Search results

  1. P

    Mshahara PHTS 4 ni kiasi gani?

    Naomba mnisaidie nifahamu mshahara wa Tutorial Assistant PHTS 4 ni kiasi gani? Pili wafanyakazi wa colleges zilizo chini ya NACTE wanapata fringe benefit zipi?kama house alowance asilimia ngapi na mengine. Tafadhal naombaanaejua anisaidie
  2. P

    Naomba msaada kuhusu malipo ya kupelekwa kituo cha kazi

    Mimi nimeajiriwa Arusha toka Dar,katika taratibu natakiwa nilipwe fedha ili nilete familia yangu ktk kituo changu cha kazi. menejimenti inasema nitafute bei ya kusafirisha mizigo yangu tani 1.5 nipeleke wanilipe. kinachonitatiza ni kwamba bei sijui, hii ni private sector ila wanasema wanalipa...
  3. P

    Naomba msaada kuhusu malipo ya kupelekwa kituo cha kazi

    Mimi nimeajiriwa Arusha toka Dar,katika taratibu natakiwa nilipwe fedha ili nilete familia yangu ktk kituo changu cha kazi. menejimenti inasema nitafute bei ya kusafirisha mizigo yangu tani 1.5 nipeleke wanilipe. kinachonitatiza ni kwamba bei sijui, hii ni private sector ila wanasema...
  4. P

    Naomba msaada kuhusu malipo ya kupelekwa kituo cha kazi

    Mimi nimeajiriwa Arusha toka Dar,katika taratibu natakiwa nilipwe fedha ili nilete familia yangu ktk kituo changu cha kazi. menejimenti inasema nitafute bei ya kusafirisha mizigo yangu tani 1.5 nipeleke wanilipe. kinachonitatiza ni kwamba bei sijui, hii ni private sector ila wanasema...
  5. P

    Alart;wizara ya afya mbona ilichanganya mambo

    Naomba tukumbushane kidogo sakata la wizara ya afya kutangaza vipimo feki vya VVU,katika aya ya pili kwenye taarifa yao walioichapisha kwenye mtandao wao kuna sentensi hii ¨Ninapenda kuwafahamisha kwamba, vitendanishi hivi vilivyo na hitilafu havitoi majibu (invalid results) na sio kwamba...
  6. P

    Ufafanuzi;mtu hutambulika kuwa mbunge baada ya kuchaguliwa au baada ya kuapishw?

    Naomba mnijuze wana JF kwani mbunge hutambulikaje maana ninatatanishwa sana na suala la wanaedai mbunge wa CCM (Sumari) aliefariki akiwa bado hajaapishwa,ilikuwaje na itakuwaje? 1.Je alikuwa anapata malipo yote sawa na wabunge wengine? 2.Kama invyosemekana hakuwa ameapa atapata kutendewa kama...
  7. P

    Hivi Mlimani tv kusema hali UDSM ni shwari wakati TBC inaonyesha maandamano tuelewe nini?

    :juggle::juggle:Nimechnganywa na vyombo hivi viwili hebu wana jamvi mlipo sehemu ya tukio mtujuze vizuri inakuwaje.:juggle:
  8. P

    Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply

    Inanichanganya sana hebu wana JF NIFAFANULIEN mwajiri anapotangaza na kutoa sharti hilo ana maana gani?
  9. P

    Tangazo la kazi wizara ya mifugo la tar 18

    Wana JF nawaomba aliye na tangazo la kazi zilizzotangazwa na wizara ya mifugo kwenywe gazeti la dailynews la tar 18 11 2011 aniamie nashida ya kuaply kazi hizo,au mwenye kuwa nalo anitumie private kwa kutumia JF sms nitampigia anijuze.
  10. P

    Moyo unadunda kasi nikikumbuka university of bagamoyo!

    Jamani naomba mnisaidie maana kila nikiona namba mpya inaita kwenye cm yang u nadhani ndio wananiita U/bagamoyo maana napenda sana nikafanye kazi nao,bora nifahamu ili labda nizoee kam walishaita watu waliowachagua.
  11. P

    Mbinu za ccm kuua upinzani

    Mungu awabariki,Napenda nizungumze wazi nionavyo mimi na wenye akili wataniunga mkono kwa hili,Hebu kumbukeni CCM ilitumia mbinu gani kuidhoofisha NCCR, CUF na sasa CHADEMA pindi vinapotokea kuwa na nguvu za wananchi, 1. Nakumbuka CUF waliitangazia udini na mapanga ikaonekana ni wahuni na...
  12. P

    Mshahara tgrsa

    Samahani wana JF naomba mnisaidie mshahara wa ngazi ya TGRS A ni kiasi gani maana napenda nifahamu kabla sijaingia mkataba na mwajiri.nisaidieni nipate maamuzi sahihi.
  13. P

    Interview ya Bagamoyo university inaendelea sasa hivi wana JF

    Ndg zangu 2po 2nasubiri kuingia interview hapa ofisini kwao,msikate tamaa ambao hamjaitwa kwan wanaita kwa makundi,muda na cku tofauti.leo ni zamu ye2 2torial ass na cashier ambao wanamalizia kuitwa.
  14. P

    St. John interview short list iliyosemekana imetolewa ipo wapi?

    Jana kuna mtu kanipigia cm akasema st john wametoa short list yao,hebu nisaidieni ipo gazeti gani wana JF.
  15. P

    Nina wasiwasi na University of Bagamoyo maana yaliyonikuta UDOM acha tu

    Hiv jamani mnafahamu mazingira ya university of bagamoyo?maana tulienda udom tulishinda na njaa hasa wale tulioambiwa tusubirie mtihani wetu baada ya nusu saa ha2kupata hata maji kutusogeza maana wenzetu walianza pepa yao saa 4:10 toka asbh cc 2kachelewa,naomba mtuweke wazi kama tukiitwa kwenye...
  16. P

    Short list ya interview ya udom iliyosemwa ipo gazeti gani?

    Jamani kuna mtu kaipata short list ya walioitwa kwenye inteview ya udom?maana jana tumeambiwa itatolewa leo kwenye magazeti.
Back
Top Bottom