Search results

  1. M

    Mnaokaa mbali na Familia zenu mnapambana vipi na hii hali?

    Naamini wote wazima, Leo wakati nasindikiza familia kwenda stand Ili wakapande basi waanze safari ya kuelekea kituo wife anakofanyia kazi nilipata huzuni ya ghafla sana. Nilivyokuwa nimembeba mtoto wangu wa kiume na jinsi alivyokuwa amenishika kwa nguvu kwenye pikipiki huku ametulia kwa...
  2. M

    Nilichojifunza ndani ya mwaka mmoja bila ajira

    Tarehe kama ya leo nimetimiza mwaka mmoja tokea ajira yangu ya mkataba kwenye kampuni binafsi imalizike. Sikuongezewa mkataba kwa sababu ya kila mara kudai stahiki zangu. Sikulipwa hata mia, mwajili aliniambia ''nenda popote, sikulipi hata mia". Sikutaka kwenda mahakamani sababu sikuwa na pesa...
  3. M

    Utakatishaji pesa na ukwepaji kodi umekithiri kwenye Taasisi za Elimu za watu binafsi

    Wanajukwaa, wakati awamu ya tano ikijipambanua kwa kupambana na watakatisha pesa na wakwepa kodi, kuna taasisi za Elimu huku mikoani zinaongoza kwa matendo hayo. Wanachofanya ni kulipa mishahara benki kidogo na kulipa kiasi kikubwa mkononi ili wakwepe PAYE. Huwadanganya wafanyakazi kwamba...
Back
Top Bottom