanga na vitenge,
  17. K

    Ungepewa nafasi leo kumshauri Jakaya Kikwete ungemwambia nini....?

    Aachie ngazi kwa maana hata slogan yake anaikengeuka.Kwani alitamka kuwa atawapatia MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.Badala yake toka aingie madarakani anazidi kutupatia BORA MAISHA KWA KILA MTANZANIA.
  18. K

    Tunaelekea wapi?

    kwa hiyo ndugu yangu tufanyeje juu ya hilo?
Back
Top Bottom