Search results

  1. Poa 2

    Hivi ni CCM ndio inatumia dola kubaki madarakani au dola inatumia CCM kutawala?

    Habari za jioni wapendwa Moja kwa moja kwenye mada. Kuna KM mmoja wa CCM aliwahi kuropoka kwamba CCM itaitumia dola kubaki madarakani, sijui kauli hii ina ukweli kiasi gani labda wajuvi wa mambo mnitoe tongo tongo. Ni kweli raisi wa nchi ambaye ni m/kiti wa Ccm ndiye anaye wateua wakuu wote...
  2. Poa 2

    Chama changu CHADEMA huu ni muda wa kuwekeza nguvu na kuanzisha chombo kikubwa cha habari cha chama

    Habari ndugu na marafiki, Ingawa ofisi ya chama physically haikuwa tatizo kwetu, tulitaka kwanza kupanda mbegu ya itikadi ya chama mioyoni mwa watanzania na tumefanikiwa vizuri sana. Torati ya musa ilikuja kabla ya mahekalu, injili ya bwana yesu ilikuja kabla ya makanisa na korani ya mtume...
  3. Poa 2

    Awamu ya SITA ni awamu ya mafisadi papa kula bata

    Mama yao aliwaambia wale kwa urefu wa kamba zao, pia wale lakini wasivimbiwe. Huku yeye akiifungua nchi kwa kuzurura uarabuni kutafuta wajomba wa kuwakabidhi rasilimali za nyikani. Wana nyika waliopewa nafasi katika ulaji wa keki ya taifa wako bize kujipigia mipesa na mabumunda wengine...
  4. Poa 2

    Sasa nina amani tele baada ya waraka wa TEC

    Waraka wa TEC umegonga panapostahili, hii ni taasisi makini Huwa hawakurupuki, na wanasimamia ukweli kwa dhati. Kwa haraka mkataba wa bandari kati ya Tanzania na DP world una mengi yaliyojificha gizani zaidi ya uwekezaji. Ninapata shida kumuuona mtanzania hasa mtanganyika kuupigia chapuo huu...
  5. Poa 2

    CHADEMA mna nia kweli ya kuchukua utawala wa hii nchi au mnatutumia wananchi kwa matumbo yenu?

    Mimi niko poa sijui watanganyika wenzangu, Japo linaweza kunikutà lolote sasa na sekunde yeyote. Serikali ya Samia imejidhihirisha kwamba haitaki ushenzi kukosolewa kwenye mambo yanayohusiana na bandari. Mama Samia sisi wakosoaji wako tunakuambia sawa tu, tunyonyoe utavyopenda lakini huwezi...
  6. Poa 2

    Tumeruhusu wajinga kutuongoza? Basi tuwe tayari kuwa taifa la kijinga milele

    Hapa Tanzania wasomi wengi hawajihusishi na siasa, Bali wanajaribu kusimamia taaluma zao japo kwa kuvurugwa na wanasiasa Kila kukicha. Wanasiasa wengi Tanzania hasa viongozi ndani ya vyama vya siasa elimu zao ni za kuunga unga. Japo nina amini uongozi ni kipawa anachozaliwa nacho mtu lkn kwa...
  7. Poa 2

    Magufuli alikuwa mzalendo anaye thamini vitu kuliko utu

    Ndugu wana jukwaa ni matumaini yangu hamjambo. Alikuwa mzalendo kwa nchi kweli kweli, alichukia mikataba ya hovyo, na hata Ile aliyosaini ilikuwa kwa Nia njema ingawa hakuwa na uelewa mpana na alitumia maguvu kuliko ushawishi na matumizi ya akili. Hakupenda ubadhirifu, ufisadi na wizi kwa...
  8. Poa 2

    Mtego wa kisheria katika kile kinachoitwa mkataba wa bandari

    Mimi sio mwanasheria lkn ninatumia akili ya kawaida kuhoji na kutafakari mambo, tunaposema bandari zimeuzwa tuna maanisha kweli, nimeusoma mkataba huu kwa umakini mkubwa. Pamoja na mambo mengine mengi nitajikita katika maneno muhimu sana yafuatayo: Intergovernmental agreement (IGA)na Host...
  9. Poa 2

    Wanaweza kuongoza nchi kama Wanashindwa kusimamia Bandari?

    Ndio maana tunasema CCM na serikali yake wamechoka, hawana uwezo na maarifa ya kuweza kuleta maendeleo kwa nchi zaidi ya kuifubaza na kuitafuna. Watanzania 63 milioni tushindwe kweli kuendesha bandari kwa ufanisi kweli? Hii mikataba ya hovyo itaturudisha utumwani, haiwezekani mwarabu apewe...
  10. Poa 2

    Mashirika ya umma na rasilimali za nchi zinazoendelea kuuzwa kwa kivuli cha mikataba

    Ni uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu wake kwa kipindi chake. Kila rais anayeingia madarakani hupiga pake na kutulia kimya akijua...
  11. Poa 2

    Maridhiano yamejaa hadaa kweli kweli

    Tulitegemea kwamba wale walioumiza wengine wachukuliwe hatua kwa mjibu wa sheria, au hata kuomba msamaha hadharani lkn ni tofauti ndio kwanza wanapandishwa vyeo. Tulitegemea kwamba wale walioumizwa watambuliwe, walipwe fidia na wakiri kusamehe. Tulitegemea kwamba kama taifa zile sheria mbovu...
  12. Poa 2

    Mkate tulionyang'anywa kwa vipigo wanataka kuturudishia kwa jina la maridhiano feki?

