Search results

  1. M

    Hivi Gesi yetu imeishia wapi?

    Wakuu, nilikua nataka kujua hivi hii gesi yetu na mambo ya uchumi wa gesi yameishia wapi?, naona Wakuu wa awamo ya tano hawaongelei kabisa gesi na ukiangalia harakati iliyopo ya kimakakati ya kiuchumi inaashiria hamna gesi katika mikakati hiyo.. Tunajua gesi ingesaidia Sana katika ujenzi wa...
  2. M

    Escrow, Richmond, na Weledi wa Mh Lowassa

    Tukiwa tunaendelea kuona nguvu nyingi ya kidola inatumika kuzima kashfa ya fedha za umma ya Tegeta Escrow account na kuunyima haki umma wa watanzania katika kuwatambua na ikiwezekana kuwajibishwa kwa viongozi wasiokua waaminifu na mhimili wa dola unaowawakikilisha wananchi moja kwa moja yaani...
  3. M

    If Hegel was right then nothing can save CCM

    Salaam, Friedrich Hegel was a 19th c German philosopher who proposed among other things that in any society there is an order (economic, social and political) that will grow to the state of its maximum efficiency while at the same time (slowly) developing its internal contradictions and...
  4. M

    Mantiki ya tuhuma za Sitta kuhusu CDM na mbio za Urais CCM

    Kauli za hivi karibuni za Mh Sitta kuhusu uongozi wa CDM zinaonyesha Sitta hakukurupuka kutoa kauli zile kwani backlash yake alikua anaijua na inaonekana hakuidharau hata kidogo na ndiyo maana amejibu zile counter accusation zilizorushwa na Dr Slaa kwa mara moja. Hii yote inanipa ishara kwamba...
  5. M

    Abdallah Mwinyi ni kiongozi makini

    Huku viongozi wazalendo na makini wakiwa wanapungua siku hadi siku katika chati za uongozi wetu wa kitaifa inatia moyo pale tunapoona viongozi vijana wakiwa mstari wa mbele kutetea maslahi ya taifa katika nafasi zao mbali mbali. Katika bunge la Afrika Mashariki, mbunge wetu Abdallah Mwinyi...
  6. M

    Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Serikali ya Mkapa inabeba lawama

    Baada ya kufuatilia historia ya mgogoro huu nimepata wazo kwamba Tanzania ilikua na historia ya kipekee ya kushughulikia tatizo hilo wakati wa serikali ya Bakili Muluzi (94-2004). Muluzi alikua ni rais ambaye alikuja kua na uhusiano mzuri sana na Tanzania na uhusiano mzuri wa kikazi na Rais...
  7. M

    2015 anatakiwa Rais mwenye haya...

    Sina haja ya kuaeleza umuhimu wa uchaguzi wa 2015 kwani changanoto na udhaifu uliopo ni dhahiri kabisa. Bila ya kujali vyama vya siasa hii post inajitahidi kumfanya Rais kama taasisi yenye nguvu kubwa na ambaye ushawishi wake ukitumika ipasavyo kwa malengo ya taifa basi taifa litakua kwenye njia...
  8. M

    Ukombozi wa tanzania 2015; chadema nataka kusikia hili....

    M4C, MAGWANDA, na pilika pilika zote hizi zinaonyesha kitu kimoja kua CDM imedhamiria kuleta mabadiliko ya kweli ya jinsi taifa hili limekua likiendeshwa hii ikiwemo na kufukia kabisa wale watawala wabaya waliopita. Wale waliotuweka gizani bila sababu, wale waliokwapua mabilioni ya wananchi bila...
  9. M

    Je hii ni lazima Ben?

    Mkapa (rais wa awamu ya tatu), baada ya kustaafu alijijengea nyumba ya thamani isiyopungua bil4-5 kwa thamani ya sasa huko Masaki mwisho kutoka kwenye akaunti za taifa kama zawadi ya kustaafu...sasa ili kuondoa aibu na kufuatwa fuatwa amelazimisha kua hiyo itakua ni package ya kila Rais wa...
  10. M

    Ni miaka 22 au 50 ya kuilaumu ccm kwa upumbazaji wa uchumi wetu?

