Search results

  1. Allen Kilewella

    Kuhusu Muungano, Wazanzibari wametuzidi ujanja

    Ni mjinga ama anajifanya mjinga Mohamed Said ??
  2. Allen Kilewella

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Gari na nyumba vikiwa vimezungukwa na maji Ifakara. Kanisa eneo la Kwa shungu likiwa limezingirwa na maji.
  3. Allen Kilewella

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Yaani watu wengine ni wa ajabu sana. Yaani kuleta taarifa hapa ni kutaka kushusha mafuriko ya Dar??? CCM watu wa ajabu sana. Tangu asubuhi Mkurugenzi na DAS, Polisi, watu wa uokoaji, maliasili na boti yao wote wapo hapa kuangalia bwawa!?
  4. Allen Kilewella

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Mudawote watu wameopolewa wewe unasema siyo mafuriko!??
  5. Allen Kilewella

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Daraja pekee linalotoa maji Kwa shungu!!
  6. Allen Kilewella

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Rufiji wakae mkao Wa kula.
  7. Allen Kilewella

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Kwani maandamano yanafanyikia kwenu Mbweni??
  8. Allen Kilewella

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Lumemo imetema
  9. Allen Kilewella

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
  10. Allen Kilewella

    FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024

    Yanga ikifungwa au kutoa droo, utasikia zogo lake!!!
  11. Allen Kilewella

    Kwa hali inavyoonyesha CHADEMA kwa sasa

    🦥🦥 Monkey job!!
  12. Allen Kilewella

    Kwa hali inavyoonyesha CHADEMA kwa sasa

    Eti ukute YANGA inawashauri Simba jinsi ya kupata kikosi kizuri Ili waifunge Yanga. Si itakuwa maigizo hayo!!?? CCM hii inayoshindwa kuendesha nchi kwa ufanisi ndiyo inaweza kuishauri CHADEMA iwe imara, Ili iweje!?
  13. Allen Kilewella

    Simiyu: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Nyie mnapata hsara yoyote???
  14. Allen Kilewella

    Mimi ninaamini, nyuma ya migogoro mingi ya Muungano inayoibuliwa na Wazanzibar, kuna kitu kimejificha!

    Hawataki. Bungeni kati ya watanganyika na wazanzibari wengi wepi!? Kama watanganyika hawautaki Muungano, basi kupitia bunge wauvunje. Tena Spika si mtanganyika yule!!
  15. Allen Kilewella

    Simba ni Bora sana kiasi kwamba ikikosa ubingwa MNASIKITIKA

    Yaani kufungwa na Aly Ahly inaonekana Simba mbovu. Sasa sijui wanatakaje!!!
  16. Allen Kilewella

    Simba ni Bora sana kiasi kwamba ikikosa ubingwa MNASIKITIKA

    Na magazeti ya michezo na hao wachambuzi ndiyo balaa. Leo nimeona gazeti limeandika " Simba itupe Taulo ulingoni" yaani ikubali haiwi Bingwa. Sasa huyo mwandishi anataka Simba iache kushiriki ligi Kuu!??
  17. Allen Kilewella

    Simba ni Bora sana kiasi kwamba ikikosa ubingwa MNASIKITIKA

    Ndiyo maana yake... Simba wakichukua ubingwa wengine wakiwa washindi wa pili hakuna kelele. Nakumbuka Yanga wakati wakiitwa " wa kimataifa" walikuwa wanaishia raundi ya kwanza tu. Simba kufika robo fainali wanaitwa "mwakarobo" lakini Yanga haikuwahi kufika hatua hiyo kwa miaka 26 mfululizo na...
  18. Allen Kilewella

    Tegemeeni taarifa ya uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kufungiwa kuanzia kesho

    Kwani JKT walichezea uwanja mwingine huku walitumia tv kucheza na Yanga??
  19. Allen Kilewella

    Lile ni goal au siyo goal?

    Mjadala uishie hapa...
Back
Top Bottom