    Nawasalimu wote. CHADEMA tulikuwa na wabunge wengi kabla ya ukatili na chafuzi za yule mshamba, tukanyang'anywa kwa Hila, vipigo,vifo, vifungo na mateso. Haya matatizo na uonevu tulifanyiwa na ccm Hawa Hawa wakiongozwa na jiwe/ kichaa. Wametengeneza tatizo na wanajifanya kulisolve huu ni...
  13. Poa 2

    Kardinali Pengo na Askofu Malasusa ni kielelezo cha unafiki wa viongozi wa dini

    Hivi wakati huyu Msiba anatukana, kukashfu na kutishia watu, wao walikuwa wapi? Maaskofu wa Kanisa Katoliki waliwahi kuandika Waraka kukemea maovu wakati wa Magufuli lakini Pengo aliukana waraka ule. Leo yeye wa kumwombea Msiba msamaha kweli? Viongozi wa dini walikaa kimya hawakuonya chochote...
  14. Poa 2

    Ukweli mchungu, kuwa mzalendo wa dhati katika nchi za afrika hasa Tanzania ni kujitakia kifo kabla ya wakati wako

    Jumapili njema Hata mjinga naye ana mawazo, mtanisamehe Kwa kweli Leo Nina Anika ujinga wangu hadharani. Ukiacha tamaa na uchu wa MADARAKA Kwa viongozi wengi wa afrika, Kuna mambo mengi sana yanayofanya uzalendo kuwa fumbo Kwa viongozi wetu ndani ya nchi Zao. Ukoloni bado upo afrika tena mbaya...
  15. Poa 2

    Tatizo ni wananchi wenyewe na sio upinzani

    Watanzania tusipo badilika na kuacha uoga na unafiki tutataliwa na ccm milele na kubaki mafukara milele. Kumekuwa na wimbi la wananchi wengi kulaumu upinzani kwa Kila uovu unaofanywa na ccm. Wizi mkubwa na ufisadi ukifanywa na ccm wanaolaumiwa ni upinzani. Kupanda kwa gharama za maisha au...
  16. Poa 2

    Hivi nchi yetu Tanzania ipo upande gani kuhusiana na hii sera ya mapenzi ya jinsia Moja?

    Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki watanzania. Habari Watanzania. Dunia Sasa Ina lazimishwa kuwa na mwelekeo MPYA. Na lazima iwe hivyo wakubwa(mashetani) wameamua hivyo na tutake tusitake ujinga huu ni lazima utokee, sisi jamii ya watz ni lzma tuwe na upande. Eidha kukubaliana na haki za...
  17. Poa 2

    Tume huru ya uchaguzi inaweza kupatikana 2024 mwishoni lakini Katiba Mpya itapatikana 2029 mwishoni

    Wadau habarini (1). aridhiano yanaendelea, Rais Samia ni mwelewa na msikivu huo ndio ukweli. Tume huru ya uchaguzi itapatikana kabla ya 2025 na upinzani tutapata wabunge wengi na madiwani wengi sana lkn Urais bado utang'ang'aniwa na CCM hata kwa damu. (2). Katiba Mpya inaweza kupatikana hata...
  18. Poa 2

    Jeshi la Polisi, JWZ na Usalama wa Taifa huu ni muda wa kuiamini CHADEMA

    Nawasalimu wote Leo nitawasilisha hoja yangu kwa njia ya shairi. CHORUS Tunakushukuru wananchi wanatuamini, Jeshi la polisi tunaomba mtuamini Usalama wa taifa tunaomba mtuamini Ohoo ohooo CHADEMA Wadau wa maendeleo mtuamini Taasisi za kimataifa mtuamini Taasisi za kidini na NG'Os mtuamini...
  19. Poa 2

    Kama Hayati Magufuli aliweza kuwa Rais wa nchi hii basi yeyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania

    Habari, Huyu mtu hakustahili kabisa kuwa Rais wa Tanzania ingawa alisukumiziwa kutokana na chama kile kukosa mwenye sifa. Alikuwa mtu mwenye chuki za wazi, hakuwa mstahimilivu na asiyependa kukosolewa, hakupenda kushauriwa na yeyote na alikuwa na mihemko ya ajabu sana. Alikuwa mropokaji wa...
  20. Poa 2

    Hivi ni upinzani ukichukua nchi amani itavunjika au CCM ikinyang'anywa madaraka italeta machafuko?

    Wakuu habari, Miongoni mwa propaganda iliyopitwa na wakati lakini bado inatumiwa sana na wana CCM ni hii, kwamba upinzani ukichukua nchi utaleta machafuko. Huwa najiuliza upinzani una nguvu sana na CCM wanalijua hilo ndio maana hutumia mbinu chafu dhidi ya upinzani Ili kujibakisha madarakani...
Back
Top Bottom