    Kwanza tuachane na CCM kama CCM ilizaliwa lini, (tudhani /assume imeshika dola toka mwaka wa uhuru na hivyo kuifanya chama tawala kwa miaka 50 ya uhuru wa taifa hili). CCM kama taasisi na kipaumbele cha umoja wa kitaifa Sasa tuje kwenye dhamira, mazingira ya kisheria, ya kimataifa na usahihi...
  11. M

    WOMEN BE PATIENT!: men are still evolving

    There is a common belief out there that men are naturally selected to have many sexual partners at a time especially at their most productive age. There is also a denial for most women, old and young that this is not a case of nature's conviction, but individual flaws on the part of men. Women...
  12. M

    WHAT CAN WE LEARN FROM Deng's great Chinese experiment?

    When today you think of China you think of apolitical country run by colorless men who are quite obsessed and confident talking about detailed technical and economical data than attending a public rallies and handling large crowds, yet very few countries have experienced mass politics and all...
  13. M

    Tuchore mstari mabadiliko baraza la mawaziri

    Katika wale walioachwa nje ya mabadiliko haya kuna wale Rais aliona lazima wachukue majukumu ya kisiasa kama wakuu wa wizara lawama zote zinawaangukia wenyewe na Jk mwenyewe kugusia hili jana wakati akitangaza. Na kuna wengine walikua ni mzigo tu kwa serikali hii kutokana na kujihusisha moja kwa...
  14. M

    Leaders or illusionists?

    The unique ability of our national leaders to make billions of shs of public funds disappear with total impunity especially in this post-Richmond political environment with a growing dissatisfaction with the government's performance, a changing political environment, agitated populace, a...
  15. M

    Tatizo letu ni ufisadi usiokua na nidhamu?

    salaam, Baada ya sakata ya report ya CAG gumzo mtaani limekua ni ufisadi unaotisha na kukosekana kwa uwajibikaji kwa viongozi wetu..tunajua kua ufisadi ni tatizo kubwa hapa nchini, lakini ufisadi pia upo nchi nyingi zilizoendelea, na zinazokuja juu kimaendelao. Sasa kama ufisadi upo sehemu...
  16. M

    Mageuzi ya Kisiasa hayawezi kuleta mageuzi ya kimaendeleo

    Watanzania baada ya miaka 50 wamechoka na kasi ndogo ya maendeleo ya taifa lao. Ukiachilia mbali matatizo sugu ya afya na elimu, miundo mbinu isiyokidhi haja, kuzidi kuongezeka kwa tofauti ya kipato, kukithiri kwa rushwa na ukosefu wa ajira, utendaji wa serikali na sarakasi za kisiasa zisizo na...
  17. M

    nani anamiliki uchumi wa tz na nini athari zake?

    kuna swala moja nyeti la muundo wa uchumi na nani haswa wamiliki wakuu wa huo uchumi. Tukirudi shule kidogo kwenye elimu ya msingi ya sayansi ya siasa tunaambiwa dola na serikali vinazaliwa ili kusimamia uzalishaji na ugawaji wa matunda ya uzalishaji huo katika jamii yenye mgongano wa...
  18. M

    Imefika wakati prophecy ya Nyerere itokee

    Mwalimu katika tathmini ya vyama vya upinzani kuelekea chaguzi ya 95' aliwahi kusema kuwa upinzani wa kweli utatoka CCM n siyo kwingineko...hili limeonekana kutokana na kudumaa kwa wapinzani toka mwaka huo hadi sasa japo CCM inazidi kuwakatisha tamaa watz walio wengi na tumeona ukweli wa maneno...
  19. M

    Kikwete last man standing

    JK aliingia na mtandao wa RA, EL, 6 na wengineo...JK aliingia na hela za uchafu wa EPA na madudu mengine ikiwemo Richmond zilitokea katika kipindi chake na hivyo kuwa responsible kiasi fulani...Jk alishtukia nguvu za wanamtandao za kumtumia tu kupata madaraka makubwa zaidi haswa EL na akaanza...
  20. M

    Kukaribia bila ya kufika kwa upinzani nchini..

    Pamoja na kukua kwa upinzani nchini haswa baada ya chaguzi ya taifa ya 2010, bado inavyoonekana kuna kusita sita kwa watanzania wengi katika kuwapa na kuwaongezea wapinzani nguvu ili kuleta changamoto ya ukweli ya kiuongozi nchini... Hii ni pamoja na kashfa, uongozi mbovu, na kuendelea na...
Back
Top Bottom