Search results

  1. M

    Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

    Kinachoshangaza zaidi ni pale Mkristo anapokomaa eti "I stand with Israel" anaposali eti anaiombea na kuibariki Israel na ana ka bendera ka Israel kwenye gari au nyumbani kwake. Akienda Israel anaona kama kafika mbinguni. Eti ukilaani Israel unalaaniwa...huyu mtu unaweza Kuta hajawahi kuombea...
  2. M

    Ushauri: Umri unakimbia na nikiangalia sina mchumba serious wa kuoa

    Labda anasubiri wamuanze yeye [emoji23][emoji23]
  3. M

    Ushauri: Umri unakimbia na nikiangalia sina mchumba serious wa kuoa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeeeeee
  4. M

    Mnaokaa mbali na Familia zenu mnapambana vipi na hii hali?

    Ahsante kaka Hata mimi nimeweka miaka mitano imebaki mitatu ya kupambana tu nikae sawa
  5. M

    Mnaokaa mbali na Familia zenu mnapambana vipi na hii hali?

    Ahsante boss nimekuelewa na hiyo ndo hofu yangu kubwa But hatakaa muda mrefu akikua kua nakaa nao potelea mbali
  6. M

    Mnaokaa mbali na Familia zenu mnapambana vipi na hii hali?

    Ntafanya hivyo ndugu Mapambano yatakuwa ya nguvu
  7. M

    Mnaokaa mbali na Familia zenu mnapambana vipi na hii hali?

    Daah angalau wewe siku mbili mi sometimes mwezi unapita Tukija kuonana mtoto ananiangalia kama dakika nzima bila kuamini, huwa natamani kulia Imagine mtoto wako mwenyewe anaonesha dalili kama amekusahau
  8. M

    Mnaokaa mbali na Familia zenu mnapambana vipi na hii hali?

    So sad Tuendelee kumwomba Mungu Wasiwasi ni kwamba wife ashaanza kuchoka kukaa mbali Sijui nini kitatokea
  9. M

    Mnaokaa mbali na Familia zenu mnapambana vipi na hii hali?

    Natamani kuamini hivyo Ila nnapokaa nao mbali nakuwa na wasiwasi kama kweli natimiza wajibu wangu kama baba na mume
  10. M

    Mnaokaa mbali na Familia zenu mnapambana vipi na hii hali?

    Tuko pamoja boss Kumpa mtu biashara na hana passion nayo ni kupoteza mtaji wakati mwingine
  11. M

    Mnaokaa mbali na Familia zenu mnapambana vipi na hii hali?

    Hiyo take home Karibu Sana ndugu Nashukuru kwa ushauri wako Naamini tunaweza ku share mengi
  12. M

    Mnaokaa mbali na Familia zenu mnapambana vipi na hii hali?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu nna wivu ila Niko realistic Siwezi kupoteza nguvu zangu nawaza Kuna watu wanakula wife
  13. M

    Mnaokaa mbali na Familia zenu mnapambana vipi na hii hali?

    Ahsante boss Mi nimejipa 5 years baada ya hapo kama bado tutakaa tu pamoja
Back
Top Bottom