Search results

  1. Yenga08

    Naomba muongozo wa biashara ya Dhahabu kupeleka Nje ya Tanzania

    Habari zenu wana jamvi, Naamini kabisa wapo wanajanvi waofanya biashara ya dhahabu, wananunua na kwenda kuuza Nje ya Nchi yetu ya Tanzania. Napenda sana kufanya hii biashara ila tatizo nikukosa muongozo, maana unataka kuanza ila unakosa pakuanzia. Ni kiasi gani unaweza kuanza nacho., 1kg, 2kg...
  2. Yenga08

    Tunakoelekea siyo kuzuri, mikataba ya ulaghai imeshamiri itakuja kuligharimu Taifa

    Habari zenu wana janvi. Kuna hiki kitu leo nimeona nishee, maana sehem nyingi watu wanapiga kulingana na aliposimama bila kujali wengine wanaathirika kwa kiwango gani., yaani mtu anajifikilia yeye kama yeye na siyo Taifa, na bado anatoka kifua mbele anasema mimi ni mzalendo. Unakuta eneo flani...
  3. Yenga08

    Petrol na Diseli imekuwa adimu sana huku tulipo

    Habari zenu wana janvi., Wenye kujua nini tatizo watujuze, maana kwa baadhi ya sehemu huku kanda ya Ziwa hususani sehemu za pembezoni na mjini Petrol na Diseli zimeadimika sana siku ya tatu leo. Kuna baadhi ya Petrol station zimefunga hakuna mafuta. Kuna Petrol station moja inauza mafuta...
  4. Yenga08

    Mbunge kutakiwa kujua tu kusoma na kuandika inahitaji mabadiliko. Angalau mbunge awe amemaliza form six au awe na digrii moja

    Kama tuna wabunge lukuki waliopata ubunge kwa kigezo cha kujua kusoma na kuandika, sis kama raia tunategemea nin juu ya hawa wabunge, ni sawa na kipofu kumuongoza njia anayeona. Unaona kabisa anayekuongoza njia anakupoteza ila kwa kuwa umempa mamlaka ya kukuongoza umvumilie tu kupotezwa eti huna...
  5. Yenga08

    Kuna vitu vya kufikirisha sana hii nchi na Afrika kwa ujumla

    Habari zenu wanajamvi, Poleni na majukumu na ninaimani Muumba wetu amejaalia tumeamka salama, kwa wale wenye kujisikia kuumwa poleni sana. Kuna vitu vingi sana vinafikirisha katika Taifa letu. Kwanza kabisa kwa nin mtawala huwa hakili makosa yake inapotokea kakosea, na inapotokea mtu kuikosoa...
  6. Yenga08

    Tuwe makini tunaotumia Mawakala wa Benki

    Nimatumaini yangu kuwa muwazima wa afya wanajanvi, Mimi huwa nimtumiaji wa mawakala wa benki sana kulingana na kuwa mbali na benki, kuna siku nilienda kwa wakala nikataoa amount fulani hivi kisha nikaendelea na harakati za ukombozi. Zilipita siku kadhaa nikiendelea na shughuli zangu kama...
  7. Yenga08

    Wataalamu wa Uchumi hii ni kweli kuhusu Deni la Taifa?

    "Deni la Serikali kufikia June 30,2022 lilikuwa Tsh. Trilioni 71.31 ikilinganishwa na Tsh. Trilioni 64.52 lililoripotiwa kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kuna ongezeko la Trilioni 6.79 sawa na 10.5%, ambapo kipimo cha deni la Serikali kinachotumia pato la Taifa kinaonesha Deni hili ni himilivu”...
  8. Yenga08

    Kusimama kazi na kufunga maduka kisa Mwenge

    Habari zenu wana jamvi, ni matumaini yangu kuwa muwazima na wenye matatizo ya hapa na pale polen sana, naamin Mungu ni mwema penye tatizo ataweka wepesi. Niende kwenye maada moja kwa moja, hivi sas ni kipindi cha Mwenge kupita Vijijini, Wilayani na Mikoani kwa ajili ya kufungua na kukagua...
  9. Yenga08

    Kwa mwenendo huu muda si mrefu tutafika pale unapovaa nguo za CCM unazomewa

    Habari yenu wana janvi.., Kwa wale wanaoona hali ya maisha kuwa ngumu kila kukicha tupeane pole maana kuna wale wateule hawajawahi ona tatizo la ugumu wa maisha. Kwa ujumla huku kwetu mambo yanazidi kuwa magumu sana, mwaka mmoja tu wa mama lakini mambo mengi sana yanayohusu maisha yetu ya kila...
  10. Yenga08

    Historia ya Maisha yangu baada ya chuo mwaka 2009

    Habari zenu wana janvi.., Nilimaliza chuo mwaka 2009 na kuanza kutafuta kazi.., ilinichukua mda mrefu sana bila kupata kazi mpaka ikafikia hatua yakukata tamaa juu ya kuajiliwa. Maana nilipoteza mda mwingi sana kutafuta ajira kitu ambacho huwa najilaum sana mpaka leo. Huwa nakumbuka Interview...
  11. Yenga08

    Nini maana ya maisha?

    Habari wana janvi, Naomba mwenye kujuwa maana halisi ya maisha anijuze maana nimekuwa nikifikilia sana kuhusu maisha lakini sipati maana halisi. Unakuta mtu anasema huyu atakuja kuwa na maisha magumu sana au maisha marahisi sana. Je, maisha ni uhai anaokuwa nao mtu, au maisha ni zile kazi za...
  12. Yenga08

    Hongereni wana Mbeya na poleni wana Mwanza

    Toka ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya huyu ndugu wana Mbeya hawajawahi kumkubali kabisa, maana utendaji wake wa kazi ni wa sifasifa tu na mda wote kwa media siyo kama Jembe la Simiyu lililopelekwa Dodoma, hongereni saana pia wana Idodomya. Naamin kabisa watu wa Mbeya watakuwa na furaha sana...
  13. Yenga08

    Plan A inawachelewesha sana Wahitimu wa Vyuo

    Wanajanvi nimatumaini yangu kuwa muwazima wa afya njema na mnaendelea na majukum yenu ya kila siku. Kwa wale wagonjwa na wenye kujisikia kuumwa poleni, Mungu ni mwema naamin atawaponya nakuendelea na shughuli zenu. Kwa miaka mingi saana mfumo wa Elimu yetu umekuwa ukipigiwa kelele kuwa ni mfumo...
  14. Yenga08

    Joto kwa wachimbaji Wadogowadogo

    Habari zenu wana janvi.., Kuna kitu kinaniumiza saaana kwa sas kuhusu WACHIMBAJI WADOGOWADOGO. Toka afariki aliyekuwa Rais wetu imeanza kujitokeza chokochoko katika migodi midogomidogo huko Geita pamoja na Shinyanga. Migodi hii ni moja ya sekta ambayo imeajili watu wengi saaana warika na elimu...
  15. Yenga08

    Nahitaji mwanamke aliye tayari kwa ajili ya ndoa

    Habari zenu wana janvi., narudi kwa mara nyingine hapa janvini kwa ajili ya kutafuta mwanamke wa maisha yangu. Mwanamke mwema/ndoa hakuna pahala sahihi ambapo unaweza kumpata ila ni sehem yeyote. Sifa zangu ni kama ifuatavyo: Dini mkiristu, Mweupe mrefu, Elimu degree ya uhasibu, Kazi yangu...
  16. Yenga08

    Msaada Course za Sayansi chuo cha Muhimbili, Sua na Bugando

    Habari zenu wana Jf, Naombeni ushauri wenu wana janvi, kuna dogo ana div 2 ya 11 Bios C, Chemia C, Physics E na Bam E. Awali alitamani sana kwenda kuchukua degree ya udaktari au Pharmacy, ila kwa sas hana vigezo. Ni course gani nzuri anaweza kuapply vyuo tajwa hapo juu, course ambayo hata...
  17. Yenga08

    Mwanamke aliyetayari kwa ajili ya maisha ya ndoa anakaribishwa

    Habari yenu ndugu jamaa na marafiki mliopo ndani ya Jf., Nia na madhumuni ya kuandika uzi huu, nihitaji la msingi kabisa ambalo kila binadamu aliyekamilika lazima alitimize. Mim ni mhitimu wa chuo miaka kadhaa iliyopita, umri wangu ni miaka 34, mrefu mweupe pia niwamwisho kuzaliwa kwenye...
Back
Top Bottom